Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 1,775
- 1,011
Ila unakawaida ya kutojibu maswali mkuuUnaweza kuthibitisha mungu yupo?
Unajuaje sisimizi anajua nini na hajui nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila unakawaida ya kutojibu maswali mkuuUnaweza kuthibitisha mungu yupo?
Unajuaje sisimizi anajua nini na hajui nini?
Yanajipinga ki vip? Umesoma wapi na wapi kuhusu Mungu na kuona kuwa maelezo yanajipinga?Kwasababu maelezo yanayomtambulisha yenyewe yanajipinga
Maswali yapi ambayo sijayajibu?Ila unakawaida ya kutojibu maswali mkuu
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezi kuwepo bila kupungukiwa kitu?Yanajipinga ki vip? Umesoma wapi na wapi kuhusu Mungu na kuona kuwa maelezo yanajipinga?
kwa sababu hakutaka tuwe mashine.Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezi kuwepo bila kupungukiwa kitu?
Huoni kwamba Mungu huyo anajipinga mwenyewe?
Huoni kwamba Mungu huyo hawezi kuwepo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe?
Huonibkwamba kuwepo kwa Mungu huyo nibsawasawa na kuwepo kwa "pembetatu ambayo hapo hapo ni duara" katika Euclidean geometry?
Alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya na sisi si mashine?kwa sababu hakutaka tuwe mashine.
Kwa hiyo Mungu hawezi kila kitu siyo?Kiranga, jambo moja kuu ambalo Mungu hawezi kulifanya ni Yeye mwenyewe Kutokuwa Mungu. Mungu ni Sheria na Nguvu, kwazo ulimwengu ulifanyika na unaishi.
Upendo ni tokeo la kutii sheria. Mungu katu hawezi kuwa kigeugeu.
Anaita sasa!
Kabisaaaaa! Lipo jambo moja ambalo kamwe Mungu hawezi kulifanya nalo ndilo hilo la kufanya yeye asiwe Mungu. Ndio maana nilikuambia Mungu HAWEZI KATU kufanya upumbavu. Si kila kitu Mungu anaweza kufanya, kipo ambacho hawezi, nacho ni upumbavu.Kwa hiyo Mungu hawezi kila kitu siyo?
Basi huyo si Mungu, ni mdoli tu.Kabisaaaaa! Lipo jambo moja ambalo kamwe Mungu hawezi kulifanya nalo ndilo hilo la kufanya yeye asiwe Mungu. Ndio maana nilikuambia Mungu HAWEZI KATU kufanya upumbavu. Si kila kitu Mungu anaweza kufanya, kipo ambacho hawezi, nacho ni upumbavu.
Nilishawahi kukupa msingi wa tafakari bora, awe/asiwe, asifanye/afanye ILI IWE NINI?
Thibitisha hilo. Si kuongea maneno matupu. Anaita sasa.Basi huyo si Mungu, ni mdoli tu.
Mungu ni utimilisho wa kila kitu, ndiyo au siyo?Thibitisha hilo. Si kuongea maneno matupu. Anaita sasa.
kwenye kitabu Biblia inafundisha nini? katika sura ya 11 ina Kichwa kwanini kuna mateso mengi ulimwenguni? kuna maelezo ya kina kuhusu kuteseka na uovu. kinapatikana Mashahidi wa Yehova—Tovuti Rasmi: jw.orgKwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezi kuwepo bila kupungukiwa kitu?
Huoni kwamba Mungu huyo anajipinga mwenyewe?
Huoni kwamba Mungu huyo hawezi kuwepo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe?
Huonibkwamba kuwepo kwa Mungu huyo nibsawasawa na kuwepo kwa "pembetatu ambayo hapo hapo ni duara" katika Euclidean geometry?
Mashahidi wa Yehova nimesoma nao miaka miwili.kwenye kitabu Biblia inafundisha nini? katika sura ya 11 ina Kichwa kwanini kuna mateso mengi ulimwenguni? kuna maelezo ya kina kuhusu kuteseka na uovu. kinapatikana Mashahidi wa Yehova—Tovuti Rasmi: jw.org
SIYO. BIG NO. Mungu kamwe si utimilisho wa upumbavu, unasemaje kila kitu? Anaita sasa.Mungu ni utimilisho wa kila kitu, ndiyo au siyo?
back to the topicUnaweza kuthibitisha mungu yupo?
Unajuaje sisimizi anajua nini na hajui nini?