Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laiti tungelijua hili mapema, dahhuu mchezo sitaufanya tena kumbe madhara yake ni makubwa namna hii
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] tuwe pamoja mkuuHapa nilittaka kuwasha kamoja, naona mkuyenge umelala baada ya kusoma Uzi huu[emoji16][emoji16][emoji16]
Baadaye ulete njia ya kuacha Basi kiongozi. Huenda ukatusaidia waathirika wa kupanda mnazi.
Ndiko tunakoelekea mkuu, tutajifunza yoteSasa kama ulikuwa mpiga nyeto mzuri ina kuwaje? Ili kuondokana na laana hii, naingali umesha jua madhara yake hapa iamvini? [emoji18]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Liko tumaini mkuuWanyetukaji tumeisha [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapana. Sababu kubwa, tendo la ndoa huanza pale unapotamaniana na mwanamke, mkikubaliana roho zenu zinaungana pamoja ndipo nafsi zinakuwa kitu kimoja. Kuingiziana ni kuleta ushuhuda wa mwili tu kwamba mmeshaungana, lakini kitendo kishafanyika rohoni kitambo. Kwa hiyo nguvu zako ushampa mwanamke tayari.Kumwaga nje nayo ni nyeto?
This is costly!! Unasex na spiritual beings, wewe unaona unajishika na kusikia utamu, kumbe wanakuassist kufikia kukojoa, kisha wanavuna nguvu zako na kukufanya mtumwa. Nitatoa ushuhuda wangu mwenyeweKuna ubaya Gani mtu kujishika sehemu zake kwa starehe zake binafsi?, Kati ya madhara ya Punyeto na uzinzi yepi yana Unafuu?
Kuliko mtu kuhatarisha Afya yake na future yake kwenye uzinzi, mi naona Bora kujishika aisee.. it's fun and less expensive!!
Nimewahi. Nitaelezea