Nguvu ya majina yako

Nguvu ya majina yako

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2020
Posts
3,699
Reaction score
8,857
Hivi inakuwaje mtu[ngozi nyeusi mzawa wa ujiji] unaitwa:-
JOHNSON DONALD?.

Yaani jina kama vile unaangia Muvi za Kimarekani!!.
Yaani, mi nikukutana na mtu kwa Mara ya kwanza, majina yake yote ndiyo yataamua nimpe mkazo ama nimpotezee.
COSSANI NDAVILABHONA.
IDALE MADUHU.
MSHAIJI KHAMISI.
MASUNGA MACHIMU.
MLOKOZI KAMZIMA.
MAYALA BUPYENA.
KAYEBHA MAIKO
MASANJA NDAMA YAPE.

jamaa zangu hawa wa karibu wanafanya vizuri sana kiuchumi katika kijiji chetu na hawana ujinga ujinga wa Hollywood.
 
Ni kasumba tu ya kuiga Wazungu. Unaacha Mila yako unafuata zao, huo ni ukichaa.
Ukiwa nchi za Kusini hivi.. Mfn mdogo South Africa.
Kati ya wazawa 10 ni mmoja ama asiwepo kabisa mwenye jina la David blown.
Lindani,shibhongile,mahalaghu, lebogang etc ndiyo Majina yao
Hata Marais wao ni mmoja tu ndiye ana jina moja la nje.
Tanzania sijui Tumekuwa wapi tu.. Na mkoloni aliondoka mapema ila
 
Hivi inakuwaje mtu[ngozi nyeusi mzawa wa ujiji] unaitwa:-
JOHNSON DONALD?.

Yaani jina kama vile unaangia Muvi za Kimarekani!!.
Yaani, mi nikukutana na mtu kwa Mara ya kwanza, majina yake yote ndiyo yataamua nimpe mkazo ama nimpotezee.
COSSANI NDAVILABHONA.
IDALE MADUHU.
MSHAIJI KHAMISI.
MASUNGA MACHIMU.
MLOKOZI KAMZIMA.
MAYALA BUPYENA.
KAYEBHA MAIKO
MASANJA NDAMA YAPE.

jamaa zangu hawa wa karibu wanafanya vizuri sana kiuchumi katika kijiji chetu na hawana ujinga ujinga wa Hollywood.
NTULI KAPOLOGWE
 
Back
Top Bottom