Nguvu ya mitandao: Nimeokota handbag yenye pesa kabla vibaka hawajaiwahi na kumrudishia aliyeidondosha kupitia Instagram

kwenye uislam ukiokota kitu unatakiwa umtafute mwenyewe au utangaze.
Kwa hyo zote hizo ukishindwa kumuona hyo Mali NI yako.
Sasa Mimi nisingetangaza Wala kumtafuta.
My dad huu unaenda mwezi wa pili au wa 3ana pochi ya mtu ina pesa sijui za nchi gani hukoo anakuambia situmii mpk nimpate mwenyewe aliokota maeneo ya Regency nimemuambia anipe nitangaze[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1]kachomoa!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Utangaze au ukimbie nayo?😝😝😝
 
Mimi sina demu, kwahiyo haya mambo ya handbags wala siyafahamu...

Hivi handbags si ndo zile wadada huwa wanashika mkononi au kuning'iniza begani?!

Kama ndivyo, how come tena mtu anadondosha handbag bila kufahamu, tena njiani?

Ingekuwa kwenye daladala, wala nisingeshangaa!!

Ni kwamba alikuwa anajisaidia, kwahiyo akaiweka chini na kuisahau hapo hapo, au?!

Kuhusu kuonekana mjinga kisa umerudisha, kwangu mimi HAPANA, manake katu nami nisingeweza kuzuia wakati nafahamu kabisa kuna uwezekano wa mwenyewe kupatikana!!

Na lau kama lingeniingia shetani la kunifanya nisimrudishie hiyo pesa, I swear hilo jinamizi lingeendelea kunitafuna maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani!!
 
Ebu mshawishi uenda tukampa mwenyewe
 
Ila haya mambo nahisi yanaendeshwa pasi na weledi, hivi kweli mtu aue then akae na simu mumpigie apokee awaelekeze hadi alipo mkamdake!! It doesnt make sense, sema tu wenye mamlaka huwa hawataki kujiongeza kufanya upelelezi na ukute hata huo weledi wa kufanya upelelezi hawana.
 
Apeleke polisi au atafute njia avirudishe kisiri bila kuacha alama,niamini ndugu kuna watu wanasota magerezani kwa kutenda wema
Ukipeleka polisi hawatokudaka?
 
Angek
Kuna siku utapewa kesi ya mauaji au ubakaji ndio utajua hujui,huyo mtu angekuwa kauawa sasa hivi ungekuwa segerea,usirudie ujinga huo
AngekuWa ameuwawa asingetuma picha inayoonyesha ameshika kikombe,hebu soma vizuri hiyo nada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…