"Nguvu iliotumika, inaendana na tukio" Hii kauli msiisahau watanzania

Hiyo picha imeniumiza sana.

Na ghafla furaha niliyokuwa nayo kutoka huko nilipokuwepo imeyeyuka ghafla
 
Samahani binti kiziwi, una uhuru wa kusema chochote, lakini nami nina uhuru wangu wa kusema pia, ikiwa wewe unamfahamu na ni siyo picha ya kutengenezwa na si tukio la maigizo naomba msamaha, na itakuwa vizuri ukitutajia huyo binti majina yake na wapi alikuwa akiishi. Na narudia tena, siungi mkono mauaji ya binadamu asiye na hatia kwa namna yoyote ile.
 
Kosa halirekebishwi kwa kosa! Ugaidi kamwe hautumii akili! Aliyeanzisha unaloita kosa mpaka sasa hamjaweza kulithibitisha hilo kosa lake, maana hahusiki, si na maandamano wala mauaji!
Kesi ipo mahakamani.
 
Jibu swali! Huyo mama hapo alifanya kosa gani mpaka mkamuua? Na usilete urojo wako hapa! Kwanza huyo Lissu mwenyewe amewagaragaza mahakamani. Na hata sasa mnatapatapa tu kwa aibu.
Huyo Lissu kaongea uhaini na ushahidi upo. Alitaka kinuke maana yake wangeweza kufa watu wengi zaidi ya hao waliokufaa, yeye hajali kwake liwalo na liwe.
 
Mlitaka kinuke, Lissu akawa anahubiri mbele ya kamera kwamba anakwenda kukinukisha, hakujua madhara ya kauli zake yanaweza kuwakuta watu wengi wasio na hatia wala wasiohusika.

Vita haina macho tusije siku nyingine kurudia kuropoka vitu tukiumba uovu kwa kutumia midomo yetu.

Apumzike kwa amani huyo dada wa watu.
 
ko ukiwa na uhuru wa kusema chochote ndo uongee pumba? Hata human rights wana limitations!
 
Ni picha ya kutengeneza na ni ni tukio la maigizo, Happy now?
 
Waligeukana wenyewe kwa wenyewe, kosa la wananchi liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…