Nguvu ya Make ups kwa wanawake

Nguvu ya Make ups kwa wanawake

Wekeni picha kweli anaatisha maana krim hapati tena. Weupe wa kununua kumbe rangi yake ilikua kama kwetu
 
Samahani mkuu....
Hivi huyo king Zumaridi anatokea ama anatawala nchi gani..??
Alafu kama king anajipodoa, mbona napata mashaka na tabia zake..[emoji55][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseeeee!! Kwa make-up hizi tunapigwa sana.
Kijijini au wale wadada/wanawake wasiohangaika na make-up ndio wazuri hasaHmuda wote na wanapendeza. Hawa wa mawigi ya wahindi ni shida tupu.

Asubuhi ukionana naye bila make- up anatisha na unaweza piga chini mzigo.

Unakuta ana rangi 3 au 4 za soda mwilini, yaani pepsi, fanta orange, supaleta, mirinda,stoney tangawizi n.k. kwa sababu ya kuweka puti kwenye miili yao.

Hawajui kuwa hizo puti zina madhara mwilini au?

Dada/mama zetu tunaomba mjiamini. Mungu hakukosea katika uumbaji wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1648802218356.png
1648802358646.png

SALON ZOTE ZIPIGWE MARUFUKU, TUNATAPELIWA SANA
 
[emoji2][emoji2][emoji2]jamani
Yeye pekee yake wengine hua tunapuyanga bila ht wanja yaani kwanza nikijiremba hua naloose confidence kabisaa may b niwe na mashosti kungine siwezi

Tena na joto la dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona wengi wanajipodoa for photoshoot au zile shughuli za usiku, ila mchana na hekaheka za kusaka hela woiii lipstick na wanja zinawakilisha vyema halmashauri ya sura [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tena na joto la dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona wengi wanajipodoa for photoshoot au zile shughuli za usiku, ila mchana na hekaheka za kusaka hela woiii lipstick na wanja zinawakilisha vyema halmashauri ya sura [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisaa!poda zenyewe za buku jero full kuchuruzika,Mimi pafyumu au spray mmemaliza!!baada ya hapo mwendo wa wanja nikikumbuka nkisahau basi imeisha hyoooo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom