let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
- Thread starter
- #21
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alivyo fala, ako na jina lenye broken English hapa JF. Alafu bado anazodoa majina ya watu.
The audacity!
Kwenu hakuna wakina Manumbu nq manumba?.Nalikubali jina langu Alphonce marco ,,hayo mengine ni yenu.
let the caged bird sings si jina bali taito.Na ukajiita let the caged bird sings humu. Quite ironic. Wenye majina wanaweza singizia walipewa na wazazi, na hawakuwa na namna.
Then kuna faida gani nitapata au changes zipi nitazipata?Kwenu hakuna wakina Manumbu nq manumba?.
Badili hata jina Moja tu ili kuleta uhalisia.
It's not my intention to discuss anything with you sir!Next time, if you want my attention plug your brain with your mouth if you want a healthy discussion/argument with me...
Senseless urchin
Then what led you to bad mouth my post?.It's not my intention to discuss anything with you sir!
Unataka uijue faida?. Fanya hivyo nilivyojushauri baada ya mwezi mmoja ikiwa hakuna changes yoyote ni Pm.Then kuna faida gani nitapata au changes zipi nitazipata?
let the caged bird sings si jina bali taito.
Maduhu ndiyo jina.
Una maanisha Ngusugi ?Mwanamgu nime mpa jina la kikorea gusang go
Hivi kupangiwa kuna alama ya kuuliza?.Muache kupangia watu maisha...
wote humu mnatumia simu mara samsung sijui iphone ambazo ni (mila) tu na mambo ya Ughaibuni ,
Kwanini msifate mila za wazee wenu mkatumia mabaragumu na njiwa kuwasiliana😅😅
Technology,science dini lugha etc tuna share ila majina jamii nyingi ni utambulisho.Bwana Maduhu Kwann majina ni nongwa zaidi mkuu?
1. Ni Sawa kuacha utamaduni wetu wa kujihifadhi na kuanza kuvaa kama wao?
2. Ni Sawa kuacha vyakula vyetu vya asili na kuanza kula kama wao
3. Ni Sawa kuacha lugha zetu za asili na kujifunza na kukariri lugha zao?
4. Ni Sawa kuacha kujitibu kwa taratibu zetu za asili na kuanza kujitibu kwa matibabu yao?
5. Ni Sawa kuacha dini/Imani zetu za asili na kuanza kuabudi dini walizotuletea?
Kwanini unachagua kumdharau/kumpotezea mtu mwenye jina la 'kizungu' lakini unamuheshimu mtu mwenye jina la asili ambae kavaa kama mzungu, anawasiliana kwa kingereza na akiumwa anakunywa panadol badala ya muarobaini?
Kishimbenzobe Jidduzz
Jidu La Mbabasi original alishatangulia mbele za haki kitambo, alikua chama cha mzee Mapesa John Momose Cheyo. Jina lake halisi aliitwa Amani Nzugile Jidu La Mbabasi- RIP.
Ongezea na Matatizo, Mateso, Mashida...Kuliko aitwe Masumbuko Tabu bora iwe tu hivyo hivyo Johnson Donald!