Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Swali kuu nililotaka kukuuliza liko na mrengo Kama huu, Ila yote kwa yote hayo Ni maswala ya Imani tu. Nadhani umeeleza Vizuri japo niongeze nadhani lengo kuu la kukutana kimwili Ni kuijaza dunia tu hakuna exemption. Sisi wanadamu tumekua watu wa kujiongeza na kutunga visheria vyetu ambavyo tumeona Ni sawa kulingana na mawazo yetu ndio Mana likaja hata suala la kuona tunakutana kimwili kwaajili ya kustarehesha nafsi zetu ambacho Ni nje ya lengo.
Back to to the topic ,Hilo swala na kupanda mnazi Kama wadau wanavyoliita Ni matokeo ya binadamu huyu ambaye aliona tendo Ni kwaajili ya starehe ndio anakuja na staili tofauti tofauti za kujiletea Raha , ikiwa Ni pamoja na kua yupo tayari kutumia kitu chochote iwe mdomo pua kuruka ukuta mikono au chochote atakachoona kinafaa ili apate raha hivyo kuondoa lengo la awali kua tendo Ni kwaajili ya kujaza dunia tu.
Sasa nimalizie maoni yangu kwa kusema hayo maswala ya kua sijui ROHO KUUNGANA Ni Imani tu hakuna tofauti ya mpiga punyenga na yule anayekutana na mwanamke wakiwa na cond*m au wa oral na njia nyingine zote ambazo shahawa hazitaingia sehemu iliyotakiwa kuingia yatakua Ni matumizi mabaya ya shawaha.
Umewahi kusikia habari za spiritual wife na spiritual husband? Sijui unaishi kwenye ulimwengu upi, lakini kwa mtu wa mwilini mambo ya rohini ni upuuzi.
 
Mkuu kuacha nyeto ni ngum sana hasa ukiwa hauna demu, mm na jamaa yang mmoja tulianza Nofap challenge , Mimi niliweza kukaa siku 47 bila kupiga nyeto mfumo wa mwili ulibadilika mnoo nikawa na stress nyingi balaa, jamaa yangu yeye aliishia siku ya 25 aka relapse
... Badae mimi nilivyo relapse yeye akawa amefikisha siku 30+ lakin story zake zilinifanya nianze kumuona kashaanza kuchanganyikiwa akawa kwenye stori zetu hataka niingize mada ya dem yoyote nikiingiza tu story ya dem anabadilika
Unaamini hakuna watu wanaishi normal life pasipo kupiga nyeto? Hali uliyopitia ndicho kifungo chenyewe, wewe uko gerezani afu unasemq hutaki chakula cha bwana jela? Utakula ni nini basi wakati huna uhuru?
 
Sijaelewa hasa ni kwa vipi ni kuridhishana. Sidhani kama nimeaema sex ni kwa ajili ya kuridhishana tu. Nimeeleza kirefu kuwa sex ni tendo la kiroho zaidi kuliko kimwili.

Huo mtazamo wako wa kuijaza dunia ni binafsi na ni wa kimwili zaidi. Lakini sex ina aspects nyindi zaidi kuliko hilo ambalo ni end product mojawapo. Kuna uzi nimeelezea sana kuhusu haya mambo ya sex, nakushauri udome huko tujadili. Hapa ni kama mwendelezo tu
Basi Kumbe nawe una mitazamo yako tu kuhusu sex, mi nilichosema general formula Ni kua sisi binadamu Kama wanyama wengine wote sex Ni kwaajili ya kuijaza dunia tu hayo mengine Ni mitazamo yetu tu ukiwemo yako na ndio inayopelekea haya Mambo mengine yote kuendelea
 
Unaamini hakuna watu wanaishi normal life pasipo kupiga nyeto? Hali uliyopitia ndicho kifungo chenyewe, wewe uko gerezani afu unasemq hutaki chakula cha bwana jela? Utakula ni nini basi wakati huna uhuru?
Mkuu yani uwe rijali huna demu alaf usipige nyeto? Hapo huwez ukawa mzima ase vile vichocheo ni vibaya sana usipo vipunguza kwa nyeto unaweza ukabaka hata dada yako..
Mm napiga nyeto mara 1 1 ili niwe normal
 
Umewahi kusikia habari za spiritual wife na spiritual husband? Sijui unaishi kwenye ulimwengu upi, lakini kwa mtu wa mwilini mambo ya rohini ni upuuzi.
Ndio shida ya kubwa ya Imani Ipo hapa , Yan Ukiwa na Imani na Jambo lako Basi wote wasiokua pamoja nawe hawaishi. Huyo spiritual Yuko na sura gani? Sio kusikia
 
Story yangu:
Nilianza kupiga punyeto nikiwa mwajiriwa. Hapo ni baada ya kutoka kidato cha sita. Siku moja nikiwa na kwenda kwenye public toilet sikujua kama alikuwamo mwajiriwa mwenzangu akiwa amesahau kufunga mlango. Nilishika kitasa kwa haraka sana nikafungua mlango, nilijikuta uso kwa uso na jamaa akigumia kwa raha MBELE YA MACHO yangu. Sikuwahi kufuatilia mambo haya katika maisha yangu, hivyo nilupatwa na butwaa halafu nikamwomba msamaha, naye akaniomba msamaha nikatoka ilu amalize kujiweka sawa. Ni kuanzia hapo akili yangu haikuwa sawa tena, yaani kukawa na nguvu ya hatari sana inanisukuma nijaribu japo mara moja kuona ilivyo. Mwishowe niliamua nionje kidogo, nakiri wazi kuwa hiyo ndio sikunilipokoma kuishi kama MIMI, that was the end of me!!

Khantwe, yuzazifu, Sic March, Mgonga Like, Ismoo, extra life, wiz hov
 
Mkuu kuacha nyeto ni ngum sana hasa ukiwa hauna demu, mm na jamaa yang mmoja tulianza Nofap challenge , Mimi niliweza kukaa siku 47 bila kupiga nyeto mfumo wa mwili ulibadilika mnoo nikawa na stress nyingi balaa, jamaa yangu yeye aliishia siku ya 25 aka relapse
... Badae mimi nilivyo relapse yeye akawa amefikisha siku 30+ lakin story zake zilinifanya nianze kumuona kashaanza kuchanganyikiwa akawa kwenye stori zetu hataka niingize mada ya dem yoyote nikiingiza tu story ya dem anabadilika
Mapenzi ni muhin asikuambie mtu, nyeto inatusaidia sana
 
Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari?

Punyeto na kujichua ni tendo la kiroho

Wengi hutazama tendo la ngono kama furaha ya kimwili, lakini tumeshaona ni tendo la kiroho linalohusisha sehemu tatu za mwanadamu:

roho
mwili
nafsi


Roho ndio inayoamua kama iungane na roho nyingine ili kukamilisha uumbaji, ikikubaliana na mwenzake nafsi huungana kuwa kitu kimoja kisha mwili huungana na mwili mwingine kukamilisha tendo hilo kwa nje. Baadaye nitarlezea kwa kina kipengele hiki muhimu ili kujua uhusiano wa roho mwili na nafsi katika nguvu ya mapenzi.

Kwa hiyo tendo la ngono huamshwa rohoni, kisha KUKAMILIKA kwa Muungano wa nafsi, ndipo watu wanaona ushuhuda wa mwili kuwa watu fulani wanapendana. Mungu aliumba mtu mke na mtu mume, hao ndio wanaokamilishana. Kwamba aliumbwa mwanamume kwanza kisha akagawanywa kupata mwanamke, kwa hiyo ili huyu mtu awe kamili, ni lazima awe na opposite sex wa kumkamilisha. Nimekupa hint ujue mwanamume kumtamani mwanamume mwenzake ni tatizo la kiroho, kadhalika mwanamke pia. Nitafafanua vizuri mbeleni..

Punyeto kama Ilivyo kwa ngono haiwezi kamwe kukamilika bila kuwa na mwenza. Tendo hili linahusisha kuamsha hamu kwa kuvuta hisia (meditative stimulation) mpaka kufikia sexual experience. Ni rahisi mtu kujidhani yu peke yake, lakini ukweli ni kuwa kuna mshirika wa pili anayefanya uwezekano wa kumaliza (ejaculation/climax). Hakuna mtu anayeamua tu, ngoja nipige punyeto. Huanza kwanza hamu ambayo huuteka ufahamu na ghafla mtu hujisikia hawezi tena kuvumilia. Sasa hiyo hamu ni NGUVU YA KIROHO inayoingia mwilini, ni ulimwengu wa roho, ni pepo wachafu. Pepo hawa wabaya ndio sex partners wa wapiga punyeto!! Wao wanashughulika na nafsi ya mtu kwa kuanza na kuiteka roho, kisha wakaungana na mtu huyu katika nafsi kuwa mwili mmoja, ndipo anaanza kujichua kwa kutumia hisia tu mpaka akakojoa.

Ni kwamba, viumbe vyote vya kiroho havina nguvu ya kutenda kwenye huu ulimwengu wetu. Upo ulimwengu unaoonekana kwa macho ya nyama, ndio huu tuliopo, umeumbwa kwa ajili yetu sisi viumbe wenye mwili. Pia upo ulimwengu usioonekana kwa macho ya nyama, uliumbwa kwa ajili ya roho. Sasa ili hao viumbe wa kiroho waweze kutenda kwenye huu ulimwengu ni lazima wawe na nguvu ya miili yetu. Nje ya hapo ni bure kwao! Hapo mwanzo walikuwa wakitumia miili ya wanyama (kisa cha Hawa bustanini), lakini sasa wanatumia nguvu za wanadamu wenyewe. Namna mojawapo yenye kutoa NGUVU KUBWA ZAIDI ni kupiga punyeto na kujichua.

Nguvu ya uumbaji imo katika ngono

Zile baraka walizopewa Adam na Hawa "zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi, mkatawale... " ziliwekwa ndani ya nguvu ya ngono. Kwa lugha nyingine kitendo cha sex kinaachilia nguvu ya uumbaji wa kila kitu duniani. Wazungu wanasema, sexual intercourse opens portals to other dimensions. Ndio maana mke na mume wakiwa na makubaliano katika Roho, watafanya mambo makubwa katika maisha.

Sasa mpiga punyeto naye huachilia nguvu hiyo ya uumbaji, isipokuwa yeye huitoa kwa mapepo. Kumbuka nguvu hii ni sura yake yeye mwenyewe, nafsi yake halisi akawagawia mapepo. Hii ndio nguvu waitakayo ili kuweza kutekeleza mambo yao hapa duniani. Ni nguvu hii wanaitumia kama mlango wa kushuka hapa duniani na kuwavuruga wanadamu. Jiulize, katika roho hakuna pepo jije wala dume. Mapepo ni roho wachafu tu, hawazai wala kuzaliana, imekuwaje leo tunapata JINI MAHABA JIKE NA DUME? Mwanamume anapopiga punyeto, huachia nguvu ambayo ni yeye mwanamume, hivyo pepo lililopo huichukua na kuivaa nguvu hiyo hata kuwa na hali ya kiume. Ndipo huanza kuwaingilia wanawake kwa kutumia nguvu hiyo, huku likimwrka mateka mpiga punyeto huyu aendelee kulizalishia nguvu hiyo. Mwanamke anayejichua hutoa nguvu ya kike na hivyo kuligeuza pepo kuwa jike.

Gereza la kiroho

Pepo huichukua na kuiweka gerezani roho ya mtu huyu na hapo huitiisha nafsi. Kwa hiyo hakuna jambo atafanya linafanikiwa maishani mwake isipokuwa mpaka mpenzi wake huyu wa kiroho akubali. Ndipo huja hadithi za majini yanayoharibu mafanikio.

Kuhani wa Kanisa la shetani, Antonio Lavey, aliwahi kusema, kafara kubwa kabisa ya siri, wakati wa ibada ya matambiko, ni kumwaga shahawa, ni zaidi ya kumchinja mtu na kumwaga damu yake.!! Kumbe kupiga punyeto ni kujitoa kama kafara kwa mapepo na hivyo kuyapa nguvu zako!!

Ndio maana baada ya punyeto, mtu hawezi kufikiri vizuri, akili huwa kama ina ukungu, nguvu hupungua sana mwilini. Nguvu zote za kiroho huondoka, mtu anakuwa mweupe kabisa kiroho, emotional energy inatoweka, ndipo hamu ya kuwa na opposite sex inaanza kufifia.

Shahawa sio mkojo, ni DNA yako mwenyewe. Nguvu za kumiliki zimo ndani yake, sex energy, nguvu ya kuzalisha mali nk. Hizi huitwa dominion power. Ni nguvu hizi zinazochukuliwa na mapepo.

Next time tutakwenda deep... [/B]

Morg, Nature,
Maya Angelou, Africa Tanzania, dumbi, LOGARITHM, Sergei Lavrov, LOVE U JF, korino, Mshuza2, park don, Surya, big-diamond, Mwanamena, Tajiri wa Magomeni, dudupori, Bubolwa Chura, Patra31, Depal, alumn, Ed Kawiche, Sexless, The 13, Avriel, Styles
yna2, ngebo, iMind, HoneyBee, Will jr, gbmm, True Believer, Saint Anne[/i][/B][/B]
Mfano mnaishi mbali wewe na mkeo/mchumba wako, ukampigia nyeto mkeo/mchumba wako katika hisia ili tu usishawishike uka cheat je ni kosa,
 
Nimecomment kabla hata sijasoma Uzi mwenyewe Ngoja Sasa ndo niusome big up Sana director Nyenyere
 
Haya mambo yanayofundishwa hapa na Bwana Nyenyere kama huna Imani ya dini yoyote hutaweza kuelewa,definetly lazima utapinga tu,lakini kama unaamini kuwa kuna ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili utamuelewa vizuri sana na haya yote yamo kwenye Biblia na misahafu,anachofanya yeye ni kufafanua zaidi...
 
Back
Top Bottom