Nguvu ya majina yako

Nguvu ya majina yako

Alivyo fala, ako na jina lenye broken English hapa JF. Alafu bado anazodoa majina ya watu.

The audacity!

Next time, if you want my attention plug your brain with your mouth if you want a healthy discussion/argument with me...
Senseless urchin
 
Muache kupangia watu maisha...
wote humu mnatumia simu mara samsung sijui iphone ambazo ni (mila) tu na mambo ya Ughaibuni ,
Kwanini msifate mila za wazee wenu mkatumia mabaragumu na njiwa kuwasiliana😅😅
 
It's not my intention to discuss anything with you sir!
Then what led you to bad mouth my post?.
You expect to leave this page freely after vomiting your rubbish?

Okay. I forgiven you.
Let me share this knowledge with you.
Bath with coconut water every night after reading psalm 23.

Believe me, it works! Gradually you will become sensible person.
 
Bwana Maduhu Kwann majina ni nongwa zaidi mkuu?

1. Ni Sawa kuacha utamaduni wetu wa kujihifadhi na kuanza kuvaa kama wao?

2. Ni Sawa kuacha vyakula vyetu vya asili na kuanza kula kama wao

3. Ni Sawa kuacha lugha zetu za asili na kujifunza na kukariri lugha zao?

4. Ni Sawa kuacha kujitibu kwa taratibu zetu za asili na kuanza kujitibu kwa matibabu yao?

5. Ni Sawa kuacha dini/Imani zetu za asili na kuanza kuabudi dini walizotuletea?

Kwanini unachagua kumdharau/kumpotezea mtu mwenye jina la 'kizungu' lakini unamuheshimu mtu mwenye jina la asili ambae kavaa kama mzungu, anawasiliana kwa kingereza na akiumwa anakunywa panadol badala ya muarobaini?
 
Muache kupangia watu maisha...
wote humu mnatumia simu mara samsung sijui iphone ambazo ni (mila) tu na mambo ya Ughaibuni ,
Kwanini msifate mila za wazee wenu mkatumia mabaragumu na njiwa kuwasiliana😅😅
Hivi kupangiwa kuna alama ya kuuliza?.
Rudia kusoma nilichokiandika, mi sijampangia mtu.
 
Bwana Maduhu Kwann majina ni nongwa zaidi mkuu?

1. Ni Sawa kuacha utamaduni wetu wa kujihifadhi na kuanza kuvaa kama wao?

2. Ni Sawa kuacha vyakula vyetu vya asili na kuanza kula kama wao

3. Ni Sawa kuacha lugha zetu za asili na kujifunza na kukariri lugha zao?

4. Ni Sawa kuacha kujitibu kwa taratibu zetu za asili na kuanza kujitibu kwa matibabu yao?

5. Ni Sawa kuacha dini/Imani zetu za asili na kuanza kuabudi dini walizotuletea?

Kwanini unachagua kumdharau/kumpotezea mtu mwenye jina la 'kizungu' lakini unamuheshimu mtu mwenye jina la asili ambae kavaa kama mzungu, anawasiliana kwa kingereza na akiumwa anakunywa panadol badala ya muarobaini?
Technology,science dini lugha etc tuna share ila majina jamii nyingi ni utambulisho.
Khalid, Alphan automatically wenye nayo no waarabu.
Mtu uwe na jina japo 1 la asili yako, sio yote guys!!.
 
Sa kama ni hivyo mbona na wewe unajikuta mzungu siungeweka ya kiswahili au kilugha chenu iyo id
 
Kuliko aitwe Masumbuko Tabu bora iwe tu hivyo hivyo Johnson Donald!
Ongezea na Matatizo, Mateso, Mashida...

Majina Yana nguvu. Jina linaweza kuathiri maisha ya mtu.

Kuna baadhi ya watu wenye changamoto zinazoakisi majina yao. Mtu anaitwa matatizo, halafu unakuta matatizo hayampi likizo maishani mwake.
 
Back
Top Bottom