Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu

Mkuu, tuma hii taarifa mara moja kwa kamanda msaliti awaambie mabwana wakubwa mabeberu waje kutusaidia.
 
Huu ndio upumbavu unaouonyesha kuwa unakusumbua.

Hebu soma hayo uliyoandika hapa.

Wajibu wa serikali ni upi, kama sio kutoa taarifa kwa wananchi wajue kila juhudi zinazofanywa na serikali yao!

Unataka kila anayehitaji taarifa aende wizarani hata katika mambo ambayo yanatakiwa yawe wazi kwa kila anayetaka kujua?

Ndio maana mnatunga masheria ya kiajabuajabu kuzuia watu wasipate taarifa?

Bandiko lako lile la mwanzo lilikuwa la hovyo, sasa unaendeleza upuuzi ule ule, halafu unajifanya hauko serikalini?

Bure kabisa.
 
Mada iliyopo hapa haihusiani na haya unayotaka tuyajadili.
Anzisha mada nyingine kama unataka mlinganisho wa hizo awamu unazozungumzia.

Hii ni dalili ya kuwa na dosari katika uchambuaji wako wa taarifa unayohusika nayo.

Kwa bahati mbaya sana, watu kama wewe ndio mliojaza nafasi mhimu sana ndani ya serikali, na matokeo yake ndiyo haya yanayoonekana sasa.
 
Unataka tujadiri kwa mtazamo finyu kama wako eeh…Huwezi jadiri huu uzi bila kuwa uelewa mpana wa mambo…sasa watu kama ninyi mnaojadiri kwa mihemko ya chuki mnapenda sana kupuuza ukweli wa hali halisi ya wapi tulipotoka na tupo wapi na tunakwenda wapi…too sad ndio mnaziba nafasi nyingi ktk jamii forum kwa kujidai eti nanyi ni 'think tanks' upuuzi kabisa!
 
Hivi ww ufaamu wako ni finyu kiasi hicho! Nenda kwenye vitendo husika vya kutoa taarifa ktk wizara husika utapata kama unahitaji! Hizi kama serikali itatangaza yote yanayofanyika nchi nzima ya Tz kwa ukubwa wake, unafikiri hata masaa 24/7/ miezi 12 itatosha, jamani hebu tutumie akili japo kiduchu tu!
Serikali haijaacha kutoa taarifa kwa mtu yeyote anayetaka kama atatembelea kitengo husika. Sasa ww kabla ya kufuata hizo taarifa unakurupuka ni mihemko ya chuki juu ya Magu na awamu hii na kuchomoka na uzi wa kipuuzi kama huu…shame on you!
 
Ngoja niachane na kilaza kama wewe. Huna unachoongeza cha maana katika mjadala huu.
 
Baki na ujinga wako.
 
Ngoja niachane na kilaza kama wewe. Huna unachoongeza cha maana katika mjadala huu.
Nilijua tu mwishowe kwa ufinyu wa ufahamu wako hayo maneno ndio yangekuwa hitimisho lako…very predictable!
 
Baki na ujinga wako.
haya ni maneno ya wote wenye ufahamu na mtazamo finyu na hasi kama ww! Niliyatarajia tangu nilipojaribu kukusaidia kupanua kijiufahamu chako!
 
haya ni maneno ya wote wenye ufahamu na mtazamo finyu na hasi kama ww! Niliyatarajia tangu nilipojaribu kukusaidia kupanua kijiufahamu chako!
Sina mda wa kupoteza na kilaza.
 
Good analysis. Kwakweli sio tu viwanda serikali ya mfalme MAGUFULI imeshindwa katika maeneo mengi mnoko.huyu hajapandisha mishahara kwa miaka yote minne kwa watumishi wa umma na amekuwa na kiburi kama siyo binadamu tena mweusi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umrnena vyema , kumbe kazi haijakamilika lakini IPO.
Mbowe alituambia bungeni habari ya mradi hewa wa SGR, kumbe alidanganya. Asante kwa kusaidi kutujuza habari hii.
Ni bora sasa tukaumalizie safari zianze
Ebu weka udhibitisho wa mbowe akiongea huo uongo
 
Raisi wa miundo mbinu aliwaahidi watu wa wilaya ya Kilombero kuwa atawajengea barabara kutoka Ruaha hadi Ifakara kwa kiwango cha lami. Haikupita miezi kadhaa kazi zikaanza kwa mbwembwe fasta fasta, kumbe nguvu za soda tu mpaka sasa unaelekea mwaka wa tatu lakini barabara haijakamilika na sehemu zilizochongwa zimeshaharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumefanikiwa kununua wapinzani na kuwarudisha Lowasa na MR. Zeroo
Kwa hakika hayo ni mafanikio makubwa kwa CCM.

Historia itaandikwa kukumbuka haya mafanikio ya awamu hii.
Lakini historia hiyo hiyo itaonyesha jinsi CHADEMA ilivyoendelea kuwa ngangari mbele ya juhudi za kila aina zilizoelekezwa kuwamaliza.
 
B barabara ya mikumi - kilombero km 35 zilijengwa mwaka 1992 nakumbuka project ilichukua miezi 7. Kilombero - ifakara km 70 miaka mitatu sasa hakuna kinachofaka wanazunguka zunguka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…