Spika: nadhani sasa wananchi wameelewa
Mbalawa; kunafaida kubwa sana kama nchi kuingia mkataba na DPW
WABUNGE; hata kama itakuwaje kelele za vyura hazimzuu ng'ombe kunywa maji.
rais;ni mkataba mzuri na siyo kwamba hatukutafakari:
Wananchi:[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji275][emoji275][emoji275][emoji1781][emoji1781][emoji1781][emoji15][emoji15][emoji15][emoji40][emoji40][emoji40][emoji849][emoji849][emoji849][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Wengine wakiangalia wanaona kama [emoji304] inanyemelea hivi..
Anyway Nyerere aliwahi kusema si vyema kupuuza maoni ya watu kabisa,.
B