Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Patience mkuu... jumatatu sehemu ya pili inakuwa hapa.
The Bold, kupitia post yako ya pili no 516, nimejua kwa nini soko limekuwa gumu hasa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka. Umenisaidia sana aksante.

Pia uliahidi kila baada ya siku moja unashusha. Sasa leo nasubiria ushushe maana kwa ratiba yako ni jumamosi, jumatatu na leo jumatano natarijia mwendelezo.

Ufafanuzi mkuu
 
The bold, naomba unitag mkuu. Hongera kwa kututoa tongotongo
 
Nilitegemea sehemu ya tatu Leo nimengoja mwisho nimekubali matokeo sijui alhamis labda
 
Andiko zuri mkuu, je ni vitabu gani vilivokupa uwezo wa kuwa smart hivo ambavyo unaweza pebdekeza kwa kijana anayetaka kuwa smart kama wewe asome??
 
kwa mtu ambar amewahi kusoma international finance na treasury management ataelewa sana haya yanayosemwa hapa
 
Andiko zuri mkuu, je ni vitabu gani vilivokupa uwezo wa kuwa smart hivo ambavyo unaweza pebdekeza kwa kijana anayetaka kuwa smart kama wewe asome??
Usmart wa mtu hauhitaji kusoma sana....
Speak when there is a crucial reason to do that.. mengne PM
 
Mkuu njoo Pm
 
Ngoja na mimi nifuatilie habari za role model wangu, George Soros
 
Siku hiz hater ni wanaume watu wazima mnatia aibu wanaume suruali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…