Nguvu wanayotumia vijana kwenye Simba na Yanga wangeitumia kushinikiza serikali kufufua viwanda vyote vilivyokufa nchi ingesonga mbele

Elimu, elimu elimu!!! Yaani ni hasara kubwa sana, wao habari za siasa wanakwambia hawazitaki, ambazo ndio zinaamua hatima yao, wao muda wote ni simba yanga,
Hatima Gani wewe kama maisha magumu ni kwako tu sisi tunashabikia simba na yanga na pesa tunazo
 
Kuna watu hamjui maana ya maisha mmekaa kitumwa muda wote poleni sana.

Lakini nikuulize maswali haya

1.Hao unaowasema Kuna siku walikuomba pesa?

2.Je,vijana wamechangia vipi kuua viwanda? Fafanua

3.kama miaka ya 1980 nchi ilikuwa na viwanda vingi,nipe takwimu kati ya miaka hiyo na Sasa ni era ipi Ina maisha local

4.michezo ni ajira,michezo ni burudani,hata serikali inahubiri haya Kila siku.je wewe ulitaka watu waburudike na nini?

5.acha kuishi na falsafa za kizamani mkuu,
 
Huyo mshamba tu maisha yamekua magumu kwake anadhani na wengine tuna maisha magumu kama yeye
 
Back
Top Bottom