Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Swali zuri.
Unatakiwa kuijua kweli kisha hilo litakuwa si swali tena. Kwa hapa inaonyesha kwamba mwiki ndio unaongoza roho, wakati kinyume chake ndio sahihi
 
Umesema kweli mkuu, nasimamisha kwanza ushuhuda wangu ili tuingie huko hii leo. Asante kwa maoni haya
 

Dunia ipi ambayo ilikuwa haijawaka tamaa ulikuwepo kwenye hiyo dunia?
Kwahiyo hii mada iliwalenga watoto kuacha ngono na punyeto? Basi ni vizuri kuwa sisi watu wazima tuachwe tufanye sio? 😀

Mimi sijasema Mungu mnafiki na sijamuona mnafiki umesema wewe boss usinilishe maneno.
 
Hizo nyeto ni kwa ajiri ya male pekee yao au mpaka female nao pia inahawusu?
 
Well said, natamani niandike kitu ila najikuta nafuta maana wanaJf wenzangu hawana dogo hawachelewi kukuattack kwa suala uliloandika mmu mkipishana hoja kwenye jukwaa la mapishi
 
Kuacha kwangu mwisho wiki 3 baada ya hapo lazma nishtue kdogo..kaz sana kuacha Mungu anisaidie
usikate tamaa mungu ni mwema kuna siku utaacha, kikubwa ni kuikazia nia yako pia nakumshirikisha mungu katika nia ya kuacha jambo hili.

pia wanawake wanakua wagum kuacha coz jambo hili wanalifanya siri na wanahisi wakilisema ajili yakutaka msaada watadhalilika tofauti na wanaume ni wawazi sana ndo maana kuacha inakua rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…