Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Kamati ya ufundi? 🤣🤣🤣Kitengo cha mambo ya giza for future reference[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamati ya ufundi? 🤣🤣🤣Kitengo cha mambo ya giza for future reference[emoji1787]
Amua moja au wewe ni moja wao, Rc/DcBinafsi namkubali magufuri kwa kuboresha miundombinu, barabara ya kwenda kwetu kakonko-kasulu km 180 ipo kwenye ujenzi. Hivyo nimetangaza mara kadhaa kura yangu ni magufuri na familia yangu na wale wanaonitegemea nawashawishi wampigie kura JPM...
Kiroho zaidi..[emoji30]
Ni Lissu 2020Adhabu ya kifungo cha kutofanya kampeni imemalizika jana saa tano na dakika 59 usiku...kwa hiyo kuanzia asubuhi hii ya leo ya tarehe 9 yuko huru kuendelea na kampeni zake....
Huwezi amini nimejua kwamba Tanzania Kuna ugeni wa rais wa Malawi baada ya kusikia KINGEREZA CHA BABA JESKA kikijadiliwa otherwise Lissu ndio alitrend zaidi. I CAN'T REACH YOU.....!
[emoji2960][emoji2960][emoji2960] BAK Zionee huruma mbavu zangu hakujapazuka na huku nilipo hakuna silingi bodi na muda huu huu nimemsikia demu wa jirani yangu akimwambia jamaa 'KWANI UMEMALIZA'? nikicheka kwa sauti watadhani nawacheka wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Keep on tlaing I am tlaing to pleach but I kant lich you [emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji2960][emoji2960][emoji2960] BAK Zionee huruma mbavu zangu hakujapazuka na huku nilipo hakuna silingi bodi na muda huu huu nimemsikia demu wa jirani yangu akimwambia jamaa 'KWANI UMEMALIZA'? nikicheka kwa sauti watadhani nawacheka wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I can't reac you😂😂😂😂 mzee anaongea Swahili English, akajua anatuumbua kuwa ajui kingereza kumbe ndio ana haribu zaidiOngeza na hii mkuu kwenye hiyo para "so that to push the developments of our peoples!" Haaa, hiki Kibeberu au maneno ya Kibeberu? Eti naye Dr. anajitia aibu bure bora angekomaa na Kiswahili tu ili vyombo vimsaidie! Sijui Kibeberu 100% lakini cha huyu kimezidi!
Embu tuangalizie kama ameamka muda huu je aliota ndoto ganiKitengo cha mambo ya giza for future reference[emoji1787]
Mi simpendi Magufuli kwa kutufanya Watanzania kama mifugo yakeBinafsi namkubali magufuri kwa kuboresha miundombinu, barabara ya kwenda kwetu kakonko-kasulu km 180 ipo kwenye ujenzi. Hivyo nimetangaza mara kadhaa kura yangu ni magufuri na familia yangu na wale wanaonitegemea nawashawishi wampigie kura JPM...
Ila karibia atakata pumzi tuendelee kufanya sala au tuende kwa Babu.[emoji1][emoji1][emoji1]bado anapumua
A language similar to English...From Birmingham palace!?[emoji848][emoji30]
Aisee mshana hii clip imekwenda shule vibaya sana!! Naomba isambazwe kwa kasi ya kimbunga kuanzia insta, facebook hadi twitter. Watu waone Kwa nini ni muhimu kuichagua Chadema mwaka huu!!