Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Umewezaje mkuu hah
 
Ohh God heal me
 
Big up Sana kaka kumbe ni upumbavu sana
 
Huu Uzi naweza sema ni uzi Bora kwa mwaka huu naupa award .Umenifungua kwa kiasi kikubwa juu ya masterbation umenifundisha nisichojua juu ya master pia kupitia mwanzilishi wa hii mada mungu ambariki Sana sna kaokoa wengi kupitia uzi wake tumekombolewa wengi toka katika hii laana hakika now we are new creatures
 
Me kwangu ni uzi bora wa mwaka

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Dah kweli tupu kaka
 
Mr nyerere ww ulitokaje kwenye uu mtego?
Mkuu, hii ni vita ngumu mno!! Lakini iko siri moja tu, ukifanya juhudi zako mwenyewe HUWEZI KAMWE. Mimi nilijaribu mara kadhaa, lakini baada ya muda nilirejea kwa kishindo mpaka pale nilipoamua kwa kumaanisha moyoni, kisha nikaanza kumlilia Mungu. Tangu wakati huo sikuwahi kurejea tena, ikafikia kipindi nikitafakari yaliyopita nabaki kujishangaa ilikuwaje nikasikia raha katika hilo.

Kama wewe ni mwamini, kufunga kwa kumaanisha kuacha ni hatua ya pili muhimu.

1. Chukua uamuzi thabiti kwamba hutaki tena kujichua

2. Badili mfumo wako wa maisha. Acha kabisa kusoma literatures ambazo zitaamsha hisia za ngono ndani yako. Acha kabisa kuangalia TV program ambazo zinatukuza ngono na utupu (nudity), mfano miziki ya kisasa, big brother, vitabu vya hadithi za mapenzi nk. Yote haya yapo kukufanyia MIND PROGRAMMING. Epuka kabisa maongezi yanayohusu mambo ya ngono nk. Ni vema ukatumia muda wako mwingi kukaa peke yako huku ukisoma na kutafakari habari za Mungu. Kumbuka unapofanya haya, unaamsha hisia za ngono ambazo kwako huja kwa tamaa ya kujichua. Epuka kutembelea maeneo ambayo yana mambo ya uchi na utupu, mfano beach, night club, baa za wavaa nusu uchi nk. Kifupi, CHUNGA SANA UNAULISHA NINI MOYO WAKO.

3. Hii ni hatua muhimu sana. Unatakiwa kuua mwili wako. Kadri mwili unavyokuwa na nguvu ndivyo dhambi ya kujichua inayotawala. Nguvu ya mwili ni katika chakula. Unyime mwili chakula uone jinsi nguvu yake inavyotoweka mara na nguvu ya roho kuamka. Fanya funga, japo siku 21 hivi. Nakuhakikishia utarejea hali yako ya kawaida kabisa.

3. Baada ya funga usirudi tena katika mfumo wako wa maisha. Kwamba utakuwa umezaliwa na mwili mpya kabisa wenye kuongozwa na roho yenye mawazo mapya na mtazamo tofauti kabisa wa dunia hii. HII NDIO MAANA HASA YA KUZALIWA MARA YA PILI. Unaua mwili wa kwanza unaoongozwa na kila unachokiona duniani, unazaliwa mwili mpya ambao haufuati pattern ya dunia hii. Hatua hizi zitakuweka mbali na marafiki zako wa awali kwa sababu hautaendana nao tena. Ndipo ikasemwa "NALIKUJA KULETA UPANGA." Ukiona mtu anasema anamcha Mungu halafu anasifiwa sana na wana wa dunia hii, mfano mchungaji Lusekelo, basi jua wazi Mungu hayupo hapo. Kwamba mtu habadilishwi na mafundisho yake bali anafurahishwa sana nayo, basi hayo ni kwa namna ya dunia hii.


Mkuu, badili mfumo wako wa maisha nawe utakuwa hai, kama hubadili basi japo unaishi lakini tayari umekufa katika dhambi.
 
Mr nyerere ww ulitokaje kwenye uu mtego?
Mathayo 12
29 Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu? Ndipo atakapoiteka nyumba yake.


Kumbe ukitaka kuiteka nyumba yako (roho) ni lazima kwanza umfunge mwenye nguvu (mwili) , bila hivyo utapoteza muda na nguvu zako bure.

Timeumnwa kuongozwa na roho, lakini mwili umekuwa na nguvu hata kuiteka roho. Sasa ni lazima kufunga ili kuondoa nguvu za mwili ndipo roho iamke, hapo NAKUHAKIKISHIA ITAISIKIA SAUTI YA MUNGU MAISHANI MWAKO, nawe utashangaa kuonja wema wa Bwana.

Zaburi 34
5 Wakamwelekea macho wakatiwa nuru, Wala nyuso zao hazitaona haya.

6 Maskini huyu aliita, Bwana akasikia, Akamwokoa na taabu zake zote.

7 Malaika wa Bwana hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.


Malaika wa Bwana ataanza kukutembelea usiku ukiwa umelala na atakujulisha mambo mengi, wala hutaogopa neno tena.

8 Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini.

Nawe jaribu kufanya hivyo ili uushuhudie wema wa Bwana. Usiwe mtu wa kusikiliza ahuhuda tu, NAKUHAKIKISHIA UTASHANGAA KUTEMBELEWA NA MALAIKA NA KUSEMA NA ROHO YAKO.

12 Ni nani mtu yule apendezwaye na uzima, Apendaye siku nyingi apate kuona mema?

13 Uuzuie ulimi wako na mabaya, Na midomo yako na kusema hila.

14 Uache mabaya ukatende mema, Utafute amani ukaifuatie.

15 Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao.


Fanya hayo kwa moyo safi kisha rudi hapa jukwaani UNIITE MWONGO

AMINA
 

Thanks Mr nyerere
 
Nime nyanyua mikono yangu juu Darasa lipo kwenye pin point

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nisipo badilika round hii,basi nime rogega vilivyo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…