Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Mkuu Nguvu huumba object yani energy hupelekea conservation of energy kwenda form mbalimbali hata vitu kama mawe vimetokana na nguvu na kushikiliwa na nguvu up to this time ,Kuns dark energy ambayo science bado haijavielezea, we are on process to ensure everything would be understandable, Mungu ni nguvu alio nayo binadamu ndani siku akifikia 100% kuitumia basi ndo utukufu au ukamilifu utakapokuwa anaetueleza mambo ya mungu wa anga za mbali anaturudisha nyuma na kutufunga kiakili
 
Ila unakawaida ya kutojibu maswali mkuu
Maswali yapi ambayo sijayajibu?

Unafahamu kwamba swali linaweza kuwa jibu la swali vizuri kuliko unavyotaka wewe kupewa jibu tu?

Ushawahi kusikia habari za mtu anaitwa Socrates? Unafahamu kitu kinaitwa "The Socratic Method" ?
 
Yanajipinga ki vip? Umesoma wapi na wapi kuhusu Mungu na kuona kuwa maelezo yanajipinga?
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezi kuwepo bila kupungukiwa kitu?

Huoni kwamba Mungu huyo anajipinga mwenyewe?

Huoni kwamba Mungu huyo hawezi kuwepo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe?

Huonibkwamba kuwepo kwa Mungu huyo nibsawasawa na kuwepo kwa "pembetatu ambayo hapo hapo ni duara" katika Euclidean geometry?
 
kwa sababu hakutaka tuwe mashine.
 
kwa sababu hakutaka tuwe mashine.
Alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya na sisi si mashine?

Wewe hapo ulipo si mashine ambayo haina uhuru wa kurudi nyuma katika muda? Unaenda mbele tu?

Argument yako kimsingi ina invoke free will.

Wewe una free will gani kama huwezi kurudi jana na juzi ubadilishe unayotaka kibadilisha?

Utasemaje tuna free will wakati hatuwezi kubadili tuliyotenda?

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao una free will lakini mabaya hayapo?

Mbona ulimwengu huu imewezekana kutorudi nyuma katika muda? Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya, kama kurudi nyuma katika muda, hayawezekani?
 
Kiranga, jambo moja kuu ambalo Mungu hawezi kulifanya ni Yeye mwenyewe Kutokuwa Mungu. Mungu ni Sheria na Nguvu, kwazo ulimwengu ulifanyika na unaishi.
Upendo ni tokeo la kutii sheria. Mungu katu hawezi kuwa kigeugeu.
Anaita sasa!
 
hapa hutakosa jibu hata niki kukueleza hutaelewa nenda youtube search the universe hapo fatilia halafu namengine utatafakari
 
Kiranga, jambo moja kuu ambalo Mungu hawezi kulifanya ni Yeye mwenyewe Kutokuwa Mungu. Mungu ni Sheria na Nguvu, kwazo ulimwengu ulifanyika na unaishi.
Upendo ni tokeo la kutii sheria. Mungu katu hawezi kuwa kigeugeu.
Anaita sasa!
Kwa hiyo Mungu hawezi kila kitu siyo?
 
Kwa hiyo Mungu hawezi kila kitu siyo?
Kabisaaaaa! Lipo jambo moja ambalo kamwe Mungu hawezi kulifanya nalo ndilo hilo la kufanya yeye asiwe Mungu. Ndio maana nilikuambia Mungu HAWEZI KATU kufanya upumbavu. Si kila kitu Mungu anaweza kufanya, kipo ambacho hawezi, nacho ni upumbavu.
Nilishawahi kukupa msingi wa tafakari bora, awe/asiwe, asifanye/afanye ILI IWE NINI?
 
Basi huyo si Mungu, ni mdoli tu.
 
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezi kuwepo bila kupungukiwa kitu?

Huoni kwamba Mungu huyo anajipinga mwenyewe?

Huoni kwamba Mungu huyo hawezi kuwepo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe?

Huonibkwamba kuwepo kwa Mungu huyo nibsawasawa na kuwepo kwa "pembetatu ambayo hapo hapo ni duara" katika Euclidean geometry?
kwenye kitabu Biblia inafundisha nini? katika sura ya 11 ina Kichwa kwanini kuna mateso mengi ulimwenguni? kuna maelezo ya kina kuhusu kuteseka na uovu. kinapatikana Mashahidi wa Yehova—Tovuti Rasmi: jw.org
 
Attachments

Mashahidi wa Yehova nimesoma nao miaka miwili.

Mzee wa Kanisa niliyekuwa assigned alishindwa kunijibu swali hili.

Hiyo sura ya 11 uliyoisema ni ya kitabu gani? Mstari wa ngapi?

Hiyo link sijaona jibu.
 
Back
Top Bottom