Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Swali zuri.
Unatakiwa kuijua kweli kisha hilo litakuwa si swali tena. Kwa hapa inaonyesha kwamba mwiki ndio unaongoza roho, wakati kinyume chake ndio sahihi
 
Mtoa mada Nyenyere tunataka utupe tactical za kufuata au kufanya ilikuepukana na hii dhambi sisi kama wanadamu ujuavyo sifa yetu kubwa ni tamaa .Hapa Kuna kuwa na changamoto Sana haswa kwa vijana wa Sasa kulingana na dunia tunayoishi Sana tufuate taratibu zipi ilikuepuka hili



Kama kumtamani mtu umekwisha zini nae hapa Kila siku nitakuwa nazini maana sio kwa kutamani kule hasa kuna mmaza nikimuonaga tu nammindi sana mpaka nafsi inanisuta lkn nifanyaje nishinde hii zambi Kama Demu nimemchunia siongei nae sahiv . Ebu tupe hizo codes
Umesema kweli mkuu, nasimamisha kwanza ushuhuda wangu ili tuingie huko hii leo. Asante kwa maoni haya
 
Mungu habadiliki, ni Yeye yule jana leo na hata milele. Ukiona mahubiri ya kujemea dhambi ni ya kinafiki, basi you don't have God. Jaribu kuwatoa watoto wako kwenye ngono kisa unajidanganya ni mahitaji ya binadamu. Ni heri ungejiuliza kwa jina dunia ya sasa imewaka tamaa za hovyo kiasi hiki kuliko ilivyokuwa hapo awali. Kusema ni mahubiri ya kinafiki, ni kumwota Mungu mnafiki!!

Dunia ipi ambayo ilikuwa haijawaka tamaa ulikuwepo kwenye hiyo dunia?
Kwahiyo hii mada iliwalenga watoto kuacha ngono na punyeto? Basi ni vizuri kuwa sisi watu wazima tuachwe tufanye sio? 😀

Mimi sijasema Mungu mnafiki na sijamuona mnafiki umesema wewe boss usinilishe maneno.
 
Hizo nyeto ni kwa ajiri ya male pekee yao au mpaka female nao pia inahawusu?
 
Inawezekana kabisa, wapo WENGI TU wanaishi bila punyeto. Naweza kukuambia neno moja, nitaweka mada soon kuhusu origin ya haya mambo. Kuanzia hapo tutajadili vema, ila INAWEZEKANA KABISA KUACHA AMA KUISHI BILA KUFANYA HAYO, tena mwili ukiwa huru kabisa na kuyahesabu mambo yote kuwa ni upuuzi. Sisemi kuishi kwa kujitesa kwa hamu, no, ni kwamba hamu yote inatoweka kabisa. Tatizo watu wanaoishi kwa EXPERIENCE ZAO kuliko kuitazama kweli. Kwa hiyo hapa tunapambana na EXPERIENCE VS TRUTH.
Well said, natamani niandike kitu ila najikuta nafuta maana wanaJf wenzangu hawana dogo hawachelewi kukuattack kwa suala uliloandika mmu mkipishana hoja kwenye jukwaa la mapishi
 
Mambo ni moto
Screenshot_20200814-155739.jpg
 
Kuacha kwangu mwisho wiki 3 baada ya hapo lazma nishtue kdogo..kaz sana kuacha Mungu anisaidie
usikate tamaa mungu ni mwema kuna siku utaacha, kikubwa ni kuikazia nia yako pia nakumshirikisha mungu katika nia ya kuacha jambo hili.

pia wanawake wanakua wagum kuacha coz jambo hili wanalifanya siri na wanahisi wakilisema ajili yakutaka msaada watadhalilika tofauti na wanaume ni wawazi sana ndo maana kuacha inakua rahisi
 
Back
Top Bottom