Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hatima Gani wewe kama maisha magumu ni kwako tu sisi tunashabikia simba na yanga na pesa tunazoElimu, elimu elimu!!! Yaani ni hasara kubwa sana, wao habari za siasa wanakwambia hawazitaki, ambazo ndio zinaamua hatima yao, wao muda wote ni simba yanga,