Uchaguzi 2020 Nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya ya Tundu Lissu

Mkuu umenena, umechambua, umeeleweka. Lissu amebadilili kabisa game, tokea alipotua Tanzania akitokea Ubelgiji kwenye matibabu. CCM wanapojaribu kumjibu Lissu, wanakwama zaidi.
 
kundi hili ndilo linalo tembea na mabadiliko bila kujiuliza litapata faida gani, kwa kawaida huwa halina cha kupoteza[emoji848][emoji848][emoji848][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji818][emoji1548][emoji1534][emoji1548][emoji1534]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…