Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Fix tu za wajanjaAdam na Hawa hawajapata kuishi
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fix tu za wajanjaAdam na Hawa hawajapata kuishi
🙄Nini sasa?
[emoji23]
Hizi habari za kujichua zimezua mjadala mkubwa sana nyakati zetu hizi.
Kila mtu anazungumzia athari zake kwa jinsi alivyo amishwa au alivyo experience.
Athari za kiroho kama alivyooanisha hapa mleta mada, na kwa namna hio hio kulingana na imani ya mtu.
Zipo pia athari za kiafya kama wazemavyo wataamu wa afya, lakini pia wataalamu wengine tena walio rasmi wamepinga vikali uwepo wa athari za kiafya kutokana na kujichua.
Wataalamu wengine wa akili nao wamesema kuna athari zitokanazo na kujichua zinaathiri akili, lakini wengine wanakataa na wote wana hoja.
Sijaweza kujua ni kitu gani kimetusibu vijana waleo mpaka kujikuta washirika wa kujichua kwa kiasi kikubwa vile.
Mimi kwa takribani miaka 15 na kuzidi ninafanya hivi lakini nikiambiwa nionyeshe athari moja wapo ya zinazotajikana sinazo.
Nimeoa na ninawatoto wawili wenye afya.
Ninafanya kazi za watu sijaweza kuharibu.
Ibada na hudhuria na fellowship kwenye kanisa letu, kwa maana hio hofu ya Mungu niko nayo.
Na performance ya kujieleza mbele za watu niko nayo pia.
Mimi nawalaumu wanawake wao ndio chanzo cha vijana wengi kuharibika maybe. Kwa sababu ya lifestyle yao walio iga mfano mavazi urembo kujiamini nk.
Hii imepelekea mwanaume kukosa kujiamni na kusimama na mwanamke na kuona bora akajichue kuliko kupigiana makelele na mademu.
Mwisho athari za kujichua ziwe za kiroho kiakili na kiafya haziko general ndugu mleta mada.
samahani mkuu, hizi ID zetu zakujificha mda mwingine zinatutanisha.Mie ni me ndugu
Makala nzuri sana...Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari?
Punyeto na kujichua ni tendo la kiroho
Wengi hutazama tendo la ngono kama furaha ya kimwili, lakini tumeshaona ni tendo la kiroho linalohusisha sehemu tatu za mwanadamu:
roho
mwili
nafsi
Roho ndio inayoamua kama iungane na roho nyingine ili kukamilisha uumbaji, ikikubaliana na mwenzake nafsi huungana kuwa kitu kimoja kisha mwili huungana na mwili mwingine kukamilisha tendo hilo kwa nje. Baadaye nitarlezea kwa kina kipengele hiki muhimu ili kujua uhusiano wa roho mwili na nafsi katika nguvu ya mapenzi.
Kwa hiyo tendo la ngono huamshwa rohoni, kisha KUKAMILIKA kwa Muungano wa nafsi, ndipo watu wanaona ushuhuda wa mwili kuwa watu fulani wanapendana. Mungu aliumba mtu mke na mtu mume, hao ndio wanaokamilishana. Kwamba aliumbwa mwanamume kwanza kisha akagawanywa kupata mwanamke, kwa hiyo ili huyu mtu awe kamili, ni lazima awe na opposite sex wa kumkamilisha. Nimekupa hint ujue mwanamume kumtamani mwanamume mwenzake ni tatizo la kiroho, kadhalika mwanamke pia. Nitafafanua vizuri mbeleni..
Punyeto kama Ilivyo kwa ngono haiwezi kamwe kukamilika bila kuwa na mwenza. Tendo hili linahusisha kuamsha hamu kwa kuvuta hisia (meditative stimulation) mpaka kufikia sexual experience. Ni rahisi mtu kujidhani yu peke yake, lakini ukweli ni kuwa kuna mshirika wa pili anayefanya uwezekano wa kumaliza (ejaculation/climax). Hakuna mtu anayeamua tu, ngoja nipige punyeto. Huanza kwanza hamu ambayo huuteka ufahamu na ghafla mtu hujisikia hawezi tena kuvumilia. Sasa hiyo hamu ni NGUVU YA KIROHO inayoingia mwilini, ni ulimwengu wa roho, ni pepo wachafu. Pepo hawa wabaya ndio sex partners wa wapiga punyeto!! Wao wanashughulika na nafsi ya mtu kwa kuanza na kuiteka roho, kisha wakaungana na mtu huyu katika nafsi kuwa mwili mmoja, ndipo anaanza kujichua kwa kutumia hisia tu mpaka akakojoa.
Ni kwamba, viumbe vyote vya kiroho havina nguvu ya kutenda kwenye huu ulimwengu wetu. Upo ulimwengu unaoonekana kwa macho ya nyama, ndio huu tuliopo, umeumbwa kwa ajili yetu sisi viumbe wenye mwili. Pia upo ulimwengu usioonekana kwa macho ya nyama, uliumbwa kwa ajili ya roho. Sasa ili hao viumbe wa kiroho waweze kutenda kwenye huu ulimwengu ni lazima wawe na nguvu ya miili yetu. Nje ya hapo ni bure kwao! Hapo mwanzo walikuwa wakitumia miili ya wanyama (kisa cha Hawa bustanini), lakini sasa wanatumia nguvu za wanadamu wenyewe. Namna mojawapo yenye kutoa NGUVU KUBWA ZAIDI ni kupiga punyeto na kujichua.
Nguvu ya uumbaji imo katika ngono
Zile baraka walizopewa Adam na Hawa "zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi, mkatawale... " ziliwekwa ndani ya nguvu ya ngono. Kwa lugha nyingine kitendo cha sex kinaachilia nguvu ya uumbaji wa kila kitu duniani. Wazungu wanasema, sexual intercourse opens portals to other dimensions. Ndio maana mke na mume wakiwa na makubaliano katika Roho, watafanya mambo makubwa katika maisha.
Sasa mpiga punyeto naye huachilia nguvu hiyo ya uumbaji, isipokuwa yeye huitoa kwa mapepo. Kumbuka nguvu hii ni sura yake yeye mwenyewe, nafsi yake halisi akawagawia mapepo. Hii ndio nguvu waitakayo ili kuweza kutekeleza mambo yao hapa duniani. Ni nguvu hii wanaitumia kama mlango wa kushuka hapa duniani na kuwavuruga wanadamu. Jiulize, katika roho hakuna pepo jije wala dume. Mapepo ni roho wachafu tu, hawazai wala kuzaliana, imekuwaje leo tunapata JINI MAHABA JIKE NA DUME? Mwanamume anapopiga punyeto, huachia nguvu ambayo ni yeye mwanamume, hivyo pepo lililopo huichukua na kuivaa nguvu hiyo hata kuwa na hali ya kiume. Ndipo huanza kuwaingilia wanawake kwa kutumia nguvu hiyo, huku likimwrka mateka mpiga punyeto huyu aendelee kulizalishia nguvu hiyo. Mwanamke anayejichua hutoa nguvu ya kike na hivyo kuligeuza pepo kuwa jike.
Gereza la kiroho
Pepo huichukua na kuiweka gerezani roho ya mtu huyu na hapo huitiisha nafsi. Kwa hiyo hakuna jambo atafanya linafanikiwa maishani mwake isipokuwa mpaka mpenzi wake huyu wa kiroho akubali. Ndipo huja hadithi za majini yanayoharibu mafanikio.
Kuhani wa Kanisa la shetani, Antonio Lavey, aliwahi kusema, kafara kubwa kabisa ya siri, wakati wa ibada ya matambiko, ni kumwaga shahawa, ni zaidi ya kumchinja mtu na kumwaga damu yake.!! Kumbe kupiga punyeto ni kujitoa kama kafara kwa mapepo na hivyo kuyapa nguvu zako!!
Ndio maana baada ya punyeto, mtu hawezi kufikiri vizuri, akili huwa kama ina ukungu, nguvu hupungua sana mwilini. Nguvu zote za kiroho huondoka, mtu anakuwa mweupe kabisa kiroho, emotional energy inatoweka, ndipo hamu ya kuwa na opposite sex inaanza kufifia.
Shahawa sio mkojo, ni DNA yako mwenyewe. Nguvu za kumiliki zimo ndani yake, sex energy, nguvu ya kuzalisha mali nk. Hizi huitwa dominion power. Ni nguvu hizi zinazochukuliwa na mapepo.
Next time tutakwenda deep... [/B]
Morg, Nature,
Maya Angelou, Africa Tanzania, dumbi, LOGARITHM, Sergei Lavrov, LOVE U JF, korino, Mshuza2, park don, Surya, big-diamond, Mwanamena, Tajiri wa Magomeni, dudupori, Bubolwa Chura, Patra31, Depal, alumn, Ed Kawiche, Sexless, The 13, Avriel, Styles
yna2, ngebo, iMind, HoneyBee, Will jr, gbmm, True Believer, Saint Anne[/i][/B][/B]
Huo ushuhuda utatoa saa ngapi sasaThis is costly!! Unasex na spiritual beings, wewe unaona unajishika na kusikia utamu, kumbe wanakuassist kufikia kukojoa, kisha wanavuna nguvu zako na kukufanya mtumwa. Nitatoa ushuhuda wangu mwenyewe
Swali kuu nililotaka kukuuliza liko na mrengo Kama huu, Ila yote kwa yote hayo Ni maswala ya Imani tu. Nadhani umeeleza Vizuri japo niongeze nadhani lengo kuu la kukutana kimwili Ni kuijaza dunia tu hakuna exemption. Sisi wanadamu tumekua watu wa kujiongeza na kutunga visheria vyetu ambavyo tumeona Ni sawa kulingana na mawazo yetu ndio Mana likaja hata suala la kuona tunakutana kimwili kwaajili ya kustarehesha nafsi zetu ambacho Ni nje ya lengo.Hapana. Sababu kubwa, tendo la ndoa huanza pale unapotamaniana na mwanamke, mkikubaliana roho zenu zinaungana pamoja ndipo nafsi zinakuwa kitu kimoja. Kuingiziana ni kuleta ushuhuda wa mwili tu kwamba mmeshaungana, lakini kitendo kishafanyika rohoni kitambo. Kwa hiyo nguvu zako ushampa mwanamke tayari.
Hakuna punyeto inayofanyika hewani tu, ni lazima kwanza uweke akilini sura ya mwanamke mzuri uliyemjaza moyoni mwako, inaweza kuwa una mfahamu au ulimuona kwenye Porn Videos .Kuna ubaya Gani mtu kujishika sehemu zake kwa starehe zake binafsi?, Kati ya madhara ya Punyeto na uzinzi yepi yana Unafuu?
Kuliko mtu kuhatarisha Afya yake na future yake kwenye uzinzi, mi naona Bora kujishika aisee.. it's fun and less expensive!!
Kwani kuna habarigani![emoji849]
Na hapa ndipo nitakapo kua na maoni ya tofauti na wewe, hilo sio tendo la kuridhishana. Ukishawaza habari za kuridhishana hapa ndio tunapalilia habari za hata punyenga,hata mpanda mnazi ana lengo la kuridhika tu. Sisi Kama wanyama wengine wote aliowaweka Mungu hapa duniani aliweka sex kwaajili ya kuijaza dunia baas.Mkuu umeongea mambo mazito sana, nashukuru wewe ni mwamini Mungu. Nitakujibu hapa:
Mjadala upo na wataalamu wa afya wamepishana sana juu ya hili. Unajua sababu? Kuna nguvu inayoleta confusion kati yao. Ni sawa na habari za ushoga, wako wanaosema hauna madhara, wengine wanasema una madhara!! So tuseme nini??
Lakini kwa suala la wewe kujiona uko sawa, ni kwamba hata wanaotoa watoto kama kafara za kupata mali hujiona wako sawa, anayefuga majini naye atakuambia mbona yananipa mali? Nilisema unapofanya tendo hilo hayo mapepo yanavuna nguvu zako, hivyo utafanya mambo yako pale utakapopatana nayo. Ndio maana wapo wanaosex na majini mahaba na wapo kwenye ndoa zao, huku wengine yakiwazuia hata kuoa na kuharibu mimba. Kikubwa ni kwamba upo kifungoni na IKO SIKU utakumbuka hili.
Jiulize, iweje wewe una mke halafu uwe na hamu ya kujichua? Unaona ni jambo la kawaida? Pia hao watoto wenu waweke vema mbele za Mungu, kwani watakuja kuwa wadau wakubwa pia. Hilo ni agano na mapepo ambalo wewe unaliimarisha kila unapojichua, nao watakuja kuliendeleza hivyo hivyo, labda wawe katika Kristo.
Halafu kuna suala la wewe kutamba una fellowship huku unapiga punyeto. Mbona watu wanazini na wanakwenda makanisani? Siku ukijua kuwa mwili wako ni hekalu la Roho Mtakatifu utaacha kumpigia punyeto huyo Roho. Imekubidi kushughulikia hicho kifungo, kwani kimekuua kiroho nawe umetiwa upofu. Usisubiri mpaka mambo yaharibike ndipo uvchukue hatua.
Ukisema hakuna madhara jua kuwa unapotea, usingoje mpaka yakukute. Tembea mijini leo hii, habari za vumbi la kongo nk, pia vijiwe vya kutibu nguvu za kiume vimejaa mno. Ukienda watakuambia SABABU YA PUNYETO. Mbona haya mambo yapo wazi? Wanawake wa leo wanadai hawaridhishwi, sababu wanaume wanapiga punyeto na wao wanajochua, hivyo emotions zimehama!!
Usisahau kunitagDah, nitaanza nao soon, naona wadau wana hamu kuusikia. Naam, tujifunze kwa mfano
[emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja nikanywe chai mie
Na hapa ndipo nitakapo kua na maoni ya tofauti na wewe, hilo sio tendo la kuridhishana. Ukishawaza habari za kuridhishana hapa ndio tunapalilia habari za hata punyenga,hata mpanda mnazi ana lengo la kuridhika tu. Sisi Kama wanyama wengine wote aliowaweka Mungu hapa duniani aliweka sex kwaajili ya kuijaza dunia baas.