Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No sangoma NgurumoNgurumoooooo! We ni nouma aisee. Uko Finland ya TZ wayajua kabla yetu?
Kwa nini wana ccm mnawatetea sana watu wasiojulikana? Kuna siri gani kati ya watu wasiojulikana na ccm?Mzushi tu wewe huna lolote. Hata hii ulitengeneza wewe na kutuaminisha hivyo. Wewe safisha vyoo vya wazungu huko. Tuko ok wanaowatumia wameingia choo cha kike
Mimi nikisema huyo Ngurumo anaratibu au anahusika na njama ya hii kitu nitakuwa nimekosea??"Mheshimiwa John Heche na Wana Tarime jihadharini. Wale vijana watesi waliokuwa wametumwa Mwanza kuwateka vijana wetu wawili wakawakosa, Saa Saba usiku wa kuamkia leo wameelekea Tarime".
"Ni Vijana watatu wanatumia Gari aina ya Noah Silver T494 DDU. Wanafuatilia Press Conference na wanamvizia Chacha Heche Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara na mdogo wa John Heche".
hapo ndipo! ni yale mafaili ya siri za mange ambayo yapo mtandaoni kwa sasa, yamempunguzia audience trust . lazima anapojeruhiwa mmoja wanajeshi wenzake watake cover haraka!yawezekana Ngurumo ni Mange mwingine had I kipindi hiki kipite mambo yatanoga sana
Sasa akimpa taarifa kimya kimya bavicha watajuaje ili wampigie vigeregere??Ungempa taarifa kimyakimya ili muwavizie na kuwadhibiti hao "watatu" chini kwa chini, baada ya kubanwa wangewapa taarifa za kutosha. Kisha baada ya hapo mnaweza kuwaachia au "mengineyo". Anae watuma atajua kua sasa ni jino kwa jino.
Kesho atakuja na stori suruali ya Mbowe imekutwa na kifungo cha kijani badala ya cheusi, atadai serikali inahusika. Jamaa amekuwa comedian. Acha atufurahishe kidogo, tusiwe serious mida yote na HAPA KAZI TU. Tunahitaji watu kama hawa kutuchekesha kwa kutumia siasa kama msingi wa vichekesho vyake.Ha ha ha Mara lema kafunguliwa tairi mara Selasini anafuatiliwa sasa mnakuja na kiki mpya ya heche
Wanatumia Noah kwa sababu ni rahisi kutoweka pindi baada ya tukio kutokana na wingi wake kama jezi za premier league.Acha Propaganda hiyo gari siyo Noah
Wasijekuwa wa awali sasa wanajulikana mmojawapo ni Heri Kisanduku makapero aliyemtandika Tundu Lisu Risasi kwa uratibu wa Jerry muro, le mutuz na Boss wao Maliyamungu idd Amin Bashite, hao wengine wapya watakuwa ni tawi la hicho kikundi kikongwe cha sasa.Tunahitaji watu wengi kama kina Ngurmo ili kuwaumbua watu wasiojulikana na njama za Serikali dharimu.
maisha yenu ni kulalamika tu,ukitaka kujua mmekwisha subiri 2020Umekwisha vipi? Mbona mnachukua pesa za nyongeza za mishahara ya watumishi wa uma kuzitumia kukandamiza Demokrasia? Pesa za maendeleo hakuna lakini pesa za kuwanunua wabunge, madiwani kurudia chaguzi kwa gharama kubwa zipo, hamtaki kuongeza mishahara lakini pesa za kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi, kuwafunga jela Wapinzani Zipo, pesa za kuhujumu upinzani zipo nyingi
Sina hakika kama unalijua vizuri hilo gazeti, sina hakika pia kama unajua wakati hiyo makala inatoka huyu unae mtuhumu alikua wapi na chombo gani!? Nina hakika umeanza kusoma magazeti juzi.Mzushi tu wewe huna lolote. Hata hii ulitengeneza wewe na kutuaminisha hivyo. Wewe safisha vyoo vya wazungu huko. Tuko ok wanaowatumia wameingia choo cha kike
Hii ilitoka kabla ya mdogo wa Heche ajauliwa au baada !!??"Mheshimiwa John Heche na Wana Tarime jihadharini. Wale vijana watesi waliokuwa wametumwa Mwanza kuwateka vijana wetu wawili wakawakosa, Saa Saba usiku wa kuamkia leo wameelekea Tarime".
"Ni Vijana watatu wanatumia Gari aina ya Noah Silver T494 DDU. Wanafuatilia Press Conference na wanamvizia Chacha Heche Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara na mdogo wa John Heche".
Mkuu bila shaka wewe ni timu lumumba. si unaona mdogo wake wamemuua kwa kisu tayari...? tips kama hizi ni muhimu na zikiwa public zinapunguza makali ya hao watu wasiojulikanaHuyo jamaa naona anaelekea kuwa kama gazeti la udaku sasa.....Kwa nini asitulie awe anatoa taarifa za kueleweka...
Muda sio mrefu watu watakosa uaminifu kwake.
Kitakachomkuta Magufuli hataamini,mkuu jiulize mtu yupo Finland lakini taarifa za ndani ya Tanzania na za siri anazipata,unajua kwa nini?Ngurumoooooo! We ni nouma aisee. Uko Finland ya TZ wayajua kabla yetu?
Unajiita mchawi mkuu,halafu hujui anayempa taarifa? Unachekesha kweli,acha uchawi uokoke,ndo utajua anayempa taarifa,siye tunajua kila kitu,magufuli anafanya mambo akidhani watu wanapenda ukatili wake,kumbe hata hao anaoshinda nao ikulu hawamtaki kabisa kwa tabia zake za kikatili.Hivi Nani anampa taarifa ngurumo?
Wewe cheka tu,usidhani uko salama kwa kulamba miguu yao,shetani huwa hana rafiki,ngoja amalizane na wapinzani kwanza kisha ndo atakuja kwenu nyie wenzake,muda utaongea,na hutakuwa jinga tena kama ulivyo lijinga,yakishakukuta tu akili itakurudiaHa ha ha Mara lema kafunguliwa tairi mara Selasini anafuatiliwa sasa mnakuja na kiki mpya ya heche
Duh !Ni tahadhali nzuri ili mtu awe makini. Ila ninashindwa kuelewa, ni kwa nn hizi taarifa wahusika wasipewe kwa siri ili ikiwezekana hao wanaotumwa kuua wadhibitiwe na ikibidi wachomwe moto kabla ya kuleta madhara?
Sasa unatangaza in-public ili iweje, huoni kama hao watu watasitisha mpango wao kwa sasa na kupanga siku nyingine? Huko CDM kuna watu makini sana lakini sijui mnatuonaje, this is rubbish.
Dawa ya hawa wauaji ni kukamata mmoja baada ya mwingine na kuwaua pia kimya kimya, sasa maajabu unaleta hii hbr hapa, ili isaidie nn maana hawa washenzi wataendelea na mauaji hata kama si leo. Naona kama ni upuuzi tu wa bwana Ngurumo ili kutafuta huruma ya wananchi japo naamini kweli alitishiwa kupotezwa otherwise asingekimbia nchi
Mkuu taarifa lazima iwekwe public ili umma ujue uovu wa magufuli,halafu hao watu usidhani ni rahisi kuwazingira na kuwachoma moto,hao ni well trained na wanakuwa na silaha kali kama SMG au zaidi.Ni tahadhali nzuri ili mtu awe makini. Ila ninashindwa kuelewa, ni kwa nn hizi taarifa wahusika wasipewe kwa siri ili ikiwezekana hao wanaotumwa kuua wadhibitiwe na ikibidi wachomwe moto kabla ya kuleta madhara?
Sasa unatangaza in-public ili iweje, huoni kama hao watu watasitisha mpango wao kwa sasa na kupanga siku nyingine? Huko CDM kuna watu makini sana lakini sijui mnatuonaje, this is rubbish.
Dawa ya hawa wauaji ni kukamata mmoja baada ya mwingine na kuwaua pia kimya kimya, sasa maajabu unaleta hii hbr hapa, ili isaidie nn maana hawa washenzi wataendelea na mauaji hata kama si leo. Naona kama ni upuuzi tu wa bwana Ngurumo ili kutafuta huruma ya wananchi japo naamini kweli alitishiwa kupotezwa otherwise asingekimbia nchi