Nguvu ya kiroho ya maji ya kisima kisichokauka

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Habari wakuu

Naamini wengi mnavijua visima ambavyo miaka mingi havikaukiwi maji .

Maji hayo yana nguvu kiroho endapo yatatumiwa ipasavyo,

Kiimani inaaminika maji haya mtu akiyaoga kwa kunuia au kumwaga eneo la kazi, basi jambo lake halitakauka kama maji hayo yasivyokauka ktk kisima hicho

Mfano wateja ktk biashara, mvuto n.k

Hili jambo sio geni kwani manabii mitume na mashekhe huyatumia maji haya kuponya watu changamoto mbali mbali zinazowakabili,

Manabii Wengine huyauza mpaka laki mbili kwa chupa wakati unaweza kuyapata hapo hapo mtaani kwako tena bure tu

Hii ni siri ambayo hakuna mtu atakaa akupe ila OMOYOGWANE kwa moyo mkunjufu nakupa siri hii bure kabisa

Nimewafungulia code adimu

Nasubiri mrejesho
 
Nafikir hapo ni imani tu ndio inayotumika na unaweza kutumia maji yoyote
Pasipo imani sidhani kama yanaweza fanya kazi
 
Ulishawahi kujaribu hayo unayo eleza ukafanikiwa?
GridArt_20250307_081801730.jpg
 
Nafikir hapo ni imani tu ndio inayotumika na unaweza kutumia maji yoyote
Pasipo imani sidhani kama yanaweza fanya kazi
Kama ibgekuwa hivyo mkuu basi hakuna ambaye angepata changamoto maana watu huoga kila siku kwa maji yeyote
 
Ni damu ya Yesu peke yake ndio kisima cha maji ya kiroho kisichokauka,tofauti na hapo ni mbinu anazotumia shetani kuwateka wale wasiokuwa na macho ya kiroho.
 
Je wanaweka manuizi / kufanya maombi kwa imani
Ili maji hayo yaweze kufanya kazi lazima uyaombee
 
Habari wakuu

Naamini wengi mnavijua visima ambavyo miaka mingi havikaukiwi maji .

Maji hayo yana nguvu kiroho endapo yatatumiwa ipasavyo,

Kiimani inaaminika maji haya mtu akiyaoga kwa kunuia au kumwaga eneo la kazi, basi jambo lake halitakauka kama maji hayo yasivyokauka ktk kisima hicho

Mfano wateja ktk biashara, mvuto n.k

Hili jambo sio geni kwani manabii mitume na mashekhe huyatumia maji haya kuponya watu changamoto mbali mbali zinazowakabili,

Manabii Wengine huyauza mpaka laki mbili kwa chupa wakati unaweza kuyapata hapo hapo mtaani kwako tena bure tu

Hii ni siri ambayo hakuna mtu atakaa akupe ila OMOYOGWANE kwa moyo mkunjufu nakupa siri hii bure kabisa

Nimewafungulia code adimu

Nasubiri mrejesho
Ni uzushi tu mkuu, mi nilichotaga kule bagamoyo nikamwagia kwenye gari yangu ya biashara miaka ya 2001, gari ilipata majanga ya ajali , ajali ya mwisho ilikuwa mataa ya uhasibu pale.

Ni utapeli tu hayo maji ya visima hayana nguvu zozote za kiroho,kama ilivyo mafuta na maji ya Mwamposa,kuna jamaa alikuwa anamwagia madukani kwake maji ya upako,still alifirisika vibaya sasaivi anaendesha bodaboda hataki hata kumsikia huyo tapeli wa kawe.
 
Imani zipo nyingi siwezi kukukatalia, ila kwa anayemwamini Yesu hii haimhusu
 
Ni damu ya Yesu peke yake ndio kisima cha maji ya kiroho kisichokauka,tofauti na hapo ni mbinu anazotumia shetani kuwateka wale wasiokuwa na macho ya kiroho.
Hiyo damu ya yesu ni ya kufikirika
 
Ni uzushi tu mkuu, mi nilichotaga kule bagamoyo nikamwagia kwenye gari yangu ya biashara miaka ya 2001, gari ilipata majanga ya ajali , ajali ya mwisho ilikuwa mataa ya uhasibu pale.

Ni utapeli tu hayo maji ya visima hayana nguvu zozote za kiroho,kama ilivyo mafuta na maji ya Mwamposa,kuna jamaa alikuwa anamwagia madukani kwake maji ya upako,still alifirisika vibaya sasaivi anaendesha bodaboda hataki hata kumsikia huyo tapeli wa kawe.
Usikimbilie kuhukumu mkuu

Kilichokufanya ukayachote bagamoyo ndio sababu ya msingi ya wewe kupata majanga

Ule msukumouliokupereka huko maana yake kuna sababu tatizo lako lilikuwa kubwa nahisi ilitakiwa utegue ndio ufungue kwa maji hayo uliyochota
 
Hapo ni ishu ya subconscious mind tu hata bila kisaidizi chochote ukikinuizia huwa.
Tumepewa freewill uchague chochote utakacho unapata duniani
 
Hiyo subcounscious mind siyo mwisho wa maarifa
 
Back
Top Bottom