Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Huwezi kujitambia kitu usichokua nacho, huna mafanikio yoyote labda ujitambie ya wazazi au ndugu zako. Haters hawafanikiwi kamwe.
 
Wale wenye negative attitude juu ya The bold wapitie na hii comment pia.
 
Mkuu The bold we endelea kuchanja mbuga hawa panzi hawajaanza kuwepo leo, walikuwepo kabla na hata baada ya hawa wataibuka wengine, ni vizuri kuona wala hutikisiki na unaendelea ku-share vingi na sisi.
Kabisa chief...
Walikuwepo tangu thread ya kwanza miaka miwili iliyopita but we still here kicking a** [emoji123]
 
The bold,
Shukrani kwa makala zako za simulizi za kipekee ktk lugha ya Kiswahili zinazoelezea matukio muhimu ulimwenguni kama hili la "Black Wednesday".

Maana Jamiiforums inabidi liwe jukwaa linalotoa mwanga kuelewa matukio makubwa kama haya na kuelimisha pia kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
 
Huwezi kujitambia kitu usichokua nacho, huna mafanikio yoyote labda ujitambie ya wazazi au ndugu zako. Haters hawafanikiwi kamwe.
We malizia hizo missing points kwenye hili tangazo, kama una akili za panya sema; mipasho na kulialia kutafuta uonewe huruma hakutakusaidia; other wise scram slave rat!
 
We malizia hizo missing points kwenye hili tangazo, kama una akili za panya sema; mipasho na kulialia kutafuta uonewe huruma hakutakusaidia; other wise scram slave rat!
Nimekwambia tayari wewe ni mganga njaa sina cha kujifunza kwako sababu huna mafanikio yoyote zaidi ya ku-hate wanaofanikiwa so sina haja ya kupita unapotaka nipite.
 
Mkuu mbona hilo ni jambo la kawaida sana kwenye kazi za fasihi,wazungu wanaita product placement.mbona hata muvi nyingi zinamatangazo ndani yake.mfano mzuri ni The Transformers.etc.Fanani naye anahitaji kuweka mkono kinywani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…