OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Habari wakuu
Naamini wengi mnavijua visima ambavyo miaka mingi havikaukiwi maji .
Maji hayo yana nguvu kiroho endapo yatatumiwa ipasavyo,
Kiimani inaaminika maji haya mtu akiyaoga kwa kunuia au kumwaga eneo la kazi, basi jambo lake halitakauka kama maji hayo yasivyokauka ktk kisima hicho
Mfano wateja ktk biashara, mvuto n.k
Hili jambo sio geni kwani manabii mitume na mashekhe huyatumia maji haya kuponya watu changamoto mbali mbali zinazowakabili,
Manabii Wengine huyauza mpaka laki mbili kwa chupa wakati unaweza kuyapata hapo hapo mtaani kwako tena bure tu
Hii ni siri ambayo hakuna mtu atakaa akupe ila OMOYOGWANE kwa moyo mkunjufu nakupa siri hii bure kabisa
Nimewafungulia code adimu
Nasubiri mrejesho