sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 719
Ni kweli Raila atashinda uchaguzi,siasa za Afrika siyo sawa na Marekani:target:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU KIBARIDI Uliponiacha hoi ni pale unasema raila aelewani na Kikwete,mseveni,nkurunzinza. Sasa Kikwete atamsaidia nini raila,wakati yake yanamshinda,nchi tajiri lakini wananchi maskin,anaulizwa anasema eti ajui sababug. Mtoto wake ndio one of the tycoons wa hapa bongo,wanagrab kila kilichopo,serikali imejaa rushwa kikwete anawaangalia tu. kumbukeni uchumi wenu unategemea maua na utalii.sasa sijui mtauza wapi maua,au watalii mtawatoa wapi,chai mtauza wapi,kumbukeni zimbabwe walinunua hadi mkate milioni moja per loaf of bread.wakati huo uhuru atakuwa anaenjoy maisha.
Ni kweli Raila atashinda uchaguzi,siasa za Afrika siyo sawa na Marekani:target:
Unaweza ukawa sahihi lakini as i see it Raila will win the Trophy,siasa za Kenya ni peculiar sana na maeneo mengine ya Afrika.
Hujui Nguvu ya Amollo pale Kenya kaka, ingelikua hivo unavyosema kienyeji kienyeji tu eti like father..like son basi hata kule Butiama saiv tungepata kiongozi mwelevu na mwenye kipawa lau robo ya Nyerere ila kwa kua sio basi Moto hauzai Moto ndio kauli inayofaa hapa nakuhakikishia Rais wa Jamhuri ya Kenya anayefuata Ni Raila Odinga..you will see
piga,ua,garagaza nenda uendako Raila odinga is the next kenyan president,hao vibaka wengine wanapoteza mda tu,na Kofi Anan alishawaambia tyar wana doa hawakubaliki
Ni kwel huyo Bwana simwelewi kikubwa amesite mambo ya ukabila sana.Hajui wakenya kwenye mambo ya msingi ukabila ni pembeni.Raila ndo chaguo la Wakenya wengi.
Binafsi sitaraji kenya kuitupa nafasi yake katika mkanda wa AM kiuchumi, rasilimali ulinzi..nk eti kujaribu kujitakasa kwa mataifa ya kigeni. Ni bora kenya ilinde nafasi yake ya heshima katika kanda la AM. Katika EAC tunapogawanya ng'ombe katika mkanda wa afrika, kama nchi tusingependelea kupigania masalia kama miguu, mikia na vichwa. Tusingependa TZ, uganda, rwanda na Burundi kutuwacha nyuma, ndio ninasema kikwete, museveni na nkurunzinza wanamfaa Raila.
Mleta maoni amefanya vizuri lakini sidhani kama amefanya utafiti wa kutosha hasa kwa wakati huu. Siasa za Kenya zinabadilikabadilika mno katika kipindi kifupi sana. Raila bado anakubalika Kenya kwa kiasi kikubwa sana na wala nepotism hana kabisa. Nepotism kwa sasa hata ni zaidi. Angalia uteuzi mwingi uliofanywa na Kibaki utajua ninachomaanisha. Tatizo la wajaluo ni wapiga domo sana hata kama hawapati chochote wakati wanaokula kweli wala hawaongei. Ni kama mume anaedundwa na mke halafu anapiga kelele kuwa nitakuumiza wakati anaendelea kuumizwa yeye. Sasa tamaduni za kabila la Raila isiwe ndo kusema ana nepotism! yeyote atakayeshinda Kenya nadhani atakuwa kiongozi mzuri wa kuipeleka Kenya mbele lakini kama uchaguzi ni leo, Raila anachukua!
Kabaridi uko sahihi kabisa.........................uhuru wa nchi kwanza halafu misaada baadaye. vinginevyo tutakabidhi nchi kwenye neo-colonialism.......
MTOA MADA POLE SANA,INAVYOONEKANA UNAISHI KWA NADHARIA ,HUJUI UNACHOKIANDIKI ZAIDI MAWAZO YA CHUKI KWA RAILA ODINGA ,NARUDIA-POLE SANA!!! KWANZA,KUSEMA ETI RAILA ODINGA HATAKUWA RAIS SABABU YA CHEO CHA UWAZIRI MKUU KWA KUJIFUNZA HAPA TANZANIA NI MAWAZO YA KIPUUZI,KENYA HAIKUWA NA CHEO CHA WAZIRI MKUU KIUFUPI NI NAFASI AMBAYO IMEINGIZWA KWENYE KATIBA KWA KUIGA MFUMO WA TANZANIA NA ZAIDI,"NO TWO ARE THE SAME" -KENYA NI KENYA,NA TANZANIA NI TANZANIA.-
sungusungu naona ukabila wa siasa za kenya bado hujaufahamu hata kidogo...........
sungusungu wazungu husema...if wishes were gold beggars would ride............
sungusungu naona ukabila wa siasa za kenya bado hujaufahamu hata kidogo...........