"Nguvu iliotumika, inaendana na tukio" Hii kauli msiisahau watanzania

"Nguvu iliotumika, inaendana na tukio" Hii kauli msiisahau watanzania

Sisi tumempigia kura, wakati nyinyi mnahangaika na vurugu mitaani uchaguzi ulishafanyika sehemu nyingi za Tanzania.

Nia yenu ovu ya kuichafua Tanzania isitawalike ili mzungu fulani aje kutoka EU awe rais, imeshashindwa tayari.

Upuuzi wote mlioufanya mpaka mauaji ya maelfu ya vijana wasio na hatia yakatokea lengo lenu haswa ***** mmoja aje atawale Tanzania kutoka huko Ulaya!!.

Nyinyi ni wapuuzi kupita maelezo.
Halafu unaingia humu kwa vpn.
 
Muuaji wewe. Nihame nchi kwani nchi ya basha wako hii abdul? Wewe muuaji ndio uhame nchi
Basi kama huwezi kuhama kaa Kwa Amani fuata Sheria za nchi. Hutaki Amani toa pua yako tena safari hii hutapona
 
W

Wewe ***** hii nchi sio ya baba ako. Wananchi hatutaki utekaji, tunataka uchaguzi huru na katiba mpya.
Wananchi wewe na nani? Huoni wananchi wameamua kukaa kimya D9,D25 na J1 hola ? Upo peke yako. Ungekuwa na ujasiri ungetoka hizo siku tatu na Bango lako uone the real fire siyo kukaa behind the keyboard Kwa usaidizi wa max.
 
it's unforgettable! Kizazi na kizazi.
Bahati nzuri hata yeye ongea yake, sura yake mwaonekano wake kwa sasa matokeo yake yamedhirisha kupia hivyo, tena mapema kabisa jua halija pambazuka vizuri.
 
Wananchi wewe na nani? Huoni wananchi wameamua kukaa kimya D9,D25 na J1 hola ? Upo peke yako. Ungekuwa na ujasiri ungetoka hizo siku tatu na Bango lako uone the real fire siyo kukaa behind the keyboard Kwa usaidizi wa max.
Halafu ulivyo ***** unaingia humu kwa vpn na kumsifia anayekufanya uingie humu kwa vpn. Wewe si taahira tu. Mtu kalifungia hili jukwaa ila unaingia humu kwa vpn kumsifia the same person ambaye hataki ulitumie hili jukwaa. Wewe ni maiti tu
 
Ametumia 3rd law ya newton uzuri ina apply kote kote!
 
Kama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.

Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua hata hawa wahuni waliopewa bunduki, wanaweza kufanya makosa tena makubwa.
Ila kwakua ni wahuni wenzie wanaolinda uongozi wake haram, akaamua kuwajisifia mauaji.

Hii picha inadaiwa ni katoro mwanza na huyu binti alienda kusaga, unaweza kuona kindoo chake cha unga. Hizi ndio "nguvu inayoendana na tukio" Anayoisema samia muuaji.
View attachment 3523907
Bora sisi tuliopigwa lisasi kwenye maandamano mtasema tumejitakia ila wapo wengi waliuliwa hata maandamano hawajayaona. Na kwa uhuni huu siku akijasema "anajuta" Wahuni wenzie watasema kua yeye ni mtu mwema. Rubish.

Hakika Mungu atatenda na atalipa siku si nyingi, may all bad fate be upon you samia, your family and yout goons
So Sad
 
Mleta mada hongera, umechokoza mada katika angle ya msingi sana, “uhuni na ukosefu wa maadili” wa hawa askari wetu katika vitengo vyote sijui task force sijui nini nini wote wanafanana na kwakuwa recruitment yao pia ni kasheshe kuna vitu hawawezi kufikiri.

Nilivyosikiliza story ya Sativa alivyotekwa nilielewa zaidi hawa ni watu wa aina gani.
1.Intelligent 0
2.Morals 0
3.Uzalendo 0
4. Uhuni, matusi, mibange, uonevu 100. Wanaishi ishi tu kama wamekatwa vichwa.

Inaingia akilini mumteke mtu Dar muendeshe gari hadi Arusha, mlale kesho muanze safari ya katavi? kama sio ukichaa ninini? Kama sio kuchezea resources za walipa kodi ninini?

Watu wa aina hii wanakuwa deployed mitaani kwa case ya 29/10 si wanaweza piga risasi hadi sisimizi? Tukiachana na case za mauaji baada ya lockdown ambayo ni kitu cha ajabu kupata kufanyika, hata before lockdown wale waandamanaji walivyokuwa wanakimbia hawa “maaskari “ wakawa bado wanawafyatulia risasi za moto hovyo hovyo, Askari kabisa aliyeenda mafunzo na mwenye maadili ya kiaskari anamshambuliaje mtu aliyeretreat?
 
Sisi tumempigia kura, wakati nyinyi mnahangaika na vurugu mitaani uchaguzi ulishafanyika sehemu nyingi za Tanzania.

Nia yenu ovu ya kuichafua Tanzania isitawalike ili mzungu fulani aje kutoka EU awe rais, imeshashindwa tayari.

Upuuzi wote mlioufanya mpaka mauaji ya maelfu ya vijana wasio na hatia yakatokea lengo lenu haswa ***** mmoja aje atawale Tanzania kutoka huko Ulaya!!.

Nyinyi ni wapuuzi kupita maelezo.
We piga blah blah hapo kama Mwigulu.

Huyo ***** kutoka ulaya “anayetaka kutawala” hakutoa amri watu wauawawe 29-03/10. Unaowasingizia hawana jeshi lolote, hawakusanyi kodi na wala hawajaapa kwa katiba kulinda raia na mali zao. NOW unajua ikija suala la kuwajibika anayetakiwa kuwajibika ni nani.

Kama sheria inaruhusu kumiminia waandamanaji risasi, kupiga watu risasi mitaani na kwenye vichochoro msingehangaika kuficha miili. Kwa akili zenu hii ilikuwa ni damage control mnafanya japo nayo ni ya kijinga.

Mtu sio kuku useme utamuua ufiche mwili halafu story iishie hapo, When a human being goes missing, ndugu jamaa na marafiki wote wanamtafuta, simu zitapigwa kila mahali baada ya muda wataconclude kuwa Steven Joel Ntamusano Kwa majina yake matatu hajulikani alipo na kwa case ya 29-3 october basi atakuwa ameuawa. Ndio damage control gani ile mlikuwa mnafanya.

I hope next time hamtamruhusu abuduli aamue masuala ya nchi kwa kutumia simu ya mkononi.
 
Samiya ni raisi wa Tanzania, kama si mtanzania basi si raisi wako, na si bosi wangu kwani sifanyi kazi katika serikali au chama chake. Kutoa pole ni uungwana kwa kuwa yoyote aliyefikiwa na maafa.
Sijasema kuwa picha zilizoshuhudiwa ni AI, lakini nimesema ni vigumu kwa wakati wetu wa sasa kuamini picha kama hiyo ya huyo dada aliyefunikwa na kanga, kwani kuna watu wanaweza zitengeneza kwa AI au hata mtu akapangwa kufanya vile kama maigizo tu, na nasema tena siungi mkono mauaji yoyote ya watu wasiyo na hatia.
Acha unafiki sema kwa sauti naunga mkono mauaji yaliyofanyika , chagua upande tutakuelewa . Huyo dada aliyefunikwa shuka hapo(RIP) , ukiomba watu wakutajie watakutajia kwa majina yake matatu na kwao utapelekwa, sio kuku huyo ni binadamu ana ndugu, jamaa, marafiki na majirani acha assumptions za kipuuzi.
 
Back
Top Bottom