kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
Mkuu taarifa lazima iwekwe public ili umma ujue uovu wa magufuli,halafu hao watu usidhani ni rahisi kuwazingira na kuwachoma moto,hao ni well trained na wanakuwa na silaha kali kama SMG au zaidi.
Kwani siku hizi kumiliki silaha, sheria iko wazi, ni kwa Mtanzania yeyote mwenye uwezo ! Nao watafute SMG, na mafunzo wakafanye !