Nguvu ya CHADEMA mitandaoni imeenda wapi?

Mkuu Dr slaa bora alivyoondoka Cdm lakini Kama angekuwepo bado yupo chadema kwa utawala wa mfu Magufuli angekuwa wa kwanza KUPIGWA RISASI KABLA YA LISU.
 
Mkuu Dr slaa bora alivyoondoka Cdm lakini Kama angekuwepo bado yupo chadema kwa utawala wa mfu Magufuli angekuwa wa kwanza KUPIGWA RISASI KABLA YA LISU.
Wenye akili hawawezi kubaki chadema
 
Ukabila na ubaguzi wao, unawarambisha vumbi. Ile gear ya kujiita kanda ya kasikazini imekwama. Nilisoma JF member mmoja akidadavua juu ya hilo ambayo ilikuwa mbinu ya uchagani kuwavuta Arusha wawaunge mkono, lakini ni kweli kwamba ubaguzi wa kikabila ulioko uchagani ni sumu kwa wengine. Hata wapare wanabaguliwa kwa kuamini wao wako juu mkoa mzima.

Sasa unamkuta mtu anajiandikia, sukuma gang, MATAGA, bhla! bhla! bila hata kuangalia anamfurahisha nani na kumuudhi nani, baadaye anategemea aungwe mkono ashike TZ, Wapi!
 
Mlijindanganya magu ni kamungu kwenu toka afe bado akili haijawarudia
Hakuna nguvu ya mtandaoni. There is no such thing.
Wapinzani wanaishi maisha ya kujidanganya.
Halafu bàadaye wanasema wameibiwa kura kwa sababu Jamii Forum ilisema watashinda

Wenye akili hawawezi kubaki chadema
Yule shetani angempiga risasi kabla ya Lisu.
 
Hata wafanye kulia na kugaagaa majukwaani hawawezi kufanikiwa.
 
Wenye akili hawawezi kubaki chadema
Hivi kumbe siku hizi (eti) akili zinapimwa kwa bidii ya 'kuimba mapambio' ili waweze kwenda maliwato?
Kwa kweli ndugu yangu watia huruma.
 
Tatizo sio CDM, tatizo ni kuwa miaka yote hakujawahi kuwa na upinzani wa kweli zaidi ya upinzani wa misimu...

Walianza kina Mrema enzi ya NCCR, CUF ya Sharrif, CDM ya Slaa/Zitto, CDM ya Mbowe/Lissu na watakuja wengineo...
 
Hakuna nguvu ya mtandaoni. There is no such thing.
Wapinzani wanaishi maisha ya kujidanganya.
Halafu bàadaye wanasema wameibiwa kura kwa sababu Jamii Forum ilisema watashinda
That is being frank!
Kuna tatizo, hadi JF ikawa ni sehemu ya kampeni za kudanganyana. Hata thrd za kusifia Magufuli na CCM zikawa zinafutwa. JF ikajaa thrd za CHADEMA na Lissu tu! Ukiandika uzembe wa Lissu, thrd inafutwa. Watu wakabweteka wakati wanaelewa vijijini hakuna anayejua JF ni nini. Waliposhindwa, ikawa tumeibiwa, hatukubali, ..... bhal! bhla!
 
Kwenye ile kesi ya kubumba last year watu walichanga Millioni 300+ in less than 24 hours !

Ila kwakua MATAGA ulikua unaimba mapambio kijijini kwenu Ikwriri huwezi kujua nguvu ya mitandaoni! Hadi mflame akaizima siku ya uchaguzi
 
Usiseme watu, sema wachaga tulichanga, simple!
 
Tatizo la chadema sasahivi hawana sera tofauti enzi za kina wilbrod slaa sasahivi sera ni kumkashfu hayati Magufuli kulalamika Luis kapigwa risasi wanaonewa na serikali wapate huruma za wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…