Nguvu ya mwanamke katika kujenga au kubomoa Familia, Taifa na Dunia

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Mwanamke ni kiumbe kinachoonekana ni dhaifu kwa mawazo yetu lakini shetani akimtizama mwanamke anaona ni mtu makini ambae anaweza kubomoa au kujenga dunia

REFFERENCE (Mwanamke)
1.Aliongea na shetani katika bustani ya Edeni akashawishiwa kula tunda akala akamshawishi na Bwana wake wakala uharibifu ukaanzia hapo wakapigwa laana(Uharibifu wa dunia ukatokea hadi leo tunakula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu)

2 .Mke wa Ayubu alipoona mateso yanazidi kwa mumewe kupigwa matukio na shetani kila siku kuumwa umwa wanatumia pesa nyingi kwa matibabu hakuna kupona huku mali zake zinapukutika wife wake akaona isiwe tabu tusije tukafa maskini alimshawishi Ayubu kuwa amkufuru Mungu ili afe alijua atarithi mali na wenda hata angepata bwana wa kumuoa wakala maisha (Malengo ya shetani na Mke wa Ayubu yalikua mamoja)shetani nae alikua na lengo ampige matukio ayubu ili amsaliti Mungu kisha yeye apate pointi 3

3.Esther kwa wasomaji wa bibilia alipoambiwa achague zawadi aliomba kichwa cha Yohana(Zote hila za kishetani mwanamkwe anatumika injili isisonge mbele)

4.Samson na Delila ,Delila alitumika kumuangusha Samson(Zote hila za kishetani kati ya shetani na Delila)

5.Sara na Ibrahimu ,Sara alimshawishi Ibrahimu achukue housegirl azae nae matokeo pakawa na mtoto wa housegirl na mtoto wa sara vuta nikuvute zikaanzia hapo zikazaliwa imani 2 majanga yaliyotokea sasa hivi hakura rangi tumeacha kuziona hapo kuna vizaz 2 fatilia bible

Bado upo ushahidi mwingi wa wanawake kupiga matukio ya hatari na kuangamiza dunia
yapo matukio mengi sana tukumbushane

MZIGO UNAENDELEA
Wanawake ndio wanaoongoza kwenda kwa waganga mara kwa mara
Ukiona mwanaume anaenda kwa waganga anatafta pesa mwanamke ni kupendwa hasa kumshika mwanaume

Mwanamke umemuoa kwa sherehe kubwa na heshima juu akifika ndani anataka akutawale (ukiona mwana mke anataka kukutawala ujue atakutenganisha na ndugu wazaz wako lazima avutie upande wake)
(Mara nyingi huwa wanapambana kuvunja ndoa zao wenyewe bila kujua) kwa kua jeuri ,kiburi kusikiliza mashoga,nguvu ya ushawishi wa kishetani

NOTE (Weka lamination haya maneno yangu)
Ndani ya mwanamke kuna nguvu ya ushawishi toka kuumbwa kwa dunia alitumika kuangamiza ndoa yake akiwa bustani ya Edeni,kwa kumsikiliza shetani akala iphone

Wanawake baadhi badilikeni jua shetani anawawinda ili kuangamiza familia,taifa na dunia
Wanaume kuweni na akili kupitiliza jua mkeo yupo mbele shetani pembeni yake kumjaza uongo,kumshawishi mambo mengi aangamize dunia
 
Fact. Sasa wale mashoga wao pembeni yao kuna nini?
 
chukulia mwanamke kama chombo cha starehe tu, hayo yoooote aliyoandika mleta mada hayatakukuta😎
 
Mke huyo huyo alimshawishi Rais Mstaafu Babu Mwinyi Vibaya, .....Nyerere jambo lile likamuudhi, akalikemea wazi,hadharani lkn watu wakalia weeee!!! mpaka leo wengine wanalia!!

Kambona aliponzwa na tamaa ya Mkewe kazi NONO! akaikosa mazimaaaa!! mpaka leo huko kuzimu hana Hamu na ke!

Kama haitoshi Lowasa kaponzwa na mkewe agombee ivovivo kupitia CHADEMA, yuko wapi? alipata?....kuna yuleee Mzee tajiri alifia Uarabuni!...ili mke arithi na kutanua na vijana wenzake! lkn oraaa!

Ntutemeke Sanga yale Mawazo ya kumtikisa Nyerere yalitoka kwa Mkewe mwana USA, adhabu aliyo pewa ntutemeke ilisababisha yule mwana nke akimbie faster!

LKN KIBIBLIA ZAIDI NI WENGI MNOOOOOO!!

Mke wa Uria alijitegesha kwa Daudi rafiki wa Mungu, kala tunda kimasihara!! yaani yule Mzee Wa watu, kala mbususu kimasihara na yule mke Dhambi,

wajameni! hii kula kimasihara ilianzaga zamani mnoo! mpaka daudi akazaa watoto! ....angalia huyohuyo mke/mdada/shangazi!

Tamal alijitegesha kwenye barabara ielekeayo kwa Makahaba, Maksudi tu, akijua yuko kwenye siku zake za hatari, , aliitegesha kichokozi ndude ivi imevimba nakwambia kwenye kufuri!!,

km kawaida yenu me wote Duniani ndo zenu. mzee akajiona ameipata kimasihara,kuumbe mzee kategwa!! na mpaka sasa me tunawategesha,mimba hasa ukiwa ukoo wakitajiri/akili/usomi/utafutaji!

Baba mkwe wake kajipitisha kuelekea kwa makahaba,, sasa sijui alijuaje kuwa yule mzee ndo zake kwendaga kunako Danguro?? jamani ke tuna akili mnoo acheni tu,

mzee kaja akanasa kiulainiii hadi Mimba! na wakafanyana kweli kweli!...mie nashangaa me akiona papuchiiii hata ya kichaa heee!!....ke kuachwa nikupenda tu! au ke mwenzio kakuzidi kete! lkn si me! mnawaonea!

Mungu aliliona hili, akasema isiwe taabu akatoa tamko rasmi hivi......... ''Mke mwema hutoka kwa Bwana'' hili linafanya kazi mpaka leo sasa weye me unayesoma hapa kazi kwako , yapuuze hayo uone cha Moto, yakumbatie ufaidike kwayo!

uzuri ni kwamba hili liko hai...pamoja na ukimwi mwingiiii lkn me hawakomi kulilia papuchi hamanaga ujanja!!uko tayari hele yooote uliyoponda kokoto mchana kutwa umuachie mwajuma ndala ndefu
 
Mwanamke ni kiumbe kinachoonekana ni dhaifu kwa mawazo yetu lakini shetani akimtizama mwanamke anaona ni mtu makini ambae anaweza kubomoa au kujenga dunia

REFFERENCE (Mwanamke)
1.Aliongea na shetani katika bustani ya Edeni akashawishiwa kula tunda akala akamshawishi na Bwana wake wakala uharibifu ukaanzia hapo wakapigwa laana(Uharibifu wa dunia ukatokea hadi leo tunakula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu)

2 .Mke wa Ayubu alipoona mateso yanazidi kwa mumewe kupigwa matukio na shetani kila siku kuumwa umwa wanatumia pesa nyingi kwa matibabu hakuna kupona huku mali zake zinapukutika wife wake akaona isiwe tabu tusije tukafa maskini alimshawishi Ayubu kuwa amkufuru Mungu ili afe alijua atarithi mali na wenda hata angepata bwana wa kumuoa wakala maisha (Malengo ya shetani na Mke wa Ayubu yalikua mamoja)shetani nae alikua na lengo ampige matukio ayubu ili amsaliti Mungu kisha yeye apate pointi 3

3.Esther kwa wasomaji wa bibilia alipoambiwa achague zawadi aliomba kichwa cha Yohana(Zote hila za kishetani mwanamkwe anatumika injili isisonge mbele)

4.Samson na Delila ,Delila alitumika kumuangusha Samson(Zote hila za kishetani kati ya shetani na Delila)

5.Sara na Ibrahimu ,Sara alimshawishi Ibrahimu achukue housegirl azae nae matokeo pakawa na mtoto wa housegirl na mtoto wa sara vuta nikuvute zikaanzia hapo zikazaliwa imani 2 majanga yaliyotokea sasa hivi hakura rangi tumeacha kuziona hapo kuna vizaz 2 fatilia bible

Bado upo ushahidi mwingi wa wanawake kupiga matukio ya hatari na kuangamiza dunia
yapo matukio mengi sana tukumbushane

MZIGO UNAENDELEA
Wanawake ndio wanaoongoza kwenda kwa waganga mara kwa mara
Ukiona mwanaume anaenda kwa waganga anatafta pesa mwanamke ni kupendwa hasa kumshika mwanaume

Mwanamke umemuoa kwa sherehe kubwa na heshima juu akifika ndani anataka akutawale (ukiona mwana mke anataka kukutawala ujue atakutenganisha na ndugu wazaz wako lazima avutie upande wake)
(Mara nyingi huwa wanapambana kuvunja ndoa zao wenyewe bila kujua) kwa kua jeuri ,kiburi kusikiliza mashoga,nguvu ya ushawishi wa kishetani

NOTE (Weka lamination haya maneno yangu)
Ndani ya mwanamke kuna nguvu ya ushawishi toka kuumbwa kwa dunia alitumika kuangamiza ndoa yake akiwa bustani ya Edeni,kwa kumsikiliza shetani akala iphone

Wanawake baadhi badilikeni jua shetani anawawinda ili kuangamiza familia,taifa na dunia
Wanaume kuweni na akili kupitiliza jua mkeo yupo mbele shetani pembeni yake kumjaza uongo,kumshawishi mambo mengi aangamize dunia
Nataka kujua tu ni tunda gani hilo hawa alimshauri adamu wale??
 
Ukichukulia wanawake mimi ninavyowachulia hutokuwa mwanafalsafa... though naweza kuonekana nawadharau.
 
Sahihisha hapo kwenye Esther kudai kichwa..sio Esther ni Herodia binti Herode...
 
Mwanamke ni kiumbe kinachoonekana ni dhaifu kwa mawazo yetu lakini shetani akimtizama mwanamke anaona ni mtu makini ambae anaweza kubomoa au kujenga dunia

REFFERENCE (Mwanamke)
1.Aliongea na shetani katika bustani ya Edeni akashawishiwa kula tunda akala akamshawishi na Bwana wake wakala uharibifu ukaanzia hapo wakapigwa laana(Uharibifu wa dunia ukatokea hadi leo tunakula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu)

2 .Mke wa Ayubu alipoona mateso yanazidi kwa mumewe kupigwa matukio na shetani kila siku kuumwa umwa wanatumia pesa nyingi kwa matibabu hakuna kupona huku mali zake zinapukutika wife wake akaona isiwe tabu tusije tukafa maskini alimshawishi Ayubu kuwa amkufuru Mungu ili afe alijua atarithi mali na wenda hata angepata bwana wa kumuoa wakala maisha (Malengo ya shetani na Mke wa Ayubu yalikua mamoja)shetani nae alikua na lengo ampige matukio ayubu ili amsaliti Mungu kisha yeye apate pointi 3

3.Esther kwa wasomaji wa bibilia alipoambiwa achague zawadi aliomba kichwa cha Yohana(Zote hila za kishetani mwanamkwe anatumika injili isisonge mbele)

4.Samson na Delila ,Delila alitumika kumuangusha Samson(Zote hila za kishetani kati ya shetani na Delila)

5.Sara na Ibrahimu ,Sara alimshawishi Ibrahimu achukue housegirl azae nae matokeo pakawa na mtoto wa housegirl na mtoto wa sara vuta nikuvute zikaanzia hapo zikazaliwa imani 2 majanga yaliyotokea sasa hivi hakura rangi tumeacha kuziona hapo kuna vizaz 2 fatilia bible

Bado upo ushahidi mwingi wa wanawake kupiga matukio ya hatari na kuangamiza dunia
yapo matukio mengi sana tukumbushane

MZIGO UNAENDELEA
Wanawake ndio wanaoongoza kwenda kwa waganga mara kwa mara
Ukiona mwanaume anaenda kwa waganga anatafta pesa mwanamke ni kupendwa hasa kumshika mwanaume

Mwanamke umemuoa kwa sherehe kubwa na heshima juu akifika ndani anataka akutawale (ukiona mwana mke anataka kukutawala ujue atakutenganisha na ndugu wazaz wako lazima avutie upande wake)
(Mara nyingi huwa wanapambana kuvunja ndoa zao wenyewe bila kujua) kwa kua jeuri ,kiburi kusikiliza mashoga,nguvu ya ushawishi wa kishetani

NOTE (Weka lamination haya maneno yangu)
Ndani ya mwanamke kuna nguvu ya ushawishi toka kuumbwa kwa dunia alitumika kuangamiza ndoa yake akiwa bustani ya Edeni,kwa kumsikiliza shetani akala iphone

Wanawake baadhi badilikeni jua shetani anawawinda ili kuangamiza familia,taifa na dunia
Wanaume kuweni na akili kupitiliza jua mkeo yupo mbele shetani pembeni yake kumjaza uongo,kumshawishi mambo mengi aangamize dunia
Kwa upande mwingine ni Makosa ya Mwanaume ya kujitakia kwa Uzembe wake mwenyewe! Kwanza mjue Mume ameumbwa kwa mfano wa nani?? ''Mungu'' kwa hiyo me ni miungu!!

sasa km me'' ni Mungu kwa nini atishiwe na Sheitwani kwa kumtumia mke dhaifu huyooo?? kumpa mwanamke nguvu nyingi km ulivolileta hapa ni kwako weye usiye mjua Mungu wa kweli!

Lkn ujue humu Duniani kuna watu aina mbili tu!! sasa wewe ukubali kuwa ni wa ule upande wa pili kwakweli hawa wa upande wa pili wanasumbuliwa sana na shetani milele yotee amina!

Kama Mungu aliwahi sema kupitia Manabii wake kuwa ''Mke Mwema hutoka kwake'' JE ULIWAHI KUMULIZIA Mungu nataka mke akakunyima?? au akakupa kimeo??....ukikurupuka utapata kimeo kweli shauri yako!
 
Back
Top Bottom