Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Duh,,,,,,,hawa watu sijui wanakula nini aisee.Bado yupo ana miaka 94 kama sikosei lakini anadunda bado kama Mugabe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh,,,,,,,hawa watu sijui wanakula nini aisee.Bado yupo ana miaka 94 kama sikosei lakini anadunda bado kama Mugabe
Na mimi huwa nashangaa naona vizee vingi mitaani ambao wengi ni zaidi ya miaka 80 lakini leo huku afrika kuona wazee wakongwe ni nadra yaani watu wanakufa bado wadogo.Duh,,,,,,,hawa watu sijui wanakula nini aisee.
kashtukia ndio mana aliandaa mpango maalum wa kumwokoa binadamu.Inaonesha mungu bado hajastukia huo ujanja was shetani ?![emoji6] [emoji6]
usichanganye uchawi na alliens jambo vyote vinatekelezwa kwa minajiri ya kudanganya na kupotosha.Wanaoamini juu ya freemasonry, aliens, uchawi, ulozi, ushirikina ni watu wenye upeo Mdogo sana wa kufikiri sababu yote hayo hayapo.
Unajua matumizi ya alama ya mkato(,). Nimetumia alama ya mkato kama kiunganishi hivyo kila nilichotaja kinajitegemea from uchawi, ushirikina, ulozi, hadi extraterrestrials(aliens). Ninajua tofauti yao na yote kwa umoja wao hayapo ni story tuusichanganye uchawi na alliens jambo vyote vinatekelezwa kwa minajiri ya kudanganya na kupotosha.
Huo mpango wa vitisho kuwa usipompenda kama anavyokupenda atakuchoma moto for eternal life [emoji12] [emoji12]kashtukia ndio
kashtukia ndio mana aliandaa mpango maalum wa kumwokoa binadamu.
Hayo yote mwisho wake hapa hapa duniani1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni
2.Husafiri bila passport nje ya nchi
3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully
4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.
5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela
6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria
7. Ana uwezo wa kutolipa kodi
8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha
9. Ni malkia wa Australia pia
10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.
11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana
12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia
13. Anakinga ya kutoshitakiwa
14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames
15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
Kwahiyo unataka kusema kama mzee wa msoga angekuwa malkia?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo halali na mmewe kudadekiiiiiii...
Huko ofisini ana shughuli ghan wakati mamlaka ya kutawala kaachiwa PM..
Kikwete angepewa ratiba ka hii angejiuzulu uraisi
Hahaa! Mkuu unamwaibisha mwenye jinaHahahaha!
Mkuu hiyo ya 17 Ni Must.
kumbe ndio hili joka lichezalo baharini? Je hatokufa?Yes, yezebel...... Leviathan
Hilo nalo neno....Kwahiyo unataka kusema kama mzee wa msoga angekuwa malkia?