white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,321
- 2,488
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona chai imekuwa nzito sanaBold hiyo chai unakunywa mwaka mzima..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona chai imekuwa nzito sanaBold hiyo chai unakunywa mwaka mzima..?
The Bold, kupitia post yako ya pili no 516, nimejua kwa nini soko limekuwa gumu hasa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka. Umenisaidia sana aksante.Patience mkuu... jumatatu sehemu ya pili inakuwa hapa.
Sehemu ya pili uko wapi?Nilitegemea sehemu ya tatu Leo nimengoja mwisho nimekubali matokeo sijui alhamis labda
Kasema post 518 fatila izo comment mfano comment yako ni ya 648 kwaiyo rudi nyuma mpaka post 518 utaiyona ipoSehemu ya pili uko wapi?
hahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona chai imekuwa nzito sana
sio page 518, ni post 518.Mbona sehemu ya pili siioni?msaada wakuu page 518 siioni...
Soma 516Sehemu ya pili uko wapi?
Usmart wa mtu hauhitaji kusoma sana....Andiko zuri mkuu, je ni vitabu gani vilivokupa uwezo wa kuwa smart hivo ambavyo unaweza pebdekeza kwa kijana anayetaka kuwa smart kama wewe asome??
Mkuu njoo PmSitegemei kitu kipya kwa hizo episode zingine zinazokuja kwamba zitamsaidia nini mlaji mpya zaidi ya kumvuta kuingia kwenye huo mkahawa. Na wiwa kusema hivi kwa sababu huwezi kumharibia mwajiri wa mchumba/mkeo wako zaidi ya kumfagilia ili kulinda mkate wako na familia yako.
Kinachoniumiza mimi ni kwanini akaunti za hawa wanafunzi broker anaziunguza wakati anajua kabisa hawa ni wanafunzi ambao wanahitaji muda wakuelewa hiyo pips, tena wanafunzi wakitanzania ambao uwezo wao wa kudig taarifa ni mdogo na computer wamejifunza theoretical zaidi ya practical.
Kwanini broker asiwe hapa Tanzania ili iwe rahisi kwa serikali kuhakiki hii biashara, Halafu kuna kaupepo fulani hivi kahii biashara na wanaijeria, wanaijeria wamekuwa wengi sana kwenye hii biashara ya forex hasa kipindi hiki ambacho vyuma vimekaza na uwezo wa kununua grisi hakuna. Watanganyika kazi tunayo mpaka kufika nchi ya ahadi.