Mkuu taarifa lazima iwekwe public ili umma ujue uovu wa magufuli,halafu hao watu usidhani ni rahisi kuwazingira na kuwachoma moto,hao ni well trained na wanakuwa na silaha kali kama SMG au zaidi.
Hata CCM wenye Visasi Visasi nae huwakomesha si unakumbuka manji, Rugamalila na sasa hanspope anamwinda amkomoe amekuwa na Roho kama za idd Amin Dada, Bokasa, Sadam Husein na madikteta wengineWewe cheka tu,usidhani uko salama kwa kulamba miguu yao,shetani huwa hana rafiki,ngoja amalizane na wapinzani kwanza kisha ndo atakuja kwenu nyie wenzake,muda utaongea,na hutakuwa jinga tena kama ulivyo lijinga,yakishakukuta tu akili itakurudia
Tarehe 26 wote mmeufyata, sasa tulieni bong'oeni mtiwe vidole tuWapinzani amueni moja tu sasa!
Si bora upinde midomo yote italiwa na ukomaIko siku ataamka mdomo umepinda wewe subiri tu siku utaona
Unataka atunge za uongo ili awaridhishe. Hata akina Hitler yao ilifika mwisho tena kwa machungu zaidi.Habari Bila ushahidi! Inaukakasi!
Lakin mwanahabari huru mbona habari zako Huwa ni za mlengo mmoja Na wewe unasema upo huru?
Mbona imekuuma sana bwana au nawe umo ndani ya hiyo Noah nini! Mchawi analoga usiku lkn anajulikana sasa sembuse nyie.Mzushi tu wewe huna lolote. Hata hii ulitengeneza wewe na kutuaminisha hivyo. Wewe safisha vyoo vya wazungu huko. Tuko ok wanaowatumia wameingia choo cha kike
Kulikuwa na taarifa kama hizi dhidi ya TL. Watu wakatoa majibu ya kijinga kama baadhi wanavyoyatoa humu. Kilichotokea sote tunajua."Lisemwalo lipo km halipo laja"
Wahenga