Samahani binti kiziwi, una uhuru wa kusema chochote, lakini nami nina uhuru wangu wa kusema pia, ikiwa wewe unamfahamu na ni siyo picha ya kutengenezwa na si tukio la maigizo naomba msamaha, na itakuwa vizuri ukitutajia huyo binti majina yake na wapi alikuwa akiishi. Na narudia tena, siungi mkono mauaji ya binadamu asiye na hatia kwa namna yoyote ile.Acha unafiki sema kwa sauti naunga mkono mauaji yaliyofanyika , chagua upande tutakuelewa . Huyo dada aliyefunikwa shuka hapo(RIP) , ukiomba watu wakutajie watakutajia kwa majina yake matatu na kwao utapelekwa, sio kuku huyo ni binadamu ana ndugu, jamaa, marafiki na majirani acha assumptions za kipuuzi.
Kesi ipo mahakamani.Kosa halirekebishwi kwa kosa! Ugaidi kamwe hautumii akili! Aliyeanzisha unaloita kosa mpaka sasa hamjaweza kulithibitisha hilo kosa lake, maana hahusiki, si na maandamano wala mauaji!
Huyo Lissu kaongea uhaini na ushahidi upo. Alitaka kinuke maana yake wangeweza kufa watu wengi zaidi ya hao waliokufaa, yeye hajali kwake liwalo na liwe.Jibu swali! Huyo mama hapo alifanya kosa gani mpaka mkamuua? Na usilete urojo wako hapa! Kwanza huyo Lissu mwenyewe amewagaragaza mahakamani. Na hata sasa mnatapatapa tu kwa aibu.
Mlitaka kinuke, Lissu akawa anahubiri mbele ya kamera kwamba anakwenda kukinukisha, hakujua madhara ya kauli zake yanaweza kuwakuta watu wengi wasio na hatia wala wasiohusika.Kama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.
Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua hata hawa wahuni waliopewa bunduki, wanaweza kufanya makosa tena makubwa.
Ila kwakua ni wahuni wenzie wanaolinda uongozi wake haram, akaamua kuwajisifia mauaji.
Hii picha inadaiwa ni katoro mwanza na huyu binti alienda kusaga, unaweza kuona kindoo chake cha unga. Hizi ndio "nguvu inayoendana na tukio" Anayoisema samia muuaji.
View attachment 3523907
Bora sisi tuliopigwa lisasi kwenye maandamano mtasema tumejitakia ila wapo wengi waliuliwa hata maandamano hawajayaona. Na kwa uhuni huu siku akijasema "anajuta" Wahuni wenzie watasema kua yeye ni mtu mwema. Rubish.
Hakika Mungu atatenda na atalipa siku si nyingi, may all bad fate be upon you samia, your family and yout goons
Na wewe imagine Samiya ni mama yako!imagine angekuwa ni dada ako amelala hapo! Ungeongea huu upuuzi?
ko ukiwa na uhuru wa kusema chochote ndo uongee pumba? Hata human rights wana limitations!Samahani una uhuru wa kusema chochote, lakini nami nina uhuru wangu wa kusema pia, ikiwa wewe unamfahamu na ni siyo picha ya kutengenezwa na si tukio la maigizo naomba msamaha, na itakuwa vizuri ukitutajia huyo binti majina yake na wapi alikuwa akiishi. Na narudia tena, siungi mkono mauaji ya binadamu asiye na hatia kwa namna yoyote ile.
nimegundua hakuna kazi ngumu duniani kama UCHAWA!Huyo Lissu kaongea uhaini na ushahidi upo. Alitaka kinuke maana yake wangeweza kufa watu wengi zaidi ya hao waliokufaa, yeye hajali kwake liwalo na liwe.
unajaribu kusema nini?Na wewe imagine Samiya ni mama yako!
Ni picha ya kutengeneza na ni ni tukio la maigizo, Happy now?Samahani binti kiziwi, una uhuru wa kusema chochote, lakini nami nina uhuru wangu wa kusema pia, ikiwa wewe unamfahamu na ni siyo picha ya kutengenezwa na si tukio la maigizo naomba msamaha, na itakuwa vizuri ukitutajia huyo binti majina yake na wapi alikuwa akiishi. Na narudia tena, siungi mkono mauaji ya binadamu asiye na hatia kwa namna yoyote ile.
Waligeukana wenyewe kwa wenyewe, kosa la wananchi liko wapi?Vipi kuhusu polisi waliopigwa risasi nani anawapa haki yao?. Wao sio binadamu wenye kustahili mjadala?.
Yale yalikuwa machafuko (uasi) serikali ilipambana na uasi ikauzima, nyinyi CHADEMA mnajisumbua sana kuja na hizi hoja za Samia must go, yupo pale kakalia kiti kihalali, kikatiba.
Ndio maana JWTZ wanaheshimu mamlaka yake.
Na waliamini haitajulikana😭😱Yale MAUAJI yalikuwa ni hatari sana