Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Mkuu hao ni kama brokers na ndio wanaopiga pesa zaidi.

Hizo stori zao ni kama muhindi mwenye biashara ya sports betting akuletee lundo la ushuhuda jinsi wateja wake walivyopiga mamilioni.
Huoni kwamba anapiga promotion uende kwake apige pesa zaidi?

Wanachokifanya sio dhambi wala sio vibaya na sio wizi. Hiyo ni biashara kama biashara zingine.
 
Hii ni kwenu PADRI MCHARO NA WENZIO, binafsi mie ni mmoja kati ya watu wanawaelewa sana Kina ONTARIO, THE BOLD na wakongwe wengine huku JF, ONTARIO ndo member wa kwanza mie kumuona akielezea kile kinachompatia pesa ili wengine wafaidike kama yeye, kuanzia kwenye kilimo, ufugaji na biashara nyingine ambazo anaruhusu kuulizwa na kujibu na kuweka ushahid pia. Pia THE BOLD ni mmoja kati ya waandishi bora kabisa hapa jukwaani, kila mtu ni shahidi kuhusu hili jambo, wote hawa wana kitu kinachofanana yaani huwa hawakatishwi tamaa kwa kile wanachokiamini na kuamua kukifanya!! Sasa nyie hata mseme vipi nnamini mnazidi kuwaongezea kasi tu ili wazidi kutupa maarifa zaidi, nashangaa mnapesma eti ONTARIO anatapeli watu! ONTARIO ni member wa JF anaefahamika hatumii avatar feki na kujificha kama wengine! THE BOLD ana mpaka group yake ya WhatsApp na anajulikana kwa wengi huku ndani na nje ya JF, big up sana MAKAMANDA msikatishwe tamaa na haters kama kina MCHARO na wengineo!
 
Sifa mojawapo ya Kuwa Hater hapa Jf ni kushindwa kukosoa hoja kwa hoja badala yake atashambuliwa mtoa mada binafsi. Kwa mfano The bold kafanya utafiti wake kaja na hii makala. Huwa inauma sana mtu anakuja anashambua "hamna kitu hapo umeandika upupu tu". Samahani kwa lugha nitakayoitumia, lakini huyo mtu ukimwambia ni wapi aoneshe alipoandika na huo upupu anaanza kujamba jamba tu pyupyupyu.

Niliwahi kujiweka katika viatu vya hater kwa siku moja tu. To be honest i really had a terrible day.. Hebu jaribu fikiria ONTARIO mpaka sasa ameshatoa mafunzo kwa watu zaidi ya 500 na kila siku mishipa inatoka kwa kumuita tapeli. Mbaya zaidi hakuna hata mmoja kati ya hao waliopata mafunzo aliyefungua uzi kulalamika kutapeliwa. Niambie ni maumivu kiasi gani unakuwa umejibebea?

Nashukuru Mungu nimejifunza kutokuwa na roho ya kuchukia iwe kwa jambo baya au zuri. Siwezi kuandika vitu hasi kwa mtu nisiemjua. Ndio leo hii utasema fulani malaya, tapeli au mwizi halafu siku unakuja kugundua huyo mtu hayuko hivyo utakumbuka kumuomba msamaha?!! Baadhi yetu tunaikumbuka kesi ya kevin isaya, ni mfano mdogo lakini nilijifunza makubwa. Kipindi anaanzishiwa nyuzi za kudaiwa wakaungana kumshambulia ila kipindi zinaanzishwa nyuzi za wale walioanza kulipwa pesa yao baadhi yetu wakasema anajianzishia nyuzi ili ajisafishe. Hater hana muda wa kufikiri kwamba ina maana na zile nyuzi za mwanzo alikuwa anajianzishia ili kujichafua?!

Tubadilike, unapokosoa kitu kosoa kwa hoja vinginevyo utaonekana hater tu kama haters wengine. Na kawaida ya hater huwa hana muda wa kufikiri.
 
Mimi mwenyewe ni mmoja wa hao uliowataja mkuu, hao jamaa wanao mdis THE BOLD sijawahi hata kuona pumba zao humu so its better to shut your mouth kama kitu hakikufurahishi, next story nitag mkuu wetu the bold
 
Bravo
 
Hakuna aliyemlazimisha mtu. Na wala hakuna aliyesema forex ni biashara ya kumfanya mtu kuwa tajiri.

Utajiri kwenye maisha ya mtu unategemea zaidi aina ya mtu, na njia alizo nazo katika kupata kipato. Huwez ukawa na duka moja ukasema ww ni tajiri ama ukamiliki hiace 5 ukasema ww ni tajiri.

Kadhalika huwez ukawa na mtaji wa dola10000 forex ukasema ww ni tajiri.

Forex kama zilivyo biashara nyingine husaidia kukuongezea kipato.

Ili mtu awe tajiri yanipasa awe na njia Saba tofauti za kumuingizia kipato
 
Mkuu nami nihesabiwe(uni tag), Mkuu we piga kazi achana na wenye chuki.
 
Mkuu umeongea jambo la maana sana, Watanzania walio wengi wanataka mafanikio ya haraka haraka, Kuna dogo aliingia kwenye FOREX na dola 50, anaendelea vizuri sana wengi hawafuatii taratibu na hawatimuu risk stratergy zinazotakiwa, tamaa inawafanya waunguze akaunti, Biashara ni uvumilivu.
 
Umenikumbusha wale mashuhuda wa foreverliving walivyokuwa wanahaha mitandaoni na yule bigsam Forever Living!
 
Quite the contrary, the story has been designed to entice and entrap prospective slave rats.
Sio kila kitu kwa ajili ya kila mtu, wengine uwezo wao ni mdogo, matokeo yake wanashindwa na kuishia walipoishia, wengine wamezaliwa haters hawa Huwezi wabadilisha ndio walivyo, na kubali tu matokeo.
 
Wameni kera sana Mimi hao wapumbavu wanaoponda tafiti za watu halafu wenyewe no vichwa maji tu fyuuuuuuu *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…