Nguvu ya matajiri itakapoanza kuchukua nafasi yake, kilio cha wanyonge kumlilia Dkt. Magufuli itazidi kusikika na wa kuwazuia hatakuwepo

Ndiyo mjue magu alikuwa kiongozi mbovu na wa hovyo.kiongozi mzuri siku zote huweka mifumo imara ili hata kama hayupo mambo yaendelee,sasa mliokuwa mnaona maji na majengo ya masoko ni muhimu kuliko katiba bora ya nchi mnaanza kuweseka.wajinga ninyi
 
Ndiyo mjue magu alikuwa kiongozi mbovu na wa hovyo.kiongozi mzuri siku zote huweka mifumo imara ili hata kama hayupo mambo yaendelee,sasa mliokuwa mnaona maji na majengo ya masoko ni muhimu kuliko katiba bora ya nchi mnaanza kuweseka.wajinga ninyi
Kwani ameongoza bila katiba kuwepo?
 
Ili Taifa liwe na uwiano mzuri tunawahitaji wote tajiri na masikini...
Serikali isitake kuwa tajiri kuliko wananchi wake...
Wananchi wasikamuliwe mikodi ya kutisha...
Wananchi wasinyamazishwe...
Zaidi ya yote tunahitaji mifumo imara badala ya watu imara... Watu wanapita... Mifumo imara itadumu miongo mingi...
 
Ila hawa wamachinga wanachafua sana mji mtu huwezi kutembea vizuri kariakoo..wametapakaa inabidi utembee barabarani hawa wamachinga wakafanye biashara sehemu zao maalumh sio kiholela kama ilivyo sasa hivi
 
Badala ya matajiri kuwa watu wanaotisha wakawa watu wa chama.Yale yale tu.

Kabisa, sasa hivi mwanaccm anaweza kukufanya lolote na usifanye lolote. Wapinzani wengi chini ya utawala huu wa Magu wameachwa na vilema, hadi vifo na vyombo vya dola vinafumbia macho unyama huo. Haya yameripotiwa, na mengine tumeyashuhidia kwa macho.
 
Waliyochota mabilioni chato,wapo wapi?
 
Ebu acha fikra hzo yaani ya rais SAMIA SULUHU UNAMUONA DHAFU KWA KUWA NI MWANAMKE AU FUTA UZI WAKO
 
Ebu acha fikra hzo yaani ya rais SAMIA SULUHU UNAMUONA DHAFU KWA KUWA NI MWANAMKE AU FUTA UZI WAKO
Wewe ndio unamawazo ya kijinga na huwenda wewe ni mjinga

Umeona wapi nimeandika Jina la Raisi au kutaja kuwa ni mwanamke?

Jiheshimu dogo
 
Alikuwa anajenga taifa lenye uchumi mbovu sana. Yaani ni taifa la kijima. Work for mouth. Hauwezi kujenga taifa la hivyo halafu ukafanikiwa. Nyie mnaojiita wanyonge mnaona aliwatetea simply alikuwa akiwapumbaza, sasa ukiongeza na roho ya korosho ya waafrika ndio kabisa. Taifa bila biashara, bila ajira bila kuongea ndio taifa gani hilo?
 
Ukweli mchungu.
 
Tofauti ni kwamba matajiri wataendelea kula nchi,kipindi Cha Maghu sio kwamba matajiri au wapiga deal hawakuwepo,walikuwepo sana wale wa upande wa Maghu na maswaiba zake.
Maghu alizuia watu wa upande wa Kikwete wasile nchi,watu wa kanda ya ziwa ndio waliokula nchi sana kipindi hiki Cha miaka 5.
 
Hakuna mjadala wamachinga wanatakiwa kytafutiwa maeneo ya kufanyia biashara sio barabara zinazojengwa na walipa kodi fullstop.

...umekuwa mmachinga miaka mi5 hujafanikiwa kubuni kitu hata ukipewa 100 hutaweza,mmachinga gani ana msingi wa milioni 5!!
Duuu mapema tu hata kabla hatujazika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…