SAMIA NI MUUAJIKama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.
Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua hata hawa wahuni waliopewa bunduki, wanaweza kufanya makosa tena makubwa.
Ila kwakua ni wahuni wenzie wanaolinda uongozi wake haram, akaamua kuwajisifia mauaji.
Hii picha inadaiwa ni katoro mwanza na huyu binti alienda kusaga, unaweza kuona kindoo chake cha unga. Hizi ndio "nguvu inayoendana na tukio" Anayoisema samia muuaji.
View attachment 3523907
Bora sisi tuliopigwa lisasi kwenye maandamano mtasema tumejitakia ila wapo wengi waliuliwa hata maandamano hawajayaona. Na kwa uhuni huu siku akijasema "anajuta" Wahuni wenzie watasema kua yeye ni mtu mwema. Rubish.
Hakika Mungu atatenda na atalipa siku si nyingi, may all bad fate be upon you samia, your family and yout goons
Kosa lilianzia hapa, hamuangalii aliyeanzisha bali mnaangalia aliyemalizia...Kama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.
Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua hata hawa wahuni waliopewa bunduki, wanaweza kufanya makosa tena makubwa.
Ila kwakua ni wahuni wenzie wanaolinda uongozi wake haram, akaamua kuwajisifia mauaji.
Hii picha inadaiwa ni katoro mwanza na huyu binti alienda kusaga, unaweza kuona kindoo chake cha unga. Hizi ndio "nguvu inayoendana na tukio" Anayoisema samia muuaji.
View attachment 3523907
Bora sisi tuliopigwa lisasi kwenye maandamano mtasema tumejitakia ila wapo wengi waliuliwa hata maandamano hawajayaona. Na kwa uhuni huu siku akijasema "anajuta" Wahuni wenzie watasema kua yeye ni mtu mwema. Rubish.
Hakika Mungu atatenda na atalipa siku si nyingi, may all bad fate be upon you samia, your family and yout goons
Hiyo picha ilinitoa machozi!! M/mungu awalaze pahala Pema wote inshallahKama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.

matokeo yatangazwe mshindi awe mwingine kwa mtu aliyekua anashindana na picha yake?Anasema tarehe 29 Nguvu iliyotumika iliendana na tukio.
Nani alitoa amri wakati hatukua na rais bali wagombea urais?
Siku ya uchaguzi(tar 29) yeye alikua ni mgombea kama wagombea wengine, je kwa nini alitoa amri ya kutumia nguvu na nyie wakuu wa vyombo mkakubali kutekeleza(hapa wakuu wa vyombo tunahitaji ufafanuzi)
Vipi kama matokeo yangetangazwa halafu mshindi akawa mtu mwingine? Na watu mmeshawapiga risasi, au wenzetu(wakuu wa vyombo)mlikua na matokeo yenu kabla?
Mlikubali vipi kupokea amri kwa mtu ambae ni mgombea na sio rais?
Au katiba inasemaje mtu anapoingia kwenye uchaguzi cheo chake huwa kinabaki pale pale?(KATIBA KATIBA KATIBA)
Huyu akipelekwa ICC anaweza kuwaruka futi sita nyie wakuu wa vyombo kwa mlichofanya.
Kwa tamaa ya Madaraka ambayo atayaachaBinadamu mkatili zaidi kuwahi kushuhudiwa
Inahitajika hekima kuweza kuunganisha walichokifanya wale mapolisi na hiyo kauli ya Lissu ya 'kukinukisha'.Kosa lilianzia hapa, hamuangalii aliyeanzisha bali mnaangalia aliyemalizia...
View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=9ZsKGWdJTSbDLh7P
Two wrongs doesn't make it a right.Kosa lilianzia hapa, hamuangalii aliyeanzisha bali mnaangalia aliyemalizia...
View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=9ZsKGWdJTSbDLh7P
Kosa lilianzia hapa, hamuangalii aliyeanzisha bali mnaangalia aliyemalizia...
View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=9ZsKGWdJTSbDLh7P
Ni kweli "Two wrongs don't make a right", na huu ulikuwa ni mtego aliyowekewa Samiya, lakini wao wakaona wapite nao kwa kufanya kilichotokea na kuipindua meza kwa Lissu na wenziwe na ni onyo kwa wanaotaka kuleta vurugu.Two wrongs doesn't make it right.
Kosa halihalalishi kosa lingine.
Yeye angeweza kuepusha uharibifu na ukatili huu.
Najua hakutoa amri kuuwa watu wasiokuwa na hatia Kama huyo binti ila aliwaamini mno na kuwasikiliza wahalifu waliomzunguka.
Huu mtego katengenezewa au kajitengenezea mwenyewe.
Wengi wa waliokabidhiwa bunduki hawakuwa na akili timamu siku zile 3. Wachache sana walibaki na akili yao nzuri kati ya waliopewa bunduki. Kuna genge la kihuni lilijipenyeza.
Akitaka kujua ukweli awatume ile tume ya Othman wafanye uchunguzi kwa uhuru kisha wampe au watoe hadharani ripoti isiyo chakachuliwa.
Atayajua mengi ambayo bado hayajui jinsi alivyo zungukwa na wahuni wajanja.
Kuna mmoja alikuuluwa akiwa kakaa ndan anakula matikiti majiKama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.