Mungu Yuko kaziniKama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.
Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua hata hawa wahuni waliopewa bunduki, wanaweza kufanya makosa tena makubwa.
Ila kwakua ni wahuni wenzie wanaolinda uongozi wake haram, akaamua kuwajisifia mauaji.
Hii picha inadaiwa ni katoro mwanza na huyu binti alienda kusaga, unaweza kuona kindoo chake cha unga. Hizi ndio "nguvu inayoendana na tukio" Anayoisema samia muuaji.
View attachment 3523907
Bora sisi tuliopigwa lisasi kwenye maandamano mtasema tumejitakia ila wapo wengi waliuliwa hata maandamano hawajayaona. Na kwa uhuni huu siku akijasema "anajuta" Wahuni wenzie watasema kua yeye ni mtu mwema. Rubish.
Hakika Mungu atatenda na atalipa siku si nyingi, may all bad fate be upon you samia, your family and yout goons
Mbona wewe unapenda kutetea sn upuuzi quoma la mamajakoInahitajika hekima kuweza kuunganisha walichokifanya wale mapolisi na hiyo kauli ya Lissu ya 'kukinukisha'.
Nawauliza hawa waungwana, mbona tarehe 9 na 25 desemba na jana tarehe 1 january hakuna hata mtu mmoja aliyepigwa risasi?.
Hiyo tume ikifanya hiki ulichotabiri ambacho wote tunajua wanakuja kumbebesha zigo la mav* Lissu, haitakuja kuwa total destruction kwa Lissu bali kwa CCM na serikali yake hasa executives.Ni kweli "Two wrongs don't make a right", na huu ulikuwa ni mtego aliyowekewa Samiya, lakini wao wakaona wapite nao kwa kufanya kilichotokea na kuipindua meza kwa Lissu na wenziwe na ni onyo kwa wanaotaka kuleta vurugu.
Hiyo tume itakachokuja nacho ni total destruction kwa Lissu.
Kama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.
Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua hata hawa wahuni waliopewa bunduki, wanaweza kufanya makosa tena makubwa.
Ila kwakua ni wahuni wenzie wanaolinda uongozi wake haram, akaamua kuwajisifia mauaji.
Hii picha inadaiwa ni katoro mwanza na huyu binti alienda kusaga, unaweza kuona kindoo chake cha unga. Hizi ndio "nguvu inayoendana na tukio" Anayoisema samia muuaji.
View attachment 3523907
Bora sisi tuliopigwa lisasi kwenye maandamano mtasema tumejitakia ila wapo wengi waliuliwa hata maandamano hawajayaona. Na kwa uhuni huu siku akijasema "anajuta" Wahuni wenzie watasema kua yeye ni mtu mwema. Rubish.
Hakika Mungu atatenda na atalipa siku si nyingi, may all bad fate be upon you samia, your family and yout goons
Najua kwenye siasa hakuna adui wa milele au rafiki wa milele, hivyo ingekuwa bora kwa sasa tupige mstari hapa tulipofikia na tujaribu tuanze safari nyingine itakayotuweka kwenye haki, amani na upendo.Hiyo tume ikifanya hiki ulichotabiri ambacho wote tunajua wanakuja kumbebesha zigo la mav* Lissu, haitakuja kuwa total destruction kwa Lissu bali kwa CCM na serikali yake hasa executives.
Itakuwa kosa ambalo watajutia milele..
Save my words. It will be a downfall of the perpetrators of the internal power struggle. A fall of the empire, because the whirl wind is in perpetual motion. No body can stop it.
Jibu swali! Huyo mama hapo alifanya kosa gani mpaka mkamuua? Na usilete urojo wako hapa! Kwanza huyo Lissu mwenyewe amewagaragaza mahakamani. Na hata sasa mnatapatapa tu kwa aibu.Kosa lilianzia hapa, hamuangalii aliyeanzisha bali mnaangalia aliyemalizia...
View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=9ZsKGWdJTSbDLh7P
Mama yako kaweka kifuu cha nazi.Mbona wewe unapenda kutetea sn upuuzi quoma la mamajako
Vipi kuhusu polisi waliopigwa risasi nani anawapa haki yao?. Wao sio binadamu wenye kustahili mjadala?.Samuya miyeyusho sana ,anataka maridhiano ya nini? Kaunda tume ya kukusanya maoni ya nini ingawa kwenye speeches zake huko nyuma alishatoa conlusion kwamba waliondamana wengi walitoka nje ya nchi? Mwigulu naye akasema waandamanaji wa ndani walilipwa pesa?
Samuya ndiyo aliyetoa order wananchi wauawe sasa anataka maridhiano gani? Aachie ngazi kwanza afikishwe kwenye vyombo vya kisheria apate haki ya mauaji na wote walioshiriki kuua raia washitakiwe.
Hakuna maridhiano bila haki ya waliouawa kupatikana.
Hayupo kihalali ,ameingia kimabavu ,hakuna uchaguzi uliofanyika Oct 29...Tume ya uchgauzi nayo haina uhalali wa kuwepo maana nao wamefanya UHUNI ambao ulisimamiwa na SAMUYA.Vipi kuhusu polisi waliopigwa risasi nani anawapa haki yao?. Wao sio binadamu wenye kustahili mjadala?.
Yale yalikuwa machafuko (uasi) serikali ilipambana na uasi ikauzima, nyinyi CHADEMA mnajisumbua sana kuja na hizi hoja za Samia must go, yupo pale kakalia kiti kihalali, kikatiba.
Ndio maana JWTZ wanaheshimu mamlaka yake.
Sisi tumempigia kura, wakati nyinyi mnahangaika na vurugu mitaani uchaguzi ulishafanyika sehemu nyingi za Tanzania.Hayupo kihalali ,ameingia kimabavu ,hakuna uchaguzi uliofanyika Oct 29...Tume ya uchgauzi nayo haina uhalali wa kuwepo maana nao wamefanya UHUNI ambao ulisimamiwa na SAMUYA.
Jibu swali! Huyo mama hapo alifanya kosa gani mpaka mkamuua? Na usilete urojo wako hapa! Kwanza huyo Lissu mwenyewe amewagaragaza mahakamani. Na hata sasa mnatapatapa tu kwa aibu.
Walioua raia ni chadema kwani mbona lawana unawapa wao? viongozi waote wa chadema oct nzima si walikuwa wamekamatwa na wapo jela?Sisi tumempigia kura, wakati nyinyi mnahangaika na vurugu mitaani uchaguzi ulishafanyika sehemu nyingi za Tanzania.
Nia yenu ovu ya kuichafua Tanzania isitawalike ili mzungu fulani aje kutoka EU awe rais, imeshashindwa tayari.
Upuuzi wote mlioufanya mpaka mauaji ya maelfu ya vijana wasio na hatia yakatokea lengo lenu haswa ***** mmoja aje atawale Tanzania kutoka huko Ulaya!!.
Nyinyi ni wapuuzi kupita maelezo.
Fitina ya kijinga mlifanya, serikali ina mkono mrefu. Wote waliosababisha vifo vyamaelfu ya vijana mmoja baada ya mwingine atadakwa.Walioua raia ni chadema kwani mbona lawana unawapa wao? viongozi waote wa chadema oct nzima si walikuwa wamekamatwa na wapo jela?
Kwahiyo clip na picha za mauaji tulizo zishuhudia ni AI! Mbona sasa bosi wako ametoa pole kwa wahanga na anahangaika kutaka kuunda tume za kuzuga ya maridhiano?Katika nyakati hizi, imekuwa vigumu sana kutoa maamuzi kwa kutegemea picha au video pekee, kwani maendeleo ya teknolojia ya AI yanaruhusu upotoshaji, na pia matukio yanaweza kuwa staged. Kwa busara, mambo mazito kama haya yanapaswa kuchunguzwa na taasisi zenye weledi wa kubaini uhalisia wake.
Kwa hali yoyote ile, sifurahii wala kuunga mkono kifo cha mtu yeyote asiye na hatia, wala sifurahii vitendo vya fujo vinavyopelekea kupotea kwa maisha ya watu.
Aidha, ni vyema kujiuliza, wale wanaowahamasisha wenzao kwenda kuandamana huku wao wakibaki salama majumbani mwao, je, hawana aibu wala dhamira ya kweli?
Hama nchi uende RwandaIla huyu mwanamke hata sijui nimuitaje. Hatufai
Samiya ni raisi wa Tanzania, kama si mtanzania basi si raisi wako, na si bosi wangu kwani sifanyi kazi katika serikali au chama chake. Kutoa pole ni uungwana kwa kuwa yoyote aliyefikiwa na maafa.Kwahiyo clip na picha za mauaji tulizo zishuhudia ni AI! Mbona sasa bosi wako ametoa pole kwa wahanga na anahangaika kutaka kuunda tume za kuzuga ya maridhiano?
Elimu ELimu Elimu ,walioua maelfu ya watu si magaidi wa MAMA? Hao Magaidi si walitoka zanzibar na wengine walikodishwa kutoka Uganda? CDM inahusikaje? Kama wameshawishiwa na nyie washawishini vijana wote wajiunge SISIEMU.Fitina ya kijinga mlifanya, serikali ina mkono mrefu. Wote waliosababisha vifo vyamaelfu ya vijana mmoja baada ya mwingine atadakwa.
Muuaji wewe. Nihame nchi kwani nchi ya basha wako hii abdul? Wewe muuaji ndio uhame nchiHama nchi uende Rwanda