Uchaguzi 2020 Nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya ya Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya ya Tundu Lissu

Braza mshana samahani, hivi huipendi CCM au humpendi MAGUFULI??

Naomba unijbu.
 
Samahani kaka, kidole cha uandishi hakina mfupa, ila tuseme ukweli wewe sio kamanda.[emoji1787][emoji1787]
Mimi nasimamia maslahi ya wateja wangu...kuna wakati popo kuna wakati kinyonga...kikubwa shekeli...
 
Mimi nasimamia maslahi ya wateja wangu...kuna wakati popo kuna wakati kinyonga...kikubwa shekeli...
Wewe ni Chadema nani asiyekujua. Halafu hii tabia ya kuwa na sura ya kondoo kumbe ndani ni mbwamwitu mkali unayo sana we Mshana Jr . Hiyo tabia haipendezi hata kidogo. Kama we we ni Chadema weka wazi tu unaogopa nn
 
Sasa Jane niseme mara ngapi unielewe kuwa nilitoka CCM Mei Mosi 1984? Ila siasa sio uadui ...nikipata mteja wa CCM kilingeni siwezi kuacha kumhudumia kisa tofauti za kiitikadi
Na baada ya October 28 nitarudi CCM
 
Sasa Jane niseme mara ngapi unielewe kuwa nilitoka CCM Mei Mosi 1984? Ila siasa sio uadui ...nikipata mteja wa ccm kilingeni siwezi kuacha kumhudumia kisa tofauti za kiitikadi
Na baada ya October 28 nitarudi ccm
Mei mosi 84 ulikuwa umeshazaliwa? Hivi we kaka umeanza lini uongo?
 
KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA CCM
NITAKULA BATA SIKU SABA MFULULIZO...
SHETAN HANAGA RIVASI,MAJINI MWAKA HUU HAYAJALA MWENGE HAUJAKIMBIZWA
 
From Birmingham palace!?[emoji848][emoji30][emoji2960][emoji2827]
Sijapata kuona kiongozi mkuu wa nchi anaongea Kiingereza cha ajabu kama hiki.

Daaa aibu kwa taifa, huu mfumo wa elimu yetu unatengeneza viongozi wa namna hii?

Kuna tatizo sehemu si bura, bora wangemuandikia akasoma maandishi kuliko alichokisema pale.

Great shame for us.
 
Mei mosi 84 ulikuwa umeshazaliwa? Hivi we kaka umeanza lini uongo?
Sasa nikudanganye kitu gani hapa...Mbona nimeshaandika sana kisanga cha uhujumu uchumi kilichomkumba Mshana Senior my loving Daddy tena nikiwa naye!?

Niulize vita vya Mtukula 1979 ndio unaweza kunijua vema..usidanganyike na hii babyface nimekwepa mishale mingi tangu ugonjwa wa Juliana unaingia Tanzania mwaka 1982.
 
CCM inateswa na damu za watu wasiokuwa na hatia.That is the fact.....Goliath alipigwa na mtoto I mean mtoto Znz ndio anakwenda kuliua jitu japo wengi hawaoni kwa jicho la tatu.
 
Back
Top Bottom