Masikini lakini huwezi sikia wakiteseka na njaa,
Hakuna matukio kama hayo, endeleeni kuyaandika ili mpotoshe wakumbafu wenzenu,
Ukiwa na njaa hata uwezo wa kufikiri unapungua [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wewe unajitambua au unapiga kelele tu?, sasa bajeti kubwa ina maana gani kama hata uwezo wa kuwanunulia chakula watu wake hawawezi wanategemea chakula cha msaada?. Kama hawawezi kujenga hata kilometer moja ya reli, mchina alivyokaa kutoa pesa, reli imeishia porini, kama hawawezi kulipa Madeni ya nyuma?. Unajua tofauti ya bajeti na mapato?, huwezi kujisifia matumizi makubwa yadiyoendana na mapato yako.Hapo hapana,,tukubali tusikubali,,,tutake tusitake,,uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko wetu Tanzania,,wewe angalia tuu bajeti yao ya mwaka linganisha na yetu jiulize kwa nini ni kubwa hivyo
Kiangazi hauwezi kukizuia hata kwa pesa, ungepata elimu hata ya primary, labda ungelijua hilo.
Kutafuna albino ni laana mbovu sana, nyie ni makatili hadi hata shetani anawashangaa
Kwann msingeanzisha miradi ya umwagiliaji?
Kwann msipande mazao yanayohimili ukame?
hata huko uarabuni mnakopewa misaada ya chakula ni jangwa, nyie mnakwama wapi.
Endelea kuota, huku nduguzo wakiteseka na njaa.
Tupande ya nini wakati kwenu shamba la bibi tutanunua.
Wateseke lakini hawaliwi kama wa kwenu.
Kenya lugha yenu kuu English chaguo la pili ndio Swahili TZ ya kwanza Swahili English mpaka uende shule
Ati eat nn [emoji23][emoji23][emoji23], Keep talking about past news ambazo tulishazisahau muda sana,
Wakati counties 13 zinateseka kunyaland kwa sababu ya kukosa chakula saa hizi.
Hehehe!! Halafu hizi taarifa ambazo naona kama ndio kiki uliyobaki nayo inafaa ikuingie kwamba ni kuhusu kiangazi, kwamba kiangazi sio kitu ambacho tuna uwezo nacho ila cha msingi ni kwamba tunanunua chakula na kuwapelekea ndugu zetu, hela tunazo, tunanunua kutoka kwa maskini kama nyie na kuwalisha watu wetu.
Eti past news[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh!!ngoja wanasiasa waanze yao wakati wa uchaguzi..utakuja kunipa majibu
Hawa hapa middle class wa dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1194967
Hivi wewe unajitambua au unapiga kelele tu?, sasa bajeti kubwa ina maana gani kama hata uwezo wa kuwanunulia chakula watu wake hawawezi wanategemea chakula cha msaada?. Kama hawawezi kujenga hata kilometer moja ya reli, mchina alivyokaa kutoa pesa, reli imeishia porini, kama hawawezi kulipa Madeni ya nyuma?. Unajua tofauti ya bajeti na mapato?, huwezi kujisifia matumizi makubwa yadiyoendana na mapato yako.
How about this, tusemeje
13 counties.
Kwann msingeanzisha miradi ya umwagiliaji?
Kwann msipande mazao yanayohimili ukame?
hata huko uarabuni mnakopewa misaada ya chakula ni jangwa, nyie mnakwama wapi.
Hiki kitu kinauma sana. Yaani sasa Kenya imekuwa kama Ethiopia ya miaka ya 80.
[emoji24][emoji24][emoji24]
Mtasuburi hadi mchoke.
Kwhyo unataka watu wa county zingine waende hko wakawalimie watu wenye hawna hta hyo hamu ya ukulima...kwel ccm ni janga la taifa