Nguvu ya mtandaoni ya #NRNE ni ya Soda tujikumbushe vilivyotamba na kubuma bila mafanikio

Watanzania 98% hatuna ujasiri tuishie huku huku mitandaoni.
 
Najua CCM watalazimisha lkn impact itakuwepo kwenye uongozi wao. Ndo mana hata wanapishinda huwa hawafurahii USHINDI. Hata sasa ukionekana umevaa uccm kijani kila MTU anakushangaa na maeneo mengine wanakuzimea. Wanaanguka na pikipiki za Samia hawasaidiwi watu wanawaambia mitano tena, viongozi wengine wamekosa ushirikiano na wananchi. Nk
Nakushari fuatilia hili.
Chadema wameshima agenda ambayo ilishaanza kusambaa naturally watu wengi walishajiweka pembeni kwenye ishu ya uchaguzi
 
YANGA BINGWA 2025

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ