Nguvu ya mitandao: Nimeokota handbag yenye pesa kabla vibaka hawajaiwahi na kumrudishia aliyeidondosha kupitia Instagram

Siku nyingine uwe makini vinginevyo utaunganishwa kwenye kesi ya hatari sana.
 
132x10 ongeza na 000
Sio pesa nyingi kushinda utu
 
Storee za jf zinaanzia mbali sana....mara paa! Mtu kabamizwa tayari[emoji848][emoji848]
 
Niliwahi kuokota wallet ya jamaa nikigombea daldala maeneo ya shule ya uhuru. Nilifika home nikakutana na mavitambulisho kibao pamoja na pesa elfu hamsini hivi.
Dah nilimwonea sana huruma mshkaji kwa jinsi ya maelezo nilokutana kwenye business card inaonyesha anafanya kazi ya udereva kwa wahindi
Kasheshe likaanza nitawezaje kumrudishia mavitambulisho yake pamoja na driving license.
Nikakiuliza baada ya wiki hivi nikampigia simu tukutane kariakoo nikampea alinishukuru sana japokua pesa nilishaitumia.
 
Askari wabongo wanatafuta wa kumfia tu!
 
Hawajitumi yaani kuna kaka mmoja nae ilishamtokea mtaani kwetu mda km 15 yrs imepita zilikutwa picha eneo la ujambazi za kwake bahati njema siku ya tukio alilazwa temeke hospital alikua ana wiki nzima tukio linatokea yuko Hosp siku anaruhusiwa kesho yake anakamatwa yaani ilikua patashika sema ndo aliponea hapo!la sivyo angekua jela mbona mpk Leo!
 
Aiseeeh! Wengi wanatumikia vifungo sio vyao kwa uzembe wa watu tu[emoji2297]
 
Aiseeeh! Wengi wanatumikia vifungo sio vyao kwa uzembe wa watu tu[emoji2297]
Sahihi kabisaa...yaani sio wote walokua jela wana hatia jamani!nchi zetu hizi upelelezi ni sifuri kabisaa!unabambiwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…