'Nguvu ya umma' kumstaafisha siasa za Kenya Raila Amollo Odinga...

'Nguvu ya umma' kumstaafisha siasa za Kenya Raila Amollo Odinga...

Kweli ndugu rutta, nchi za kigeni hawaleti misaadi wakiwazningatia fukara, pesa zote za misaada haifikii mikononi mwa mafukara, hulisha mafisadi tu na familia zao. maskini wasipofaidika tusikie nini. Tazama incisive writing kutoka kwa mwandishi moja

http://www.nation.co.ke/oped/Opinion...s/-/index.html

Kabaridi ukoloni mambo leo bado tatizo la siye tuliotawaliwa na mabosi wetu........ni vigumu wao kuamini tunaweza..............kabaridi
 
MTOA MADA POLE SANA,INAVYOONEKANA UNAISHI KWA NADHARIA ,HUJUI UNACHOKIANDIKI ZAIDI MAWAZO YA CHUKI KWA RAILA ODINGA ,NARUDIA-POLE SANA!!! KWANZA,KUSEMA ETI RAILA ODINGA HATAKUWA RAIS SABABU YA CHEO CHA UWAZIRI MKUU KWA KUJIFUNZA HAPA TANZANIA NI MAWAZO YA KIPUUZI,KENYA HAIKUWA NA CHEO CHA WAZIRI MKUU KIUFUPI NI NAFASI AMBAYO IMEINGIZWA KWENYE KATIBA KWA KUIGA MFUMO WA TANZANIA NA ZAIDI,"NO TWO ARE THE SAME" -KENYA NI KENYA,NA TANZANIA NI TANZANIA.- Halafu hayo yote uliyoyaandika ni MAWAZO mufilisi ,Hayana hata chembe ya mashiko,"ETI Raila sii chaguo la KIZAZI kipya"?? nani alikwambia KIZAZI kipya kinapiga kura sababu ya umri wa UJANA ??? Shame on you!!!alipochaguliwa MZEE Kibaki Mara ya kwanza huyo UHURU KENYATTA Hawakumuona HAO VIJANA wa KIZAZI kipya?? Maandamano ya VIJANA Tunisia na Misri,YALIWAWEKA WAZEE KATIKA MADARAKA????,WEWE KAMA MCHAMBUZI UNAJIFUNZA NINI???VIJANA WA ZAMBIA WALIPOMCHAGUA KING KOBRA SATTA MWENYE UMRI ZAIDI YA MIAKA 70,Kuwaongoza wewe umejifunza nini??? Utaandika hadi mapovu yakutoke,Kama upo Kenya,jiandae kukimbia maana macho yako yatamshuhudia RAILA AMOLLO ODINGA AKIAPISHWA KUWA RAIS WA KENYA." RAILA-ATOSHA"

CHIGANGA ningelisema Raila tosha usingelisema ninachuki.................labda nianze na masahihisho...siyo kweli Kenya haijawahi kuwa na Waziri Mkuu. PM wao wa kwanza alikuwa ni Jomo kenyatta.

wewe kusema Raila tosha ni maoni na sioni kama unachuki dhidi ya wagombea wengineo.................sasa sijui mimi ambaye ninaona Raila hatoshi niwe ninachuki? Yote ni maoni tu ya kutabiria kijacho sasa sijui chuki dhidi ya mtu nisiyemfahamu binafsi zitokee wapi............................mimi nimempima kwa vipimo vyangu na wewe utuelimishe.......

nikipatia ni sawa nikikosea nayo ni sawa tu kwani haya ni maoni ya maono yajayo................sisi siyo watabiri.......

na wewe ukipatia ni sawa na ukikosea ni sawa pia huna uhaja wa kukimbia kwa lolote lile.......................nami sina uhaja wa kufanza hivyo.......kuhusu umri wa mzambia na Kenya zipo tofauti......rudia kusoma mada hii na ninachoona ni kuwa uchaguzi wa kenya ni wa generational change..............Kibaki/Moi?Kenyatta walikuwa viongozi wazee na wapigakura wanataka kijana...............................again hayo ni maoni yangu binafsi yawezekana ni kweli au la..............lakini kama sioni kama wewe basi ninachuki sasa itabidi sote tuwe hivyo maana sote tunaoni tu...............alamsiki
 
Hayo aliyosema rutta ni maoni tu ,na sio matusi, elezea kwa uwazi uwezekano raila anao kuchukua urais. remember there is no baby-sitter here, kujaribu kukuelekeza kwa njia ya kujieleza. Matusi pia na chuki yametumika katika uzi zingine kuelezea viongozi wengine. Yaonekana ingalikuwa vizuri kujaribu pia usome posts zinazolenga viongozi wengine kando na raila... ndio utajua jinsi wamekosewa heshima.

Pili...naamini wewe ni mtanzania, na huenda unasisitiza raila tosha kwa sababu he is popular kwa vyombo vyenu vya habari. Huenda hufahamu chochote kuhusu viongozi wengine hasa uwezo wao wa kuwa viongozi na historia zao.

Nani kasema vitu vizuri kenya vitakuja tu kupitia raila..Viongozi wengine wanakuwa demonised kuwa hawakuzaliwa viongozi na hayo ndio mathara ya populism..That is limiting taifa letu kuweza kupata viongozi...can heaven come down only through raila? not certainly kenya can get good things from anywhere at any corner from anyone...!!. Rating yangu ni kuwa viongozi wote wanaowania urais wana uwezo tofauti...lakini hiyo sio sababu ya kufanya viongozi wengine wasiangaziwe hasa kwenye nyanja ya kipawa. kwa sasa kambi ya CORD is a full-house of self-seekers na wataendelea kusema wamepigania kila kitu. waombe vita wanayopigana isiendelee kudumu bila kikomo.

Mkuu Ab-Titchaz what does the new constituton say about the position prime minister...ili mwenzangu tuzime papara na upotovu unayojaribiwa kuletwa hapa?

Kabaridi tusamehe hapa TZ utamaduni wa maoni bado ni mpya kabisa kwahiyo tutajikanyaga hivyo hivyo hadi tujue kutembea........................ukitoa maoni tofauti na mwingine aonavyo wewe unachuki................badala ya yeye kumtetea mtu wake anabakia kukushambulia uliyeoni...................na kusahau maoni yenyewe ndiyo yaliyotukutanisha..............na kwa kufanza hivyo hata mtu wao wanashindwa kumtendea haki.............
 
I know the history of Kenya since independence,ni kweli ukabila upo! Lakini Raila anapewa nafasi sana

sungusungu jiongoze vizuri kwenye mada suala siyo kama hapewi nafasi au la.................ila anasuasua katika azma yake hii kwa sababu nilizozianisha..............kama angelikuwa mwanasiasa khodari ile political map ya 2007 angelibakia nayo leo hii angelikuwa hana mpinzani.

lakini raila has a tendency to cannibalize himself right before the election.....................he has burnt too many bridges now the chicken have come home to roost............
 
Last edited by a moderator:
I know the history of Kenya since uhuru,ukabila upo! Raila bado anaweza kuingoza kenya.

maybe sungusungu kauli yako ya awali itakukumbusha kuwa umesahahu ulikotoka ni wapi, uko wapi na waelekea wapi..........

Ni kwel huyo Bwana simwelewi kikubwa amesite mambo ya ukabila sana.Hajui wakenya kwenye mambo ya msingi ukabila ni pembeni.Raila ndo chaguo la Wakenya wengi.
 
Last edited by a moderator:
Don't make the wazungu ur role models!

sungusungu frankly speaking whatever we do is a mere photocopy of mzungu..................so automatically they are our role models..................hata hi demokrasia si tumeiga tu kwao? letu liko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Kabaridi tusamehe hapa TZ utamaduni wa maoni bado ni mpya kabisa kwahiyo tutajikanyaga hivyo hivyo hadi tujue kutembea........................ukitoa maoni tofauti na mwingine aonavyo wewe unachuki................badala ya yeye kumtetea mtu wake anabakia kukushambulia uliyeoni...................na kusahau maoni yenyewe ndiyo yaliyotukutanisha..............na kwa kufanza hivyo hata mtu wao wanashindwa kumtendea haki.............

Rutta Hivi ndivyo hata pale mitaani kama kibera slums na mathare watu huchinjana wakati wa uchaguzi kwa kokosa kuvumiliana. kukandamiza huru wa maoni naona ndugu zetu kutoka wengine wanajifunza haraka.
 
Kabaridi Amollo ujumbe wake umejaa migongano....juzi kule Nyeri alikuwa akiomba msamaha kwa makosa ambayo hakuyataja.............leo akiwa Kakagema ndani ya bustani ya......................amedai aliowaomba msamaha jana yake ndiyo chanzo cha uongozi mbovu Kenya........................anadai Kenya umasikini wake ni kwa sababu ya uongozi mbovu na yeye yumo serikalini.....................wengine wote ndani ya serikali ni wabovu isipokuwa yeye na wapambe wake...............khalafu anadai katiba ya Kenya inamtegemea yeye kuitekeleza na hata kudai sheria zilizopitishwa ni CORD itazitekeleza....................akisahau kuwa tayari sheria Kibaki kesha kuzipitisha.................na yeyote atakayeshinda atazisimamia kwani kaapa kuheshimu katiba iliyopo.......

jingine analilaumu bunge ambalo yeye ni PM kwa kupitisha mafao makubwa ya viongozi -eyeye ni mnufaikaji mkubwa na mafao tajwa!-na sijui kwanini jana hakuweko kuyasemea hayo Bungeni..............where it matters most..............................this guy is fake..................na wapigakura are not as stupid as he is.................
 
Mtoa uzi ni mshabiki na hajui siasa za kenya. Ni sidhani kama amewahi kuwa kenya for the last one year akaona mambo yakoje. Jamani tujifunze kutoa uzi wa yale tuliyo na mwanga nayo sio kila jambo unalitolea uzi.
 
"6) Kumtegemea Obama na ICC kumpa Uraisi!

Huu ni sehemu ya upumbavu mkubwa kichwani mwa Odinga"
Kwa maneno haya mtoa uzi ni msomi au mwanafunzi ya Marehemu Shekh Yahya? Unajuaje upumbafu uliomo kwenye kichwa cha mtu bila ya yeye kusema au kutenda hivyo? Huu uzi umeniudhi
 
Ni kweli ndugu rutta, cha kushangaza ni kuwa vituko vya siasa ndio huongoza siasa na wanasiasa sio uadilifu wa kutumikia mwanachi wa kawaida.

Katiba mpya mpaka sasa kibaki kuidhinisha na kuweka saini haibadilishi chochote kwenye maisha ya mkenya wa kawaida maana serikali ikiwemo pia ndani ile ya 'mseto'/mkate nusu wanaitekeleza kinafiki.

Hawa wabunge walivotia juhudi kupinga local tribunal wangetumia jitihada hiyo kutekeleza katiba. Katiba ni stakabathi ya kumbukumbu ya viongozi kujitafutia sifa za ukombozi wa pili wa taifa la kenya. Kusema kuwa jubilee ina wale waliopinga katiba is quite vague. Maana hata Yule bibie Bishop Margaret wanjiru aliipinga katiba na sasa yuko kwa CORD. laini hiyo haina maana kabisa. Ni siasa ambazo hazina mshiko na za kupitisha muda!

Hizi kelele zinapoendelea za katiba, wakimbizi wamo bado makambini wengine wakiongezwa kutokana kwa kufurushwa kutoka msitu wa mau. Ikiwa serikali ya mkate nusu imeshindwa kuwajibika hawa wote ni wa kupewa pension kutoka kwa rais VP na pm kujikimu katika kustaafu kwao. We need fresh leadership.

Raila aomba wananchi msamaha kule mkoa wa kati kwa uongozi duni na pia kwa kutapeli wakenya knowing they are going back to retire to their respective constituencies.
 
Kabaridi naona Tinga anakimbilia vyombo vya kura za maoni ili kuwakatisha tamaa Jubilee asichojua itakula kwake maana hiyo sasa itawahamasiha vijana kujitokeza kwa wingi kuhakikisha wanampatia tiketi ya moja kwa moja aelekee kustaafu moja kwa zote......................poor Tinga..........
 
"6) Kumtegemea Obama na ICC kumpa Uraisi!

Huu ni sehemu ya upumbavu mkubwa kichwani mwa Odinga"
Kwa maneno haya mtoa uzi ni msomi au mwanafunzi ya Marehemu Shekh Yahya? Unajuaje upumbafu uliomo kwenye kichwa cha mtu bila ya yeye kusema au kutenda hivyo? Huu uzi umeniudhi

Mpitagwa nani aliyesonga ugali wa ICC? Jibu ni tinga na hiyo pasi alimpasia nani...Obama...................the Luo connection.......usifikiri hatuwaoni. mada hatuzianzishi ili kukufurahisha wewe toa khoja za kubeza siyo kutuelezea hisia zako. Nobody cares how you feel.................
 
Mtoa uzi ni mshabiki na hajui siasa za kenya. Ni sidhani kama amewahi kuwa kenya for the last one year akaona mambo yakoje. Jamani tujifunze kutoa uzi wa yale tuliyo na mwanga nayo sio kila jambo unalitolea uzi.

Mpitagwa hizo "sidhani" zako hazitakusaidia................onyesha jinsi ambavyo unadhani siasa za kenya sizijui na wewe onyesha ujuaji wako badala ya kujikita kwenye mahitimisho ambayo hayatoi mwnaga wowote ule.......................lengo ni kuamsha mijadala siyo kuhisia-hisia wenzio wakati hata hunijui lini nilikuwa nairobi. muulize Kabaridi ambaye yuko nairobi anaafiki hizi khoja zangu soma taratibu.........
 
Last edited by a moderator:
Kabaridi naona Tinga anakimbilia vyombo vya kura za maoni ili kuwakatisha tamaa Jubilee asichojua itakula kwake maana hiyo sasa itawahamasiha vijana kujitokeza kwa wingi kuhakikisha wanampatia tiketi ya moja kwa moja aelekee kustaafu moja kwa zote......................poor Tinga..........

Mkuu ajabu ni kwamba this is akin to rigging. Na such are the small small recipes ambazo zinakua applied ndio mazingara ya taharuki na vita iweze tekelezwa na wale watakaoshindwa uchaguzi. Kama wakenya we have been monitoring matamshi ya wanasiasa.. kama kuna moja alisema mwezi wa machi ni wakati wa kivumbi na ingali tume ya National cohesion inapoteza muda kupata mishahara bila kutekeleza chochote..

Let AG the kenya advice kibaki to sign that bill ya remenuration of perks and hefty allowance ambayo wamebuni PS. waende nyumbani wakastaafu waachie vijana the current generation take leadership.
 
Kabaridi unfortunately infotrack is owned by relatives of raila read below all from one tribe

0n Friday, the Infotrak Harris released the much criticised poll that put the CORD alliance associated with Prime Minister Raila Odinga and Vice President Kalonzo Musyoka ahead of all other Presidential candidates.

The poll results generated a lot of political heat where critics argued that the Orange Democratic Movement (ODM) party is using the pollster to market Prime Minister Raila Odinga's Presidential bid.

Since our aim is to inform Kenyans, we at the Kenyan DAILY POST without fear or favour, are going to expose the names behind the Infotrak Harris Company.

The company founder and group Chief Executive Officer (CEO) is Angela Ambitho

The General Manager is Tobias Otieno

Co- founder is Jerry Okungu

Senior researcher is Dr Adams Oloo

Qualitative and Head of Statistics is Daniel Obara

Senior Administration Officer is Lilian Awino

Leo Uhuru park uhuru kawatolea nje Infotrack ile idadi ni more than two million........................Raila anatia huruma.....yaani hata ile pensheni Kibaki kaitupilia mbali haipo tena.........................
 
naona this infotrack is a tribal outfit, inaonekana kwenye muundo wa wanakampuni na hata kwenye intensity ya kusisitiza Raila atapata 50+1. Amewapa Peter keneth 3% yawezekana walifanya utafuti kwa kabila lao Pekee.
 
Kabaridi Infotrack ni ndugu zak e Raiala analia hapa chini watendaji wakuu wa huu utapeli:-

The company founder and group Chief Executive Officer (CEO) is Angela Ambitho

The General Manager is Tobias Otieno

Co- founder is Jerry Okungu

Senior researcher is Dr Adams Oloo

Qualitative and Head of Statistics is Daniel Obara

Senior Administration Officer is Lilian Awino
 
amecopy kwenye blog moja ya wakikuyu ndio kaja ku paste huku,kama unabisha rutta sema.
 
Back
Top Bottom