Nguvu anayotumia Mnyama ili Yanga asiwe Bingwa caf confederation cup, inatisha!

Do santos

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
635
Reaction score
338
Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno.

Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25, Kuku hawana idadi.

Pamoja na maandalizi hayo wanaelekea kwa kila mganga wanaoona anaweza kusaidi
Mwananchi asiwe bingwa.

Pia imeandaliwa kamati maalum ya kuwapa mbinu wageni ili kuepuka hujuma zozote kutoa kwa wananchi. Laiti nguvu hizi wangewekeza kwenye mpira wenyewe saa hizi wapo fainali ya klabu bingwa.

Mwananchi stuka, Mnyama yupo chimbo kukuharibia, chukua tahadhari zote kuelekea mtanange wa fainali. Hakikisha unaimaliza game hapa hapa kwa Mkapa.
 
Na Yanga atachukua ubingwa Simba msemaji wao Simba Ahmed Ally aliwahi semaga 'tumemtia tatu hata ufanye nini hata upeleke timu mbinguni tutakufunga tu....' sasa Kiko wapiwanafungwa wao tu wakiweza sana wanatoa sale, Yanga BINGWA anachukua makombe yote anatia mfukoni AFC, Confederation CUP na la mwisho unalijua NBC, hayo ni makombe sio hao wazee mikia mokolo hawana hata kikombe Cha urojo
 
Tulieni dawa iwaingie kipindi mnaenda airport kupokea wageni mlijua zamu yenu haitafika
 
87f7c7e7-a2cc-477e-a957-b19ad984802f.jpg
 
Mbona kutapatapa kwingi? Si mlikuwa mnataka mashindano ya Wakubwa.
 
Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno.

Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25, Kuku hawana idadi.

Pamoja na maandalizi hayo wanaelekea kwa kila mganga wanaoona anaweza kusaidi
Mwananchi asiwe bingwa.

Pia imeandaliwa kamati maalum ya kuwapa mbinu wageni ili kuepuka hujuma zozote kutoa kwa wananchi. Laiti nguvu hizi wangewekeza kwenye mpira wenyewe saa hizi wapo fainali ya klabu bingwa.

Mwananchi stuka, Mnyama yupo chimbo kukuharibia, chukua tahadhari zote kuelekea mtanange wa fainali. Hakikisha unaimaliza game hapa hapa kwa Mkapa.
Inaelekea aidha unapoishi au unapofanyia kazi kuna vijiwe vya kahawa vingi sana. Ndo story zao hizo.
 
Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno.

Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25, Kuku hawana idadi.

Pamoja na maandalizi hayo wanaelekea kwa kila mganga wanaoona anaweza kusaidi
Mwananchi asiwe bingwa.

Pia imeandaliwa kamati maalum ya kuwapa mbinu wageni ili kuepuka hujuma zozote kutoa kwa wananchi. Laiti nguvu hizi wangewekeza kwenye mpira wenyewe saa hizi wapo fainali ya klabu bingwa.

Mwananchi stuka, Mnyama yupo chimbo kukuharibia, chukua tahadhari zote kuelekea mtanange wa fainali. Hakikisha unaimaliza game hapa hapa kwa Mkapa.
Fuso la nazi duh.
 
Mengine ni utani, wacheni Yanga washinde ni jambo la heri hata kwa Simba.

Yanga wataringaringa wanastahili.

Simba tuendelee kuwinda kimyakimya hadi tumkamate nyati dume.

Tofauti pekee itakuwa mmoja katangulia kukamata Swala, mwingine kachelewa lakini anakamata Nyati.

Ndio raha ya mpira na utani.
 
Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25, Kuku hawana idadi.
Kama ni kuroga, sidhani kama idadi ya nazi, mbuzi na kuku ina nafasi. Hilo Fuso la nazi uliloliona pengine ni biashara tu ya mtu. Angalia usije ukakutana na mafuso ya mihogo na matikiti ukaja kuanzisha uzi wa ulozi, kumbe ni msimu wake tu
 
Hiyo ni tafrija!! mbuzi 25,,,nazi,,waongeze na mchele watu wale washibe wakalijenge taifa
 
Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno.

Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25, Kuku hawana idadi.

Pamoja na maandalizi hayo wanaelekea kwa kila mganga wanaoona anaweza kusaidi
Mwananchi asiwe bingwa.

Pia imeandaliwa kamati maalum ya kuwapa mbinu wageni ili kuepuka hujuma zozote kutoa kwa wananchi. Laiti nguvu hizi wangewekeza kwenye mpira wenyewe saa hizi wapo fainali ya klabu bingwa.

Mwananchi stuka, Mnyama yupo chimbo kukuharibia, chukua tahadhari zote kuelekea mtanange wa fainali. Hakikisha unaimaliza game hapa hapa kwa Mkapa.
Inaonyesha uganga wenyewe huujui. Hata kama kweli Simba hawataki Yanga ichukue ubingwa, Hakuna mganga anaweza kuagiza Mbuzi 25 Kwa ajili ya kuroga Mechi moja. Mnapoandaa propaganda muwe mnalinganisha na uhalisia.
 
Back
Top Bottom