Burure
Member
- Jul 25, 2024
- 42
- 96
Siku ya jana katika uapisho wa Mawaziri na mabalozi wapya tumeona Rais wetu akiongelea kuhusu kumteua daktari Janabi hii Ina maana kuwa wanafuatilia kwa ukaribu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii
Sambamba na kikao cha kamati kuu ya CHADEMA tumeona Makamu wa Mwenyekiti wao Lissu akisema kuwa haogopi mawe anayopigwa na watu wa mitandaoni kwani anatembea na risasi kwenye mgongo wake
Swali langu ni moja kwa serikali je,haya masuala ya UTAPELI KUHUSU UTAJIRI na UTEKAJI hawayaoni na UCHUGUZI wa kesi hizi utaendelea mpaka lini ikiwa hata walijaribu kutaka kumuua Lissu na Ali kibao hawajulikani hadi hivi leo?