Nguvu kuubwa akili kiduchu, serikali ijichunguze sana

Nguvu kuubwa akili kiduchu, serikali ijichunguze sana

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
Kwa vita ipi na mapambano yapi kutumia nguvu yote hii kulipia maroboti yaje kujaza comment session, kama mtu ni mzuri na ni mwema haihitaji hata kutumia nguvu kubwa kuelezea uzuri wake. PLO Lumumba aliskika akisema. If you do something and you spent an hour explaining what you have done then you have done nothing. You should let the thing that you have done to speak for themeselves.
1765356449481.png
 
View attachment 3513810
Nae ajiona shujaa kupambana na watoto hata manati hawana kajaza vifaru mabunduki kama anapambana na m23 wakati watoto hoja zao zinajibiwa kisiasa tu,ajira,tume huru ya uchaguzi,utekaji,katiba mpya nk
 
Kuna namna fulani waafrika wanalaana..eti wale watu wenye akili ndio wanapigwa vita na kuchukiwa kwenye jamii zetu..alafu haya madunduka yaani low IQ ndio wanapata nafasi nyeti..hii ni laana ...haitakaa itokee mtu mwenr Iq ndogo akaweza kuisadia jamiiau taifa...samia IQ yake ni ndogo sana hakustahili hata kuwa diwani..alafu mnategemee aje awe mkombozi wa uchumi wa taifa hili...haiwezekani...sana sana ni kuiba raslimali na kuinga mikataba ya kinyonyaji...na uporaji kwa ujumla.

Wale watu waliokuwa na akili darasani ni hazina kubwa sana katika kuisaidia jamii na taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom