Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mnachekesha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani iwe nanyi.
Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in Blood kule Facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko Instagram ndiyo balaa kabisa, njoo JamiiForums hali ni hiyo hiyo!
Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote, leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je, Tundu Lissu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je, ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na Konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana? Au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?
Hili wimbi la wafuasi wa Chadema kutukanwa mitandaoni chanzo ni nini?
Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
Mkuu Dr slaa bora alivyoondoka Cdm lakini Kama angekuwepo bado yupo chadema kwa utawala wa mfu Magufuli angekuwa wa kwanza KUPIGWA RISASI KABLA YA LISU.Toka lini ccm mkaitakia mema CHADEMA???
Kwanza kuedelea kumtaja Dk Slaa na CHADEMA ni kuonyesha namna mlivyozoea kufanya siasa nyepesi!
Dk Slaa hata angekuwemo ndani ya CHADEMA mpaka leo kwa style ya utawala wa mwendazake katika hiki kipindi cha miaka 5 wala asingewezafanya lolote, zaidi angeishia kutekwa au kushambuliwa kwa risasi 32 !
Tumeshuhudia viongozi wa upinzani wakizuiwa kufaya mikutano, na hata wale waliofannikiwa kuvuka vikwazo lukuki na kujaribu kuhutubia walishushwa majukwaani katika namna iliyojaa udhalilishaji mkubwa!
Ilifika mahala DC anavamia hadi kikao cha ndani na kukaa kusikiliza kinachajadiliwa ilihali sio mjumbe wa kikao hicho a wala hakualikwa!
Pia unapaswa kutambua kuwa CHADEMA haifanyagi biashara ya kununua watu na kuwaweka mitandaoni wakatukane makda au viongozi wa vyama vingine. kwa hao mliowaandaa humo mitandaoni acha waendelee kufanya kazi mliowatuma, CHADEMA wanajenga chama!
Tuonyeshe hayo matusiKwa nini mnatukanwa?
Amani iwe nanyi.
Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in Blood kule Facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko Instagram ndiyo balaa kabisa, njoo JamiiForums hali ni hiyo hiyo!
Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote, leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je, Tundu Lissu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je, ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na Konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana? Au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?
Hili wimbi la wafuasi wa Chadema kutukanwa mitandaoni chanzo ni nini?
Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
Hakuna nguvu ya mtandaoni. There is no such thing.
Wapinzani wanaishi maisha ya kujidanganya.
Halafu bàadaye wanasema wameibiwa kura kwa sababu Jamii Forum ilisema watashinda
Yule shetani angempiga risasi kabla ya Lisu.Wenye akili hawawezi kubaki chadema
Hata wafanye kulia na kugaagaa majukwaani hawawezi kufanikiwa.Amani iwe nanyi.
Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in Blood kule Facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko Instagram ndiyo balaa kabisa, njoo JamiiForums hali ni hiyo hiyo!
Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote, leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je, Tundu Lissu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je, ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na Konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana? Au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?
Hili wimbi la wafuasi wa Chadema kutukanwa mitandaoni chanzo ni nini?
Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
Hivi kumbe siku hizi (eti) akili zinapimwa kwa bidii ya 'kuimba mapambio' ili waweze kwenda maliwato?Wenye akili hawawezi kubaki chadema
That is being frank!Hakuna nguvu ya mtandaoni. There is no such thing.
Wapinzani wanaishi maisha ya kujidanganya.
Halafu bàadaye wanasema wameibiwa kura kwa sababu Jamii Forum ilisema watashinda
CCM hamuwezi kujadili cha msingi zaidi ya kutaja ubeberu na Konyagi?
Usiseme watu, sema wachaga tulichanga, simple!Kwenye ile kesi ya kubumba last year watu walichanga Millioni 300+ in less than 24 hours !
Ila kwakua MATAGA ulikua unaimba mapambio kijijini kwenu Ikwriri huwezi kujua nguvu ya mitandaoni! Hadi mflame akaizima siku ya uchaguzi
Katiba mpyanyie cha msingi mnachojadiligi pale kwenye ile ofisi ni nn? kumchukua lowasa tena ama
Vyote kwa pamojakatiba itakayowasaidia wananchi ama itakaowaingiza madarakani?