Kuna watu hamjui maana ya maisha mmekaa kitumwa muda wote poleni sana.
Lakini nikuulize maswali haya
1.Hao unaowasema Kuna siku walikuomba pesa?
2.Je,vijana wamechangia vipi kuua viwanda? Fafanua
3.kama miaka ya 1980 nchi ilikuwa na viwanda vingi,nipe takwimu kati ya miaka hiyo na Sasa ni era ipi Ina maisha local
4.michezo ni ajira,michezo ni burudani,hata serikali inahubiri haya Kila siku.je wewe ulitaka watu waburudike na nini?
5.acha kuishi na falsafa za kizamani mkuu,