Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu

Toka waziri wa ujenzi mpaka rais wa ujenzi... Kiukweli tunaenda kiporojo tungejua kupima ahadi na utekelezaji wake tungegundua tume
Tuliambiwaa inawekwa nguvu viwanda vya nguo tuachane na mtumba lkn wapi?
Tunatakiwa tuwe na viwanda vya samaki kwakuwa tunavyanzo vingi imeishia stories hatuoni lamaana.
Nchi ya viwanda tuliyosisitiziwa imeishia kuwa ya hadithi za kesi,kufungana,kutiana marisasi na sumu.
Wafanyakazi wataboreshewa maisha hamna lolote ni kufukuzwa ovyo,kutishwa na kutoendelezwa hata kwa seminars,workshop etc.
Kinachofanyika sasa ni kuchukua hela na kujenga sio kubezi kwenye kukuza uzalishaji,ufanisi,elimu bora kama mataifa yaliyoendelea walivyo base
 
Ukurupukaji na kutohusisha wataalam jambo baya sana, afu cha ajabu yeye mawazo yake hayapingwi na ye yote
 
Na hakuna wa kuhoji hilo iwe serikani au kwenye chama wote wameufyata
 
Kiukweli ccm wanatutia hasara sana kwenye nchii tutakuwa tunafanya kazi ya mark time hadi lini? kila rais wa ccm anakuja na vyake,binafsi sikuona haja ya Magu kuvuruga kila kitu alichokikuta bali angerekebisha alipoona hapafanyi vizuri
Sasa hakuna sekta aliyofaulu kidogo kusambaza umeme na afya kwingine ni amepoteza rasilimali nyingi kwa miradi isiyo na tija,amevuruga sekta binafsi iliyokuwa imeanza kutegemewa kwa ajira maana nakumbuka ilifika mahali watu wanaacha kazi serikalini ili wajiajiri au waajiriwe sekta binafsi saizi ni kinyume chake
Nakumbuka Msigwa alimuuliza Dr.Mpango ni uchumi upi anaosimamia?,falsafa upi anasimamia maana alichokuwa anafanya kwa JK ni tofauti na anachofanya saizi,tushike lipi?
 
Hata mke wa lutu aligeuka jiwe Kwa kuanza kumbuka ushenzi uliokuwa ukifanyika Gomola na Sodoma,

Ni Yule Yule mke wa lutu aliyekuwa akilalamikia biashara ya ukahaba kuchukuliwa na wanaume na wanawake wakikosa soko

Wake za lutu ni vigumu kuisha duniani kumbe??
 
Duh yani mwaka 5 no mshahara mpya ase ingekuwa kipindi cha jk sa hv tungekuwa mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
General welfare ya watu imeshuka chini kuliko miaka 5 iliyopita kila ripoti inaonyesha wabongo ni kati ya watu tusio na furaha duniani..mniambie miradi mipya ya barabara ambayo awamu ya tano wameiasisi na imekamilika ukiacha walizokuwa wanamalizia
JK aliondoka bado vipande vya kuunga miko ya magharibi na kusini magharibi hadi saizi bado mikoa haijaunganishwa..ukiuliza utasikia wakandarasi wako site,sijui site zipi miradi haiishagi si barabar si sgr si stiglaz hata hospital walizosema 67 zimejengwa waambie wakupe orodha jibu ni hakuna sasa sijui yote hii ni kwa faida na hasara ya nani
 
Magufuli 4 lifeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo wanacho kitaka ni kuua upinzani nadhani waTZ wanakipenda sana. Siyo viwanda sio uchumi siyo korosho bali Mbowe azikwe yaani wauawe kabisa. Madaraja ya mkopo, barabara za mikopo kiki za mikopo au TASAF ya kupewa na mabeberu. Ndiyo ssem na wa TZ wengi wanataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemchambua vizuri sana ! lingine lililomshinda ni la kilimo na soko la bidhaa za kilimo , kama korosho , mbaazi nk , ameshindwa na amesalimu amri hadi amekata tamaa na kuamua kwenda kulala kwenye Mawe .

Ikulu ni Mzigo - Nyerere
 
Inashangaza sana kuwa haya yanatendeka ,walio takiwa kukosoa wanashambuliwa! Hivi kina Mzee Butiku na wenzake wanajisikiaje namna walivomkomlia kumkosoa JK na BWM ,Leo hali ni mbaya wamekaa kimya utawala bora uanabakwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…