Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

Story yangu:
Nilianza kupiga punyeto nikiwa mwajiriwa. Hapo ni baada ya kutoka kidato cha sita. Siku moja nikiwa na kwenda kwenye public toilet sikujua kama alikuwamo mwajiriwa mwenzangu akiwa amesahau kufunga mlango. Nilishika kitasa kwa haraka sana nikafungua mlango, nilijikuta uso kwa uso na jamaa akigumia kwa raha MBELE YA MACHO yangu. Sikuwahi kufuatilia mambo haya katika maisha yangu, hivyo nilupatwa na butwaa halafu nikamwomba msamaha, naye akaniomba msamaha nikatoka ilu amalize kujiweka sawa. Ni kuanzia hapo akili yangu haikuwa sawa tena, yaani kukawa na nguvu ya hatari sana inanisukuma nijaribu japo mara moja kuona ilivyo. Mwishowe niliamua nionje kidogo, nakiri wazi kuwa hiyo ndio sikunilipokoma kuishi kama MIMI, that was the end of me!!

Khantwe, yuzazifu, Sic March, Mgonga Like, Ismoo, extra life, wiz hov
Ndio imeisha?
 
Kuanzia hapo ashki zilikuwa zinanijia asubuhi, mchana na jioni. Nikajikuta nashindwa tena kujizuia. Nimeendelwa na hali hii mpaka nilifikia kipindi naweza kukwepa kwenda kazini ili nitumie muda mwingi kujiridhisha. Then nilipata nafasi ya masomo UK. Niseme wazi tu, utamu ulizidi hata siku moja nikiwa kwenye bustani ya Hyde Park, nilitafuta angle moja nikaanza kyjipa raha. Kuna mambo mawili yalikuwa yakiendelea bila mimi kujua, kwanza kuna wadada wawili walikuwa wakupita jirani na kichaka nilichokuwa wakaniona wakasimama kunitazama, pili kuna jamaa mmoja mwarabu (ila raia wa huko UK) alikuwa akinicheki kytoka angle fulani mimi nikiwa sijui. Sasa yule mwarabu alinijia nilipomaliza, akaniambia: You're beautiful, will you be my girlfriend? Nilipigwa na butwaa na nikaondoka kwa hasira bila kumjibu. Nikiwa ndani ya bustani bado nikasikia king'ora cha gari ya polisi, kumbe wananifuata mimi. Wakanichukua mpaka kituoni, mashitaka yakiwa indecent exposure. Kumbe wale wadada wawili waliponiona walipiga simu polisi, kisha polisi wakaja!!


Khantwe, yuzazifu, Sic March, Mgonga Like, Ismoo, extra life, wiz hov, SHIMBA YA BUYENZE
Daah eeh bwana eeh
 
Nyeto hatari sana,nilikua na mpigia mpwa wangu(mtoto wa sister)mpaka kila nilikua nikimuoa nahisi kama nilisha mgegeda
 
Najitajidi sana kuacha lakin nikishtuka usiku naukuta mkono wangu wa kulia umeikamata pipe kwa nguvu naamua kuyavuta mafuta nakoleza tuu..

Psychological kuacha punyeto ni sawa na mvuta sigara aache kuvuta sigara
 
Umechokoza hoja ya maana sana, hoja ambayo ilitaka kusababisha wanaume wanitoe roho humu kwenye mada moja ya bikra, kama unakumbuka kuna kipindi bikra ilikuwa ni mada inayotrend sana humu, ulikuwa ni upepo nashukuru umepita.

Mi niliuliza msichana ambaye hajaolewa kwasababu za life style ya sasa, shule na kadhalika aishi vipi bila kufanya mapenzi ili amtunzie bikra uyo mumewe, tuchukulie mfano chuoni huwa tunakuwa na miaka atleast 19-26, huu ni umri wa mtu mzima,hivi kweli mtu wa umri huu hana nye.ge? Na kama anazo afanye nini?

Siku tukigundua kufanya mapenzi au punyeto ni takwa la kibinadamu tutapunguza mahubiri ya kinafiki, alot of people wako kwenye denial.
Asante Binti Kiziwi. Tatizo la hawa wahubiri huwa hawatoi vitu practical. Ni nadharia tu na vitisho. Ndiyo maana nimeuliza hapo. Kijana rijali kabisa hana tatizo. Hapaswi kuzini wala kupiga nyeto na anapaswa kusubiri mpaka atakapooa. Kwa mazingira ya sasa ni vijana wangapi wanaweza kukaa celibate mpaka siku ya ndoa? Kama wengi hawawezi, wafanye nini kama kuzini na nyeto haviruhusiwi kiroho?
 
Hili ni suala pana sana na linalogusa wengi. Ili kuwasaidia vijana mkuu Nyenyere ukipata muda jaribu kufafanua zaidi. Mfano:

Kijana rijali ambaye hajaoa afanyeje? Azini? Apige nyeto? Kuzini na nyeto ni kipi kina unafuu kiroho (kama upo?). Najua hali tengamanifu ni kujizuia mpaka mtu aoe lakini katika uhalisia wake na mazingira haya ya kisasa, ni kijana gani rijali anaweza kufanya hivyo?

Ukija kuleta mada ya kuacha nyeto angalia pia na suala hili. Yawezekana kweli kijana rijali kukaa tu miaka na miaka bila ngono eti akisubiri mpaka aoe? Kama haiwezekani, kijana huyu afanye nini kama hawezi kuzini na kupiga nyeto?

#Uwazinaukweli

Mkuu umeongea nilicho kua nafikilia 👍
 
Spiritual being kivipi wakati wako wawili
wanayepiga nyeto kwa msaada wa dolls naye huyu utam-consider kama kafanya mapenzi kwasababu wako wawili?

Ishu ni mechanism gani iliyochangia wazungu kutoka.....kama wote mko offline lakini mme-upload documents zenu kwa devices tofauti tofauti kivipi huyu mwingine awe considered kama katumia Wi-Fi?

Mechanism hapo iliyotumika kwa wote mpaka wame cum ni hisia, kwasababu huyo aliyekua na demu hakuna tendo la ngono lililofanyika, nadhani labda hii tuiite advanced masturbation.
 
wanayepiga nyeto kwa msaada wa dolls naye huyu utam-consider kama kafanya mapenzi kwasababu wako wawili?

Ishu ni mechanism gani iliyochangia wazungu kutoka.....kama wote mko offline lakini mme-upload documents zenu kwa devices tofauti tofauti kivipi huyu mwingine awe considered kama katumia Wi-Fi?

Mechanism hapo iliyotumika kwa wote mpaka wame cum ni hisia, kwasababu huyo aliyekua na demu hakuna tendo la ngono lililofanyika, nadhani labda hii tuiite advanced masturbation.
Duuh
 
Hizi habari za kujichua zimezua mjadala mkubwa sana nyakati zetu hizi.
Kila mtu anazungumzia athari zake kwa jinsi alivyo amishwa au alivyo experience.
Athari za kiroho kama alivyooanisha hapa mleta mada, na kwa namna hio hio kulingana na imani ya mtu.
Zipo pia athari za kiafya kama wazemavyo wataamu wa afya, lakini pia wataalamu wengine tena walio rasmi wamepinga vikali uwepo wa athari za kiafya kutokana na kujichua.
Wataalamu wengine wa akili nao wamesema kuna athari zitokanazo na kujichua zinaathiri akili, lakini wengine wanakataa na wote wana hoja.

Sijaweza kujua ni kitu gani kimetusibu vijana waleo mpaka kujikuta washirika wa kujichua kwa kiasi kikubwa vile.
Mimi kwa takribani miaka 15 na kuzidi ninafanya hivi lakini nikiambiwa nionyeshe athari moja wapo ya zinazotajikana sinazo.
Nimeoa na ninawatoto wawili wenye afya.
Ninafanya kazi za watu sijaweza kuharibu.
Ibada na hudhuria na fellowship kwenye kanisa letu, kwa maana hio hofu ya Mungu niko nayo.
Na performance ya kujieleza mbele za watu niko nayo pia.

Mimi nawalaumu wanawake wao ndio chanzo cha vijana wengi kuharibika maybe. Kwa sababu ya lifestyle yao walio iga mfano mavazi urembo kujiamini nk.

Hii imepelekea mwanaume kukosa kujiamni na kusimama na mwanamke na kuona bora akajichue kuliko kupigiana makelele na mademu.

Mwisho athari za kujichua ziwe za kiroho kiakili na kiafya haziko general ndugu mleta mada.

So true
 
Natabiri huu Uzi utakuwa mkubwa Kama ule wa Kula Tunda kimasiara
 
Naona watu wanalumbana na kumpinga mtoa mada juu ya ukweli huku wakitaka kuhalalisha Nyeto kuwa Ni sahihi njema kwa maisha ya mwanadamu kinyume na ukweli .


Kumekuwa na nadharia inayosambaa kuwa mwanaume rijali lazima afanye ngono must ndo maana leo kwenye mada yetu imekuwa ngumu Sana kutokana kuwa na mitazamo tofauti
 
Mtoa mada Nyenyere tunataka utupe tactical za kufuata au kufanya ilikuepukana na hii dhambi sisi kama wanadamu ujuavyo sifa yetu kubwa ni tamaa .Hapa Kuna kuwa na changamoto Sana haswa kwa vijana wa Sasa kulingana na dunia tunayoishi Sana tufuate taratibu zipi ilikuepuka hili



Kama kumtamani mtu umekwisha zini nae hapa Kila siku nitakuwa nazini maana sio kwa kutamani kule hasa kuna mmaza nikimuonaga tu nammindi sana mpaka nafsi inanisuta lkn nifanyaje nishinde hii zambi Kama Demu nimemchunia siongei nae sahiv . Ebu tupe hizo codes
 
Back
Top Bottom